Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Shukrani sana mtoa mada binafsi nahusika na logo design, OnlinePoster, banner design, business card, headletter for companies, birthday wishes poster, birthday invitation card, music cover design, business label etc bei ni rafiki sana na zinazingatia hali ya mteja na upana wa biashara yake.

Whatsapp/call 0686907945
Sio mbaya ukiweka na samples za kazi yako tushawishike
 
Habari wakuu? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wataifa.

Natafuta mshirika (partner) ambaye tutaweza tukafungua kituo cha kufundisha tuition, QT, resitters, english course pamoja na computer. Mimi nimefundisha vituo tofauti tofauti kwa muda mrefu nimeona muda sasa umefika nami nijisimamie.

Masomo niliyobobea ni ya Arts (Civics, History, Geography, English na Kiswahili). Kwahyo partner ninayemtafuta ni ambaye anamudu kufundisha masomo ya Mathematics, Chemistry, Physics na Biology. Sio lazima uwe muhitmu wa ualimu kikubwa uwe unamudu kufundisha na uwe na commitment tujitume tufanye kazi.

Nipo Dar es Salaam, ambaye yuko interested inbox ipo wazi.

Tukifanikiwa kuanza naamini mpaka mwakani wakati kama huu tutakuwa tumepiga hatua kubwa tu.

Ahsanteni
 
Naitaji kijana mwenye ujuzi wa kuandaa michoro ya 3D asiwe mwajiriwa sehemu yeyote na awe teyari kufanya kazi ktk ofisi yetu.
Kuandaa michoro ya 3D kwenye Computer tu ama ata michoro ya kuchora kwa kutumia mkono kwenye karatasi?
 
Habari za muda huu.

Natumai nyote ni wazima wa afya, yatupasa kumshukuru Mungu kwa nafasi hiy ya upendeleo.

Pia niwashukuru nyote mliendelee kutoa ushirikiano katika kutoa michongo mbalimbali tusichoke kuendelea kutoa michongo ilhali iwe halali itakayosaidia ndugu zetu jamaa zetu kujikwamua katika umaskini.

Tuendelee kupeana michongo..

#Tupeane michongo
#Tupeane michongo
 
Habari wakuu? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wataifa.

Natafuta mshirika (partner) ambaye tutaweza tukafungua kituo cha kufundisha tuition, QT, resitters, english course pamoja na computer. Mimi nimefundisha vituo tofauti tofauti kwa muda mrefu nimeona muda sasa umefika nami nijisimamie.

Masomo niliyobobea ni ya Arts (Civics, History, Geography, English na Kiswahili). Kwahyo partner ninayemtafuta ni ambaye anamudu kufundisha masomo ya Mathematics, Chemistry, Physics na Biology. Sio lazima uwe muhitmu wa ualimu kikubwa uwe unamudu kufundisha na uwe na commitment tujitume tufanye kazi.

Nipo Dar es Salaam, ambaye yuko interested inbox ipo wazi.

Tukifanikiwa kuanza naamini mpaka mwakani wakati kama huu tutakuwa tumepiga hatua kubwa tu.

Ahsanteni
Vp mkuu umeshampata niko interested hapa
 
Habari wakuu, nipo apa kijana wa mikopo, nina uzoefu wa microfinance zaidi ya miaka 2, diploma ya procurement nipeni michongo yoyote popote kwenye rizki mimi naingia, 0712605935
 
Habari natafuta kijana / binti wa kuuza juice kwa kutembeza
Mshahara ni makubaliano
Awe mchangamfu na aipende hiyo kazi,
Mahali ni Dodoma
Any one interested PM please for more information
 
Jaman kwa watu wa morogoro natafuta kaeneo mitaa ya msamvu kwa ajil ya biashara msaada wapendwa au Kama mtu Ana tafuta mtu wa kufanya nae kazi nipo moro
 
Natafuta kijana mtaam wa kuandaa mabango ya 3d na anae jua car branding na shell mshahara mzur na ofis ipo kanda ya ziwa
 
Mimi ni mmiliki wa pharmacy iliyoko maeneo ya sinza Daresalaam. Nina nafasi 2 za kazi.
1:ADDO -wa dispensing
-awe na leseni toka Pharmacy council
2:pharmacist(degree holder)kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy
-Awe ana leseni ya usimamizi toka Pharmacy council
-Awe ndani ya Daresalaam.
Send ur cv
Contact:
Whasup 0762619116
 
Back
Top Bottom