Uzembe Wetu umetufikisha Hapa ...Inauma

Uzembe Wetu umetufikisha Hapa ...Inauma

Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.

Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.

Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.

Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
Kwani ripoti imetoka kwamba ilo basi lilipata ajali kwa sababu walijaa sana?
 
Inauma na inasikitisha mmno tumepoteza taifa letu lakesho doh RIP FOR all brother s & sister s
 
.......
.......Moderetors msiinyofoe hiyo picha TUPEANE DISPLINI HAPAHAPA .....JamiiForums ni Shule
Na bora umesema maana uzi ukifikia patamu jamaa hawa wanaunyofoa watuache tunyooshane.
Majuzi raisi katamka kuwa pesa wanayoopewa askari wetu barabarani ni ya viatu tu kubrashia ina maana alikuwa anasisitiza rushwa.
Leo askari atashindwaje kuchukua rushwa na kusababisha mauaji haya yote?.Raisi kawapa nguvu.Kauli ya kutolewa na monota wa darasa la tatu inatolewa na raisi wa nchi naomba hata raisi ajitafakari kwa kauli zake maana amechangia vifo hivi.
Bila kupepesa macho tusemane ukweli rushwa ndiyo inayotawala barabarani ukiona unasumbuliwa sana ujue huna hela.Askari wetu wamepewa kibali na raisi wa nchi.
 
Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.

Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.

Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.

Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
Suala la msingi hapa ni je haya mabasi ambayo kwa kawsida a huwa yana kazi nyingi sana za kusafirisha wanafunzi ambazo japo ni ni za kila siku japo zinaonekana ni fupi lakini ni ngumu kwakuwa gari linatumika sana na kwenye barabara mbaya za mitaani hivyo magari mengi ya wanafunzi huwa katika hali mbaya sana katika kipindi kifupi cha uhai wake kiasi kwamba hayastahili hata kidogo kutumika kwa safari ndefu, nina uhakika hili gari halikupata service kamilifu kabisa wakati likianza safari hii. Service ya kubadili oil pekee haitoshi kwaaina ya magari ya namna hii ambayo matumizi yake ni makubwa kuliko hata yale ya masafa marefu.
 
Mleta mada, ajali ni ajali, hata huko nchi zilizoendelea freak accident tena mbaya zaidi ya hii utokea.
 
uzembe ki vipi mkuu? si ilikua ajali?

hatuwezi kuondoa ajali zisitokee, the best we can do ni kuwa makini ili kupunguza zisiwe nyingi.

Mungu awalaze mahala pema.
Hapo mahali hapafahaiki kuwa ni hatari? Kwanini wasiweke angalizo hata kwa mgeni wa hiyo njia aelewe?
 
Na bora umesema maana uzi ukifikia patamu jamaa hawa wanaunyofoa watuache tunyooshane.
Majuzi raisi katamka kuwa pesa wanayoopewa askari wetu barabarani ni ya viatu tu kubrashia ina maana alikuwa anasisitiza rushwa.
Leo askari atashindwaje kuchukua rushwa na kusababisha mauaji haya yote?.Raisi kawapa nguvu.Kauli ya kutolewa na monota wa darasa la tatu inatolewa na raisi wa nchi naomba hata raisi ajitafakari kwa kauli zake maana amechangia vifo hivi.
Bila kupepesa macho tusemane ukweli rushwa ndiyo inayotawala barabarani ukiona unasumbuliwa sana ujue huna hela.Askari wetu wamepewa kibali na raisi wa nchi.
Acha siasa kwenye mambo kama haya. Pengine hujawahi kukumbwa na ajali. Hakuna mtu anaependa ajali haswa akiwa amebeba roho za watu wengi sembuse yake mwenyewe. Sababu za ajali mara nyingi hazihusiani na mamlaka. Bali mazingira ya sehemu ajali ilipo tokea.
 
Naamini hawa satirical wangefunga mikanda ya seat [emoji575],hakika idadi ya vifo ingepungua.
 
Kwani ripoti imetoka kwamba ilo basi lilipata ajali kwa sababu walijaa sana?
Halafu 24 kwa 33 tena watoto ujazo kusingekuwa sababu, labda ktk kufunga mikanda tu. Kuna mdau amesema breki zilifeli, hapa panawezekana ndiko penye kiini, spidi na breki kufeli labda. Lakini kubwa ni falsafa ya mafanikio ni kutajirika, wamiliki wa shule wanafanya kila liwezekanalo wapungue gharama za uendeshaji waongeze vipato vyao, inawezekana gari halikuwa na service kwa muda mrefu, au dereva si makini ili akubali malipo madogo nk.

Inakera watu kutokujali hata uhai wa watu, tena watoto, tena wanafunzi toka shule bora kwa kufaulisha, hii ni hasara kubwa si kwa wazazi tu bali taifa kwa ujumla, degree nyingi za miaka ijayo tumezipoteza. Tanzania hayuko makini kabisa, kila mtu anabaki maslahi binafsi tu, hizi ajar ni kama kilitakiwa zitoke daily, hayuko makini kabisa. Mibaya zaidi hata hatutajifunza lolote kupitia hili. Ni watoto wadogo, automatically wamerudi kwa muumba direct, hakuna haja ya kuwaombea, Mungu awatie nguvu wazazi na wafiwa wote kwa ujumla ktk kipindi hiki kigumu.
 
Lile basi maximamu.ni watu 24,limeweka watoto 33,walimu 3.

Kwanza shule lazima ishtakiwe.Watoto hawa wazazi wao wamelupa full nauli ya kwenda na kurudi kwanini sikodishwe basi kubwa ya Watu 48 mbili watoto wakawa comfortable.Hizi pesa Mara nyingi walimu na wenye shule wanapeana.Ifike mahali hata zile school basi zianze kubabea wanafunzi level seat,tuache mauaji haya.

Tusialaumu ajali tulaumu Mwalimu mkuu na owner wa shule.Basi kilikuwa limepakiwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.

Tuache kulaumu trafiki tuanze na sisi wenyewe wazazi kuwasimamia wenye shule
Usemalo ni kweli wazazi wamelipa tena sio chini ya 70000 kwa hiyo trip,instead ya kukodisha coaster wamechukua huo mkweche wao na kubebea wanafunzi,yameshatokea ila wangefika salama kwenye kurudi miteremko ni mikali sana sijui kma lingemudu.
Mimi juzi nimekataa trip ya mtoto kwenda bagamoyo mtoto alilia sana bt sikulegeza uamuzi wng.
Nimetoka dar nadrive ni mvua mwanzo mwisho na malori mengi yameanguka njiani kwa utelezi nkasema mtoto hasafiri
 
Labda tungekuwa tunawawajibisha wahusika tungejifunza kuwa makini na tahadhari, mfano hapa kamanda wa polisi barabarani mkoa apitwe chini, waliokuwepo damu wote jela, mmiliki wa gari jela, mkuu wa shule jela, hapa wengine tungepata funzo.
 
TUKIO HILI LITUFUNZE KWAMBA, MOSI, Magari ya SHULE yawe na ukaguzi maalum wa Mara kwa Mara, PILI, Watoto wasikalishwe seat moja watoto watatu au zaidi. TATU, Kabla ya safari waalimu wahakikishe kila mtoto kafunga mkanda na waelezwe umuhimu wa mkanda huo. NNE, Waalimu wamdhibti dereva pale anapoendesha kwa kazi kubwa bila kuzingatia hali ya hewa, na nature ya Barbara YENYEWE ilivyo. AJALI HII ILIYOTOKEA CHANZO NI MWENDOKASI WA DEREVA GARI LIKAMSHINDA LIKASEREREKA NA NDO HAYA MATOKEO YAKE.JAMBO LA KUSIKITISHA DEREVA ALIENDESHA MWENDO KASI NA WAALIMU WALIKUWEMO WAKAMUANGALIA ILI WAWAHI KUFIKA!! KUTEGEMEA TRAFIK BILA WEWE MWENYEWE KUJIJALI ITAWAGHARIMU SANA.KUMBUKA UKIMUACHA DEREVA AENDESHE ATAKAVYO AJALI IKITOKEA UTAKUFA WEWE DEREVA MARA NYINGI HUPONA.!!! Kazi kwenu mnaojifanyaga mpo kimya. Mimi binafsi ninaposafiri ninaweka Katibu kabisa namba za polis ili dereva akiendesha vibaya namkemea akigoma kupunguza mwendo namwambia napiga Simu Polisi nikimwambis hivyo hupunguza mwendo hata kama baadhi ya abiria wasiojielewa humtaka aongeze mwendo. TUWE MAKINI TUACHE UZEMBE
 
Hawa maaskari wetu wanaojazana mijini kukusanya mapato ya tra wawekwe huko high way kudhibiti mwendokasi
 
Back
Top Bottom