Uzi Maalum wa kupeana Maujanja ya Cryptocurrency

Gai da seboga

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
478
962
Habar zenu mabibi na mababu.

Kama mnavojua dunia jinsi inavyoenda kasi hususani katika mapinduzi ya kifedha, sasa hivi ulimwengu unazungumzia cryptocurrency tuu na namna ya kufanya holding ya coin mbalimbali kwa lengo la kutengeneza Pesa. Najua kwa nchi yetu bado tuko nyuma na hata vijana hawataki kutafuta maarifa haya wamebakia kusema ni utapeli huku fursa zikiwapita machoni mwao.

Lengo la uzi huu kwa wale wote trader wa Crypto munao trade na ku hold coin mbalimbali tupeane maujuzi na notifications mbalimbali kwa yanayoendelea kwenye soko la cryptocurrency ikiwemo;

1. Wallet zipi bora za kuhold na kutrade ambazo zina coin nyingi! ukiachana labda na binance, hotbit, bitmart, n.k

2. Coin zipi ni nzuri kununua ambazo zina bei ya chini bado ambazo ni potential zenye projects za maana!

3. Kufahamishana coins mpya zinazoingia sokoni kila siku.

4. Uchambuzi mbalimbali wa coins zilizopo coinMarketcap.

5. Kupeana dondoo coin ambazo zipo kwenye pre-sale kabla ya kuingizwa sokoni.

6. Jinsi ya kufanya staking ya coin ulizo hold (coin kuziweka fixed ili zikuingizie faida kla siku)

7. Matumizi ya P2P hususani kwenye binance wallet.

8. Jinsi gani utanufaika na NFT ( Non Fungible Token).

9. Jinsi ya kuwa localbitcoin broker au binance merchant.

Kwa ujumla mambo yote yanayohusiana na Coin tutajuzana hapa huu uwe uzi wetu wa kujidai kwa wote tunao trade na ku hold coin.

NB: Na kama kuna magroup ya telegram na whatsap kuhusu hizi mambo bhas tunaweza wekeana link hapa tukaenjoi ulimwengu wa cryptocurrency.

Tusinyimane hizi fursa pamoja na kuwa hapa JF kuna vijana wengi wanapotosha na kukatisha wenzao Tamaa ila sie wengine TUMEHAMUKAA...

'The Future is Great '
 
Serikali ya Tanzania ifanye kama ilichofanya serikali ya China kwenye cryptocurrency na mambo ya currency speculations kiujumla
 
Tumia hii maneno hakuna kuwekeza ila kuna kuvuna inaanza kufanyakazi lasmi December mwaka huu fanya maamuzi leo 1π! Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 23 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link Pi Network and use my username (Laureankiiza) as your invitation code.
 
Niliweka link,nikapataga members 10+....dah mods wakafunga thread aisee
 
Saf kabsa mwana jf binafs nimeleta mada nying Sana za cryotocurrency lakin nying Hawa moduretor wanaburn Ila ukweli Ni kwamba coin Ni pesa nilinunua Shiba miezi miwili nyuma kwa chini ya dollar 20 lakin Leo thamn yake Ni Zaid ya dollar 180$ kwangu binafs anayeamin na Amin asiye Amin abak Kama alivyo
Toeni maelekezo fresh,hata jinsi ya kudeposit hela...watu tuzame huko
 
top_calling_bears.jpg

01.23.2020_bond_yield_cartoon.png
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni
 
Nahitaji ushaur tu Ni coin ipo Ni hold Kati ya hiz
Safemoon
Cardona
Dogecoin
Stellar
Kumbka nahitaji moja tu Kati ya hzo ushaur tu anayeweza kunichambulia vizur nataka kununua za dollar 180$
 
Nahitaji ushaur tu Ni coin ipo Ni hold Kati ya hiz
Safemoon
Cardona
Dogecoin
Stellar
Kumbka nahitaji moja tu Kati ya hzo ushaur tu anayeweza kunichambulia vizur nataka kununua za dollar 180$
Holds CARDANO.
Sababu 1,ni smart contract platforms ambayo ina maximum supply na ni among top 10 cryptocurrencies ......tutegemee bei ya ADA moja ifike $100 kabla ya 2031.
 
Embu nipeni tips za coin inaitwa DOGE naona September 1DOGE=446Tsh lakini hii October 1DOGE=663Tsh inazidi kupanda nahitaji darasa hapa nifanye maamuzi magumu
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni
 
Ofa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni
Vifurushi vinakataga pumzi hivi
Kwanini usitoe ujuzi wenzako watumie pia!?
 
Back
Top Bottom