Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.
Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.
Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.
Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule