Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Mauaji?? Mbona ni jinai
Tena usifanye Kwa kujidai
Maana tutakudai
Roho yako ukiwa hai
Maana every soul will die
Kumbuka mi ni Ayatollah kunipangia haifai,
huwa nafananishwa na ndege tai,
yaani naua yeyote yula na najidai,
Damu ya mfu ninainywa kama chai,
Asiyesikiliza yangu rai,
nampasua kama yai.
 
Vijana fanyeni Kazi
A69F2E4C-11A3-4B4C-80EA-604936D28D23.jpeg

Usiwe kama kiazi
Msipotezwe na maManzi
Msiwe na Wenge kama panzi
Fanyeni maendeleo ya kasi
Penye shida pita kama risasi
Mwache bifu msilipize visasi
 
Vijana fanyeni Kazi
View attachment 3621739
Usiwe kama kiazi
Msipotezwe na maManzi
Msiwe na Wenge kama panzi
Fanyeni maendeleo ya kasi
Penye shida pita kama risasi
Mwache bifu msilipize visasi
Hakika umesema ukweli
Vijana wengi tunafeli
Tunashinda hata kununua baiskeli
Then tunajikita kwenye utapeli
 
Mitandaoni mnawaka moto, lakini offline mnazima
Big words kwa keyboard, real talk mnabima
You type like a king, lakini actions ni zero
Online superhero, offline hujui hata “hello”
Comment section warrior, kila post ni debate
But in real conversations, unakaa late or una-skip gate
Typing “facts” kila saa, lakini hakuna proof
Your whole identity built on WiFi roof
Mnajifanya deep thinkers, lakini ni shallow streams
Reality check ikifika, mnaanza kusema “it seems…”
Screens zinawafanya brave, lakini siyo kweli ni mask
Uki-remove data bundle, unashindwa even basic task
Talk less, show more—hiyo ndo real equation
Not every opinion deserves online rotation
Ukishuka ground level, utaona tofauti ni clear

Real ones move in silence, fake ones disappear
 
Huwezi kuspend bila vumba !
Kama Teja stend , mwanangu unayumba!
Iwe kwa Tsh ama rand, nawachanisha misamba!
Me ndio mamba ndani ya jf !
Nasukuma puli kwa vinabo kina mmkangafu!
Wananiita mwehu ila akili zao chafu !
Nawapiga denda wanadai nacheza rafu!
Mamba wa JF gani unaishi kwenye dimbwi la sifa?
Mistari feki, unalialia kama mtoto aliyekosa keki!
Unataja rand na Tsh, mfuko wako una nzi na vumbi,
Puli unayosukuma inakuacha chali, huna hata kundi.
JF hawakujui, huko umejificha nyuma ya keyboard,
Ukisogea mtaani unajikunyata kama ubao wa clipboard
 
Kumbuka mi ni Ayatollah kunipangia haifai,
huwa nafananishwa na ndege tai,
yaani naua yeyote yula na najidai,
Damu ya mfu ninainywa kama chai,
Asiyesikiliza yangu rai,
nampasua kama yai.
Ndege tai gani usieruka umbali wa futi mbili juu ya kiwanda cha tofali?
Unajidai unaua, kumbe hata mbu wa malaria humuwezi kwa ukweli!
Hiyo damu unayokunywa labda ni juice ya ukwaju iliyochacha stendi,
Ayatollah wa mchongo, kwenye gemu hii wewe ni bendera inayofuata upepo usio na mwelekeo.
Mistari yako myepesi kama pamba ya masikioni,
Unajiona mbabe mtandaoni, kumbe kwa shemeji yako unalala sebuleni.
 
Mitandaoni mnawaka moto, lakini offline mnazima
Big words kwa keyboard, real talk mnabima
You type like a king, lakini actions ni zero
Online superhero, offline hujui hata “hello”
Comment section warrior, kila post ni debate
But in real conversations, unakaa late or una-skip gate
Typing “facts” kila saa, lakini hakuna proof
Your whole identity built on WiFi roof
Mnajifanya deep thinkers, lakini ni shallow streams
Reality check ikifika, mnaanza kusema “it seems…”
Screens zinawafanya brave, lakini siyo kweli ni mask
Uki-remove data bundle, unashindwa even basic task
Talk less, show more—hiyo ndo real equation
Not every opinion deserves online rotation
Ukishuka ground level, utaona tofauti ni clear

Real ones move in silence, fake ones disappear
Eti Real ones move in silence ,asa mbona wewe unapiga kelele kama kasuku?
Unapost 'equation' za maisha huku mfuko wako una error tupu!
Unajiona deep thinker wakati akili yako haina hata gauge ya mawazo,
Mistari myepesi, haina uzito, imepwaya kama piston kwenye ringi mbovu.
'Online superhero' ni wewe unayevizia bando la usiku uje upige kelele,
Ground unayoijua wewe ni ya kwenda kununua mshikaki mmoja na vijiko kumi vya supu,
 
Back
Top Bottom