ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,045
Nimeshapita nyingi, nyingine peke yangu pasi na msababishaji mwingine, nimejifunza kwazo. Zote nilikuwa nikifanya uzembe, ingawa ukiwa dereva kuna kauchizi fulani hivi kinakuingia cha kumuamini na kumuamini kizembe chombo hata kinakusahaulisha kuwa makini, yote hayaondoi uzembe uyafanyayo.Kwahiyo nawe ukipata ajali tuseme uzembe