Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,204
- 22,652
......uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?
hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.
Mungu awalaze mahala pema.
...uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?
hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.
Mungu awalaze mahala pema.
yeah ni kweli, cha muhimu ni kujifunza kutokana na makosa. next time tuwe makini....
...Mkuu nisamehe Tumekosea..TUKUBALI
.....uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?
hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.
Mungu awalaze mahala pema.
......yeah ni kweli, cha muhimu ni kujifunza kutokana na makosa. next time tuwe makini.
......Tuoneshe uzembe upo wapi hapo
....Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.
Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.
Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.
Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
......Inaskitisha sana,natamani niseme safari za wanafunzi wa shule,zisitishwe,ili kutafutwe njia sahihi na salama,za kuwasafirisha wakiwa kwenye safari za mafunzo za pamoja.Mungu anasema,jisaidie,na mimi nitakusaidia.
Sijui, lakini hata kama angepakia kwa idadi sawa na iliyoruhusiwa lisingepata ajali?......
......hilo basi kisheria linaruhusiwa kupakia abiria wangapi?