Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,330
- Thread starter
- #161
.......
......Nasikia.mmiliki wa shule Matatani
......Nasikia.mmiliki wa shule Matatani
Uko sahihi. Huu ni uzembe. Inauma sana kupoteza wapendwa kutokana na uzembe na ujinga wa watu wachache. Wamekaa kufuatilia faini tu, na sio usalama wa watumiaji wa barabara. Yamerundikana kwenye tochi, na sio kwenye sehemu hatarishi. Wameng'oa vibao ili kupiga bao, na hakuna juhudi ya kuvirudisha vibao hvyo vilivyong'olewa.
Ni njaa ya pesa ndio imetufikisha hapa.