Tunaotafuta connection za kazi za research tukutane hapa

2018

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
546
778
Kazi za research ni miongoni mwa kazi zenye manufaa makubwa. Wengi wanatafuta watu wa kuwapa kazi za research mbali mbali kwenye sekta tofauti ikiwa ni kilimo, afya na nyinginezo.

Na wengi wanatamani kupata kazi za research bila mafanikio. Uzi huu ni maalumu kwa kushare kazi mbalimbali za research kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Ili kuifanya JF kua bora zaidi kwa kupeana michongo na kusaidiana kutoana kimaisha, tupeane connection mbalimbali hasa za research, kwa maana unaweza kumsaidia mtu si tu kwakua unamfahamu na ukapata baraka nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu

Nawakaribisha nyote.
 
wa kupuliza mi nashukuru kunikaribisha katika huu uzi.

Kweli napenda research ila kuipata kazi rasmi ndio tabu hadi nyingine tunafanyia humuhumu JF
Kazi za research ni miongoni mwa kazi zenye manufaa makubwa. Wengi wanatafuta watu wa kuwapa kazi za research mbali mbali kwenye sekta tofauti ikiwa ni kilimo, afya na nyinginezo
Kama vipi sio kazi tu, hata kama ushauri na maswali mbili tatu za research watu waulize tusaidiane hapa, kama hobbie na kama kazi pia.
 
wa kupuliza mi nashukuru kunikaribisha katika huu uzi.

Kweli napenda research ila kuipata kazi rasmi ndio tabu hadi nyingine tunafanyia humuhumu JF

Kama vipi sio kazi tu, hata kama ushauri na maswali mbili tatu za research watu waulize tusaidiane hapa, kama hobbie na kama kazi pia.
Asante kwa nyongeza mkuu
 
Haya mambo nyie...........

Umenikumbusha kipindi namaliza chuochuo nilikuwa na kampuni ya research tayari kichwani daah!
Nenda NIMR, hola,
Jaribu GCLA hola
Kimbilia IHI hola nyieeee
Ila ndoto haijafa naendelea na tafiti za hapa na pale zinazowezekana kupitia Sahili [r & d] productions and marketing mfano nimejifund kutafuta namna mafuta ya nyonyo na maboga je? yanaweza kuzuia upara wa wanaume? Any funding agent mnakaribishwa.... connections.

Hivi bongo hakuna yale makampuni ukiwa na wazo wanakufund ulifanyie kazi. Mniombee nikifanikiwa hii kampuni itafanyaga hizo kazi one day
 
Kuna comment zako humu JF niliziona ukiwa interested Sana na mambo ya research,bahati mbaya Sina connection zozote zile khs mambo hayo,Lkn unaweza mcheki jamaa mmoja humu anaitwa Edward Chapa Ni MD na Founder wa Trust Research Company Ltd Tanzania.
 
Wa kupuliza bhana huu tayari ni mfano wa connection zenyeweee tunazotaka. Kwa niaba ya wote tunashukuru kutupatia hilo jina.

Si unasikiaga kwenye muvi wanasemaga 'Just give me some anything, a name or anything' 😂😂😂😂
 
Tafuta watu wanajiita smart millionaire Instagram wanafanyia hyo kaz0758628373 Sina uhakika nao San jaribu
 
Wa kupuliza bhana huu tayari ni mfano wa connection zenyeweee tunazotaka. Kwa niaba ya wote tunashukuru kutupatia hilo jina.

Si unasikiaga kwenye muvi wanasemaga 'Just give me some anything, a name or anything' 😂😂😂😂
Hahaha pamoja mkuu,all the best.
 
Haya mambo nyie...........

Umenikumbusha kipindi namaliza chuochuo nilikuwa na kampuni ya research tayari kichwani daah!
Nenda NIMR, hola,
Jaribu GCLA hola
Kimbilia IHI hola nyieeee
Ila ndoto haijafa naendelea na tafiti za hapa na pale zinazowezekana kupitia Sahili [r & d] productions and marketing mfano nimejifund kutafuta namna mafuta ya nyonyo na maboga je? yanaweza kuzuia upara wa wanaume? Any funding agent mnakaribishwa.... connections.

Hivi bongo hakuna yale makampuni ukiwa na wazo wanakufund ulifanyie kazi. Mniombee nikifanikiwa hii kampuni itafanyaga hizo kazi one day
Hakikisha unaiishi ndoto hii
 
Kuna comment zako humu JF niliziona ukiwa interested Sana na mambo ya research,bahati mbaya Sina connection zozote zile khs mambo hayo,Lkn unaweza mcheki jamaa mmoja humu anaitwa Edward Chapa Ni MD na Founder wa Trust Research Company Ltd Tanzania.
Asante kwa hii connection
 
Kazi za research ni miongoni mwa kazi zenye manufaa makubwa. Wengi wanatafuta watu wa kuwapa kazi za research mbali mbali kwenye sekta tofauti ikiwa ni kilimo, afya na nyinginezo.

Na wengi wanatamani kupata kazi za research bila mafanikio. Uzi huu ni maalumu kwa kushare kazi mbalimbali za research kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Ili kuifanya JF kua bora zaidi kwa kupeana michongo na kusaidiana kutoana kimaisha, tupeane connection mbalimbali hasa za research, kwa maana unaweza kumsaidia mtu si tu kwakua unamfahamu na ukapata baraka nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu

Nawakaribisha nyote.
Najaribu kukuelewa......!!
Unamaanisha unahitaji funding agency ili wafadhiri research project yako? [Hilo pambana haswa, nahisi COSTECH wanafanya] JE una idea ambayo unahitaji kuifanyia research?

Au unatafuta kazi ya data collection kwenye research project?
 
Back
Top Bottom