Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Habari wakuu
Naomb tusaidian nina diploma ya electrical and electronics engineering
Pia nina ujuzi wa computer Programming

Naomba nisaidiwe Kazi yeyote ya halali, pia kwa kazi za ufundi umeme majumbani, kampuni, kiwandani, n.k

Nipo tayari kutoa ujira wang kwa yeyote atakaenipa mchongo wa kazi yeyote wakat wowote
Anahitaji mchongo ndugu yetu kwa yeyote mwenye connection bhasi asisite kumsaidia ndugu yetu.

Uaminifu uwe kipaumbele chetu..

Tusaidiane kwa kuwa sote hatujui kesho yetu.
 
Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza kutangaza service yako ni sautipesa.com.

Na pia kama unahitaji courses za udemy huna haja ya kununua unaweza tembelea udecoupon.com hapo coupons kwaajili ya kupata premium courses free zinawekwa kila siku kila muda,kumbuka zina muda wa expire so ukichelewa ukikuta coupon imeexpire then ushapoteza
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo na kutusanua mchongo mpya utakao tusaidiane sote katika kuzidi kupata michongo zaidi.
Asante ndugu..

Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Habari Nina kampuni ya ulinzi nahitaji kufungua branches sehemu mbalimbali hivo mwenye interest na uzoefu anaweza nichek PM tuyajenge kwa ushirikiano wa uaminifu
Wakuu fursa hiyo.
Kwa ambaye yupo tayari kufanya kaz na ndugu yetu bhas amtafute..

Tuchangamkie fursa.
Pia kama hutojal kiongozi @mibiki ungetoa mawasiliano yako ili iwe rahisi zaidi.

Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.
 
Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza kutangaza service yako ni sautipesa.com.

Na pia kama unahitaji courses za udemy huna haja ya kununua unaweza tembelea udecoupon.com hapo coupons kwaajili ya kupata premium courses free zinawekwa kila siku kila muda,kumbuka zina muda wa expire so ukichelewa ukikuta coupon imeexpire then ushapoteza
Udemy ni nn?
 
Udemy ni nn?
Udemy ni site moja inayojihusisha na maswala ya utoaji wa elimu mbalimbali.
Mfano.
Ya kiuchumi.
Kijamiii.
Siasa
Teknolojia.
Na mengine mengi.
Bila shaka nahisi ntakuwa nmekupa ufanunuzi japo kwa ufupi ila naiman utakuwa umepata mwangaza.

Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Wanazengo me ni fundi umeme wa magari connection iwe binafs au company au garage yenye kazi za kutosha poa maana nina uwezo wa kupiga kazi 24hrs uzoefu wangu over 5 yrs ndani ya umeme wa magri popote nafanya kazi ndgu zang kwa sasa naishi bunju dar es salaam
Naomba namba yako mkuu,
 
Wakuuu mchongo huu hapa......ninabiadhaa nataka kuuza uswahilini na masokoni au nyumba kwa nyumba.....tutatumia gari kuzunguka hayo maeneo.
Vigezo wanahitajika watu WA sales
. Wawe ambaye wanaweza kushawishi watu
. Wachangamfu
. Wasio hona aibu
. Waweze kufikia taget
.malipo ni kwa mwezi....tutajadiliana
Nahitaji vijana 2 Tu....jinsia yoyote ile
Kwa mawasiliano ni PM.
 
Mkoa gani
 
Naunganisha free call tgo kwenda mitandao yote kwa muda miaka 3
Pia 72 gb ambazo KILA mwez unakuwa unapata gb 6
Huduma zote malipo Ni baada ya kazi
Pia nakutengenezea lain ya uwakala kwa majina yako mwenye hii Ni mitandao yote sifa uwe na tin number na kitambulisho Cha taifa,lesen pia Kama ipo Ni vizur Zaidmalipo baada ya kazi

Nahitaji wapo walio seriously TU janjajanja staki
 
Wakuuu mchongo huu hapa......ninabiadhaa nataka kuuza uswahilini na masokoni au nyumba kwa nyumba.....tutatumia gari kuzunguka hayo maeneo.
Vigezo wanahitajika watu WA sales
. Wawe ambaye wanaweza kushawishi watu
. Wachangamfu
. Wasio hona aibu
. Waweze kufikia taget
.malipo ni kwa mwezi....tutajadiliana
Nahitaji vijana 2 Tu....jinsia yoyote ile
Kwa mawasiliano ni PM.
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.

Ila hujaelezea nu mkoa gani..?
 
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.

Kwa wadau wanaohusika wanaweza fuata
 
Back
Top Bottom