Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Pia call unaungwa Mara moja tu kazi itakuwa wewe na simu yako na chaji
Pia malipo Ni baada ya kazi
Je nikitaka nipate GB zaidi ya hapo koz GB kwa mwez ni ndogo sana inakaaje hiyo
Mfano kwa mwez GB 15 inakaaje hii?
 
Aah kumbe
 
Habarini wakuu, mimi nina uzoefu mkubwa kwenye biashara ya vivutio asilia na vitu vya kuongeza ili kupata wateja,kwa anaehitaji kuinvest Dodoma na yuko serious anicheki kwa 0762842787.unawekeza kwa gharama ndogo na kupata return within muda mfupi.
 
Wakuu mchongo tafadhali mpaka sasa hakuna aliyenistue kuweni na huruma jamani
 
So baada ya siku 14 siwez zitumia hata kama hazijaisha itabidi ninunue bundle la kawaida?
Na vip kwenye kupiga simu nayo ni siku 14 kila mwezi?
Hapo umenikosa.
 
Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu na wapishi wa kike.

Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro , awe msafi, anayejituma, anayejitambua, wenye uzoefu watapewa kipaumbele.

Maombi yatumwe kupitia whatsapp namba 0752808396 , ujumbe uelezee wasifu wa muombaji pamoja na picha yake full.
 
We are looking for a chef in Jambiani,If you have at least 3 to 5 years working experience, know how to guide a team, calculate food cost, if you are creative and up for new ideas and most important very strict with hygene standards please contact this number for walk in interview. 0784743333.
If you don’t meet the criteria pls do not waste my time and yours.
 
We looking for chef in our resort in bwejuu must to speak English and experience with kitchen how to organise everything with cooking food , cost ,organize staff under him or she thanks contact me 0779181440
 
TANGAZO
Idara ya Ajira Jimbo Katoliki Same inawatangazia nafasi za kazi katika fani zifuatazo
1. Wahasibu kwa ngazi ya cheti na shada.
2. Mwalimu wa Kilimo kwa ngazi ya shahada
3. Mwalimu wa hesabu kwa ngazi ya shahada
5. Mwalimu wa civics &History kwa ngazi ya shahada
6. Mwalimu wa physics kwa ngazi ya shahada
7. Cheif wa kike mwenye uzoefu wakupika local and international food.
8. Waiter na sio waitress mzoefu katika kazi hii.
Sifa za muombaji:
Awe amefuzu vizuri katika fani husika.
Basi kwa anayetaka kupata fursa hii atumemaombi yake kwa email hii dosfap2019@gmail.com.
Zingatia yafuatayo:
1.Ambatanisha vyeti vyako vyote pamoja na barua yako ya maombi kisha utapokea ujumbe mfupi wa mwaliko wa usaili baada ya barua na vyeti vyako kupokelewa.
2. Utakapo alikwa kwenye usaili fika na vyeti vyako vyote original copy kwa uhakiki.
3. Msailiwa atakapo itwa kwa usaili atajitegemea kwenye gharama zote zinazomuhusu.
4. Tarehe na mahali usaili utakapo fanyika atakaye chaguliwa kwa usaili atajulishwa.
Padre Bernard Mwainkwa
Kwa niaba ya mwenyekiti kamati ya Ajira Jimbo Katoliki Same.
 
Shukran sana kaka kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.


Ndugu zangu tuchangamkie fursa
 
Kwanini watanzania wengi hatujui ama hatujali kutuma cv kwa email?tumezoea makaratasi na mambo ya kupigiana simu ndio mana post nyingi za kutuma cv kwa email zinawapita.
 
LinkedIn ina michongo mingi ila watanzania ni wa kuesabika tena wanashidwa kuweka wasifu wao vyema/sawia inavyotakikana. TZ tumechelewa hebu tuamke mazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…