Uzembe Wetu umetufikisha Hapa ...Inauma

Uzembe Wetu umetufikisha Hapa ...Inauma

Nimeshapita nyingi, nyingine peke yangu pasi na msababishaji mwingine, nimejifunza kwazo. Zote nilikuwa nikifanya uzembe, ingawa ukiwa dereva kuna kauchizi fulani hivi kinakuingia cha kumuamini na kumuamini kizembe chombo hata kinakusahaulisha kuwa makini, yote hayaondoi uzembe uyafanyayo.

Siku ukipata ajali unipe mrejesho nikuite mzembe.unajua ajali tu ikitokea kusema uzembe tu haina maana kutakuwa na maana iwapo utadefine kwa namna gani uzembe umefanyika.tukija kwenye tukio la jana unaweza kuniambia uzembe gani umefanyika mpaka ile gari imepata ajali? Iwapo utajibu kimantiki ntaona hoja yako ina mashiko vinginevyo ntakuona bashite
 
Hatuwexi kukwepa fact japo sote tutakufa ila hapa kuna uzembe umefanyika
-mwendokasi
.-ubovu wa gari uliopelekea break kufel
-kukosekana kwa mikanda kwenye seat
Naamini kama wangefunga mikanda agalau tukabakisha 40%
Wapumzike kwa amani
....
....sawa kabisa
 
Hakuna Sheria inayolazimisha gari zinazofanya Safari Za local, abiria kufunga mikanda . Ushawahi kuona abiria wa dar Es Salaam wakifunga mikanda?

Mabasi ya kwenda mikoani Ndio abiria muhimu kufunga mikanda .
Upo uwezekano wa kuwepo kwa uzembe kwenye hii ajali lakini watoto kutokufunga mikanda sifikirii kuwa Ni Sababu.

Kutokana Na mvua zinazonyesha ni muhimu kwa matairi ya magari kuwa ktk hali nzuri Na madereva wetu wawekee umuhimu wa kuyakagua magari kila siku kabla ya kuanza Safari.
......
......kufunga Mkanda ni muhimu sana hatakama distance ni 1km
 
Ningekuwa mimi ningewawajibisha askari wote waliokuwa kwenye vituo vya ukaguzi pamoja na kamanda wao wa mkoa ili wajue wajibu wao siyo kupokea vibahasha na magazeti toka kwa madereva
.....
.....kabisa
 
Boss WhySoSerious Kwanza nakubaliana na wewe Ajali ni Ajali. Pili labda haujamuelewa mleta Mada. Labda anaongelea Uzembe na Umakini wa Issue zetu.

Uwezo wa kubeba abiria, inaonekana gari lilibeba abiria wengi kuliko uwezo wake. Pili, seat belt, inaonekana gari halikuwa na seat belt au abiria hawakufunga mikanda. Tatu na Kubwa, Dereva labda alishindwa kulimudu gari either kwa mwendo kasi au ubovu na uimara wa gari.

uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?

hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.

Mungu awalaze mahala pema.
 
Tuoneshe uzembe upo wapi hapo

Boss Inartia Uzembe unaweza ukawa kwenye maeneo haya:
1. Uwezo wa gari kubeba abiria, inawezekana abiria walikuwa wengi kuliko uwezo wa gari.
2. Mikanda aka Seat Belt, inawezekana Abiria hawakufunga mikanda au gari halikuwa na mikanda.
3. Dereva kushindwa kulimudu gari hapa inawezekana kutokana na mwendo kasi au uimara wa gari.

My Take: Hii ajali iwe fundisho na kurekebisha tulipojikwaa.
 
....
.....hilo basi uwezo wake ni kupakia abiria wangapi?
Lori analoendesha Baba J. lina abiria milioni 45.

Wenyewe wanauita "uzembe" kuwa ni kufanyakazi kwa mazoea (business as usual)

Nchi hii ni ajali tu. Watu wana-beep wanapewa uongozi, watu wanaghushi vyeti wanapewa vyeo. Wengine wanakusanya michango ya maafa baadaye wanawambia wahanga wajitetemeshe.

Wengine ndio kama hawa.
Link Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Link2. Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Link3. Kitila Mkumbo amshukuru Magufuli kwa kumteua

Link4. Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

.....
.....Tumekosea Tukubali huu ni Uzembe !!!!!

Wacha tufe tu kwa uzembe wetu.

....
.....We need to Rethink uzembe uzembe Uzembe

Tanzania bila uzembe inawezekana?

Ile ya Nape kutishiwa bastola ni uzembe?

Ile ya Bashite kuvamia Clouds ni uzembe au ni ajali?

Tuliambiwa tufyaue watoto kwa wingi, wakiondoka kama hivi kwa uzembe, tuwe na wengine wa akiba.

Mungu tupe ujasiri wa kuukabili uzembe.

Roho za marehemu zipumzike kwa amani. Ameen.
 
Boss Inartia Uzembe unaweza ukawa kwenye maeneo haya:
1. Uwezo wa gari kubeba abiria, inawezekana abiria walikuwa wengi kuliko uwezo wa gari.
2. Mikanda aka Seat Belt, inawezekana Abiria hawakufunga mikanda au gari halikuwa na mikanda.
3. Dereva kushindwa kulimudu gari hapa inawezekana kutokana na mwendo kasi au uimara wa gari.

My Take: Hii ajali iwe fundisho na kurekebisha tulipojikwaa.
Sasa tungejiridhisha kwanza kwamba hayo yalifanyika ndio tuuite uzembe
 
KAMA
Tuoneshe uzembe upo wapi hapo
KAMA HAWAJAFUNGA MIKANDA INAWEZA KUWA SABABU YA VIFO VINGI HIVO.MIKANDA IMEOKOA WATUVWENGI KWENYE AJALI MBAYA KAMA HII. TUJIFUNZE KUANZIA NA KUJIHAMI KABLA YA AJALI. PIA SIDHANI DEREVA ALIKUBALI NAYE AFE WENGI HUWA WANARUKA ILA HUYU ALIKUWA ANAJARIBU KUOKOA HAWA MPAKA MWISHO WAKE TUMWOMBEE YEYE NA WANAFUNZI WAKE NA WAALIMU
 
Boss WhySoSerious Kwanza nakubaliana na wewe Ajali ni Ajali. Pili labda haujamuelewa mleta Mada. Labda anaongelea Uzembe na Umakini wa Issue zetu.

Uwezo wa kubeba abiria, inaonekana gari lilibeba abiria wengi kuliko uwezo wake. Pili, seat belt, inaonekana gari halikuwa na seat belt au abiria hawakufunga mikanda. Tatu na Kubwa, Dereva labda alishindwa kulimudu gari either kwa mwendo kasi au ubovu na uimara wa gari.
swadakta mkuu, nimekusoma.
 
Sasa tungejiridhisha kwanza kwamba hayo yalifanyika ndio tuuite uzembe

Boss Inartia kuna Issue zingine sio lazima ujiridhishe, Common Sense tu Vinakupa majibu. Ila usemayo ni kweli, kujiridhisha na kusubiri Report za Wahusika ni muhimu.
 
......
......kufunga Mkanda ni muhimu sana hatakama distance ni 1km
Wewe ushawahi kufunga mkanda ktk daladala? Au kuna nchi gani duniani Za west au Asia ambayo abiria wa mabasi ya Masafa mafupi wanafunga mikanda?
 
Mimi mzazi let's say Nipo moro namsimamiaje mkuu wa shule, Mimi nafikiri waliolikagua hilo gari ndo wanamakosa makubwa.

Tunatakiwa tupige kelele,kiti kimoja mtoto mmoja,na si watatu.
 
tukubali ni muhimu sana kufunga mkanda mm naamini wangefunga mkanda maafa yangepungua kwakweli inaumiza sanasana
 
..
. ..hilo basi limevuka Beria Ngapi
..Meserani...Mti Moja ...Makuyuni...Mto wa Mbu..Manyara...aiseeehhh
Yaani mkanda hua una saidia sana, mimi hapa nimhanga wa mojakwamoja kwenye issue ya kufunga mkanda
 
Inaskitisha sana,natamani niseme safari za wanafunzi wa shule,zisitishwe,ili kutafutwe njia sahihi na salama,za kuwasafirisha wakiwa kwenye safari za mafunzo za pamoja.Mungu anasema,jisaidie,na mimi nitakusaidia.
kitabu kipi kimeandika hivo, kama ni bible in sura na mstari UPI mkuu
 
halafu kwenye picha mbona kama wanahuzunika fulani hivi hawa watoto, mioyoni mwao kama vile wanatamani safari istishwe ila sababu labda kwa kuogopa walimu wanashindwa kusema sisi hatuendi. Inauma sana yani!
 
..
. ..hilo basi limevuka Beria Ngapi
..Meserani...Mti Moja ...Makuyuni...Mto wa Mbu..Manyara...aiseeehhh
Kuvuka beria na kupata ajari ni vitu viwili tofauti. Gari haikuwa na abiria zaidi ya uwezo wake. Hakusimamishwa mtu. Sasa mapovu ya nn
 
Back
Top Bottom