Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
- Thread starter
- #81
.....Kabisa Na dereva alichukuliwa asubuhi kwa morombo akapewa gari apeleke wanafunzi Na kuwa UA kwa sababu ya shule kupata pesa za haraka
......aisehhhh
.....Kabisa Na dereva alichukuliwa asubuhi kwa morombo akapewa gari apeleke wanafunzi Na kuwa UA kwa sababu ya shule kupata pesa za haraka
......Lazima tushirikiane kuhakikisha tunapata muafaka juu ya hili
Hata dereva hakuwa na mkanda?......
......Aiseshh Kiwango cha hilo basi full kiti je abiria waliweza kufunga Mkanda?
......Wapendwa tuwe wavumilivu. Huu ni wakati mgumu sana kwa wafiwa na watanzania kwa ujumla. Report ya polisi ndiyo itakayotusaidia kujua chanzo cha ajali na kwa sasa hatuna haja ya kuhitimisha kuwa kulikuwa na uzembe.
Kwa tukio hili na mengine ya jinsi hii, hebu Mungu atufundishe kuzihesabu siku zetu!
.....Tatizo me naona ni kwamba dereva yule ni wa scul bus na cdhan kama anauzoefu na long route, pia ugeni wa barabara, na hali ya Hewa ni chanzo cha ajali,,, Ila kikubwa ni kwamba kwa zaid YA asilimia 80% ukichunguza utagundua lile gari alikua na mikanda YA abiria ndyo sababu ilikua rahisi kwa watu wote kuchomolewa nyuma na kijirundika wote mbele,,, so sad!! Rest in PEACE angels.
......
......Aiseshh Kiwango cha hilo basi full kiti je abiria waliweza kufunga Mkanda?
Kwani dereva husika ambaye ni marehemu alifanya kosa gani? Au ni hao polisi huko barabarani ambao walipaswa kujua kuwa ajali itatokea ili walizuie gari lisiendelee na safari?......
.....Mkuu tupashane HAPAHAPA ...nenda sasa hivi barabarani utakuta makosa kama haya
.....Kwanza R.I.P kwa watoto na ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali hii.Pili pole sana kwa wazazi na ndugu walikumbwa na msiba huu. Mola awape moyo wa ustahimilivu.
Lakini, kusema kuwa ajali ni ajali tu siyo sahihi. Kama ingekuwa hivyo kwa mini tuwe na polisi wa usalama barabarani, kwa nini tuwe na alama za barabarani, kwa nini tuwe na matuta, kwa nini tunashauriwa kufunga mikanda, kuvaa helmet, kujali kasi ya mwendo wa vyombo vyetu na kadhalika? Ni kwa sababu ajali zinaweza kuzuilika. Kuna nchi nyingi zenye magari mengi maradufu kuliko Tanzania lakini hazina ajali nyingi za barabarani kama hapa kwetu.
Kuna tatizo hapa na lazima kwanza tulikubali na tulitafutie ufumbuzi. Magari mengi yanayo wasafirisha watoto wetu ki ukweli hayapo katika ubora unaotakiwa kimatengenezo na hayana ukaguzi wowote.
......Kwani dereva husika ambaye ni marehemu alifanya kosa gani? Au ni hao polisi huko barabarani ambao walipaswa kujua kuwa ajali itatokea ili walizuie gari lisiendelee na safari?