Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
- Thread starter
- #141
.....Kuvuka beria na kupata ajari ni vitu viwili tofauti. Gari haikuwa na abiria zaidi ya uwezo wake. Hakusimamishwa mtu. Sasa mapovu ya nn
.....kanywe uji ukuwe
.....Kuvuka beria na kupata ajari ni vitu viwili tofauti. Gari haikuwa na abiria zaidi ya uwezo wake. Hakusimamishwa mtu. Sasa mapovu ya nn
uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?
hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.
Mungu awalaze mahala pema.
Sasa ndio umeandika nini hiki mbona hueleweki!?Watu wengine mnalaumu msichokijua uzembe wa nani sasa tuache lawama jamani wafariji wafiwa acha lawama
Naunga mkono hapo kuwachukulia hatua mwenye shule na mkuu wa shule wakae ndani hata mwezi ili iwe funzo kwa wengine wanaposafirisha wanafunzi wachukue tahadhariLile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.
Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.
Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.
Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
......Unapashwa kuelewa kuwa madreva wengi wanachojua ni kusukuma gari lifike. Angalia hata madreva wa daladala katika miji mingi. Ni wabishi hata wanapoambiwa na abiria hawawezi kukubali kuendesha magari kwa tahadhari. Tatkzo kubwa la madereva hawa ni elimu, na kupata leseni kwa kugawiwa.
Nimeona ajali nyingi zinatokea kwa ubishi wa madreva kwa sababu za kijinga. Kwa ujinga wlaionao wanadhani wakitahadharishwa na abilia watakuwa wamedharauliwa. Kabeba watu lakini ni mbishi utadhani ana spare za roho au ndiye amepewe umiliki wa roho za hao awtu.
Madreva wengi wanawaambia abiria, "nunua lako", as if abiria wote hawana magari, au kwamba anaendesha gari kwa kuwapa msaada abiria, sasa ana haki za kuwasimanga.
Ninacheleea kusema hata hawa watoto, pengine hakuwa na uwezo tu wa kusema kwa kuogopa kwamba ni mkubwa au waliamini kwamba walimu kwa kuwa nao wako pamoja nao basi wanajua.
Ajali ndiyo lakini kuna uwezekano mkubwa sana wa kuzipunguza ikiwa tutakuwa na mdreva wenye elimu na akili sahihi. Ninashauri madreva wa mgari ya abilia wawe ni watu wenye elimu ya degree moja, walipwe mishahara kuanzia one million, wasikilizwe mawazo yao na kupewa mazingira mazuri ya kazi ukizingatia kwamba hii ni taaluma muhimu. Taaluma inayobeba uahi wa mtu directi wasipewe wavuta bangi na wajinga.
Ninaomba sana serikali ione umuhimu wa akili sahihi na kuacha kusema ajue kusoma na kuandika ama kuelezea alama za barabarani tu, kwa sababu wanafanya kazi za uhai wa binadamu. Matokeo yake madreva wengi ni std seven, wavuta bangi, wabishi, hawajiui hata faida ya kinga na tahadhari, wamekata tamaa za maisha wanasema "kufa ni kufa tu, usipokufa kwa ajali utakufa kwa malaria", mara "siku ikifiska imefika",
Pamoja na sababu zingie kama miungombinu hatarishi, vyombo kutokufanyiwa utunzwaji sahihi, uaminifu wa mafundi service wa vyombo, mazingira magumu ya kazi ya madreva kuwafanya waendesha magari bila kuwa barabarani, ubora wa magari na aina, lakini bila kuangalia elimu na akili za madreva, kila siku wtu watapoteza maisha mnabaki kusema ni ajali. ziko ajali muhimu lakini nyingi sana zinazuilika.
Naunga mkono hapo kuwachukulia hatua mwenye shule na mkuu wa shule wakae ndani hata mwezi ili iwe funzo kwa wengine wanaposafirisha wanafunzi wachukue tahadhari
......Sasa ndio umeandika nini hiki mbona hueleweki!?
Au wewe ni mmoja wapo ya walimu wa hiyo shule na ulishiriki kuandaa hiyo safari?
Sasa ndio umeandika nini hiki mbona hueleweki!?
Au wewe ni mmoja wapo ya walimu wa hiyo shule na ulishiriki kuandaa hiyo safari?
Hii ni kauli wanayoitumia watu kuruhusu mambo yaliyo kinyume na maandiko kwa kivuli cha kujihami, watu huenda kwa waganga wa hadi kujihami na wachawi kupitia hii nadharia, haipo kwakweli.kitabu kipi kimeandika hivo, kama ni bible in sura na mstari UPI mkuu
....
.....We need to Rethink uzembe uzembe Uzembe
Kwani ripoti imetoka kwamba ilo basi lilipata ajali kwa sababu walijaa sana?
Kuwa makini ni Pamoja na kutumia kwa ufasaha kabisa vifaa vya usalama katika magari. Ajali hizi zinakuwa na wahanga wengi na moja ya sababu ni kutotumia vifaa vya usalama.uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?
hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.
Mungu awalaze mahala pema.