Nilisikia kuwa ugeni wa njia nayo ilikuwa tatizo..sasa ukichanganya na mvua na break kufeli ndo ilikuwa shida zaidi. Mungu azilaze roho za watoto wetu mahala pema peponi!It seems the bus was libovu na nahisi service lilikua halihuzulii on time.brake kufeli ni uzembe kwa nini brake ifeli.
Ni kweli kabisa hizi shule zinakawaida ya kujaza watoto kama mizigo..kuna kipindi shule moja kimara tuliwashusha watoto ili kupata bus jingine.. Hatua stahiki zichukuliwe kwa uzembe huu..Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.
Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.
Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.
Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
Serikali irudi katika mashule yote na ikague magari yanayotumika kubeba wanafunzi kwani mashule mengi yanatumia magari yaliyochakaa sana kiasi kwamba inawezekana ndiyo ikawa hata ndiyo chanzo cha ajali iliyochukua watoto wetu.....
.....We need to Rethink uzembe uzembe Uzembe
Hata madereva wetu waleo ni wengi wao hawajui kucheck magari yao pindi wanapoyachukua asubuhi,brake fluid imo ikitokea dharura brake zimefail tumia hand brake ivute polepole meno mawili mawili gari itapunguza mwendo badili gear weka low range 3,2,1 hapo umeshalicontrol gari kama ni mteremko mkali simama piga simu machenics watumwe.It seems the bus was libovu na nahisi service lilikua halihuzulii on time.brake kufeli ni uzembe kwa nini brake ifeli.
Nikweli Mkuu, sema kwa asili yetu hata hatutajifunza lolote, labda kwakuwa raisi ni mkali. Ubinafsi umetujaa na sifa za kijingajinga.TUKIO HILI LITUFUNZE KWAMBA, MOSI, Magari ya SHULE yawe na ukaguzi maalum wa Mara kwa Mara, PILI, Watoto wasikalishwe seat moja watoto watatu au zaidi. TATU, Kabla ya safari waalimu wahakikishe kila mtoto kafunga mkanda na waelezwe umuhimu wa mkanda huo. NNE, Waalimu wamdhibti dereva pale anapoendesha kwa kazi kubwa bila kuzingatia hali ya hewa, na nature ya Barbara YENYEWE ilivyo. AJALI HII ILIYOTOKEA CHANZO NI MWENDOKASI WA DEREVA GARI LIKAMSHINDA LIKASEREREKA NA NDO HAYA MATOKEO YAKE.JAMBO LA KUSIKITISHA DEREVA ALIENDESHA MWENDO KASI NA WAALIMU WALIKUWEMO WAKAMUANGALIA ILI WAWAHI KUFIKA!! KUTEGEMEA TRAFIK BILA WEWE MWENYEWE KUJIJALI ITAWAGHARIMU SANA.KUMBUKA UKIMUACHA DEREVA AENDESHE ATAKAVYO AJALI IKITOKEA UTAKUFA WEWE DEREVA MARA NYINGI HUPONA.!!! Kazi kwenu mnaojifanyaga mpo kimya. Mimi binafsi ninaposafiri ninaweka Katibu kabisa namba za polis ili dereva akiendesha vibaya namkemea akigoma kupunguza mwendo namwambia napiga Simu Polisi nikimwambis hivyo hupunguza mwendo hata kama baadhi ya abiria wasiojielewa humtaka aongeze mwendo. TUWE MAKINI TUACHE UZEMBE
Hivi lakini tudhibitiwe na askari wakati nasisi ni watu wenye akili na ndoto zetu? Gari linapakia watu halafu abiria mpo, mumtegemee tu askari ktk kudhibiti mwendo kweli jamani?Hawa maaskari wetu wanaojazana mijini kukusanya mapato ya tra wawekwe huko high way kudhibiti mwendokasi
Hapa umesema la ukweli, mtu gari lake likishashindwa mshindani ktk biashara ya usafirishaji wa abiria hulikodisha kwa shule, mbona ya watalii ni mazuri? Ubinafsi ndo dhambi kuu kupita zote.Sihukumu ila
katika magari mabovu yanayobeba abiria Tanzania..Magari ya Shule(school buses) yanaongoza Kwa ubovu...
Pumzikeni Kwa Amani watoto wangu...
Ni sawa lakini je ile kauli ya raisi ambaye kumtaja tu unakuwa umetaja siasa ilikuwa na mlengo wa kuokoa ama kuangamiza.Acha siasa kwenye mambo kama haya. Pengine hujawahi kukumbwa na ajali. Hakuna mtu anaependa ajali haswa akiwa amebeba roho za watu wengi sembuse yake mwenyewe. Sababu za ajali mara nyingi hazihusiani na mamlaka. Bali mazingira ya sehemu ajali ilipo tokea.
Kwahiyo hakuna uzembe hapo? Unataka kusema wamekufa kwa natural death wale au ni an act of God? Wameondolewa na Kimondo kwani? Kwa vyovyote ni uzembe, hata kutoforesee ni uzembe wa kufikiri. Uwe wa askari, mmliki, dereva, gari , walimu, uzembe upo tu, tusifiche maradhi, kifo kitatuumbua.Watu wengine mnalaumu msichokijua uzembe wa nani sasa tuache lawama jamani wafariji wafiwa acha lawama
Mshana Jr. alishaanzisha uzi hapa jukwaani.Ni kama walijua kilicho mbele yao hapo kila huyo amekaa kihuzuni ukiangalia vema.
36 kwa toyota coaster ni sawa,ni gari ngumu sana na zina powerful 1hz engines,kwa hapa dar ndio zinaongoza katika usafirishaji wa watu tena over loaded.....
.....hilo basi uwezo wake ni kupakia abiria wangapi?
Kwahiyo hakuna uzembe hapo? Unataka kusema wamekufa kwa natural death wale au ni an act of God? Wameondolewa na Kimondo kwani? Kwa vyovyote ni uzembe, hata kutoforesee ni uzembe wa kufikiri. Uwe wa askari, mmliki, dereva, gari , walimu, uzembe upo tu, tusifiche maradhi, kifo kitatuumbua.
Yes there you are.Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.
Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.
Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.
Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule