Hali Ilivyo Barabara ya Makete - Mbeya via Kitulo National Park. Je, hawa nao wanafurahia Treni za SGR?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,822
Wananchi walazimika kuvuta Gari lililokwama kwenye tope kwenye Barabara inayoungamisha Mkoa wa Njombe na Mbeya Kupitia Makete na Hifadhi ya Taifa ya Kitulo.πŸ‘‡πŸ‘‡

Barabara mbovu za aina hii zimetapakaa Kila Kona ya Tanzania lakini Serikali inajenga Dar na Dodoma huku ikiendelea kumwaga pesa kwenye vipaombele ambavyo havisaidii uchumi wa watu wengi kama Sgr,matanki ya Mafuta na miradi mingine kama hiyo mfano masoko ya Gorofa ,stendi za bei mbaya etc.

My Take
Viongozi wa Nchi hii Wana matatizo sana ya kupanga kipi kianze Kwa wakati upi na kipi kifuate.
😁😁😁 Kusini Kwa Waziri Mkuu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C36yQwrqgj5/?igsh=MXR2dDd6eWV1MjgxYQ==
 
Barabara mbovu za aina hii zimetapakaa Kila Kona ya Tanzania lakini Serikali inajenga Dar na Dodoma huku ikiendelea kumwaga pesa kwenye vipaombele ambavyo havisaidii uchumi wa watu wengi kama Sgr,matanki ya Mafuta na miradi mingine kama hiyo mfano masoko ya Gorofa ,stendi za bei mbaya etc.
Wanamnyanyasa tu baby face
 
Wananchi walazimika kuvuta Gari lililokwama kwenye tope kwenye Barabara inayoungamisha Mkoa wa Njombe na Mbeya Kupitia Makete na Hifadhi ya Taifa ya Kitulo.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C35Pacyq8k8/?igsh=MXdycmFpMTVrbTdneg==

Barabara mbovu za aina hii zimetapakaa Kila Kona ya Tanzania lakini Serikali inajenga Dar na Dodoma huku ikiendelea kumwaga pesa kwenye vipaombele ambavyo havisaidii uchumi wa watu wengi kama Sgr,matanki ya Mafuta na miradi mingine kama hiyo mfano masoko ya Gorofa ,stendi za bei mbaya etc.

My Take
Viongozi wa Nchi hii Wana matatizo sana ya kupanga kipi kianze Kwa wakati upi na kipi kifuate.
😁😁😁 Ruangwa Kwa Waziri Mkuu πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2919817

Hii baraba Magu alisema inawekwa lami kumbe bado!!
 
Hakuna Barabara zozote za maana Mwendazake alijenga zaidi ya Ile ya Mpanda-Tabora,za Dom na Dar.

Imejengwa kutoka Njombe-Makete ila section iliyosalia ndio kama unavyoona hapo Juu.
 
Wananchi walazimika kuvuta Gari lililokwama kwenye tope kwenye Barabara inayoungamisha Mkoa wa Njombe na Mbeya Kupitia Makete na Hifadhi ya Taifa ya Kitulo.πŸ‘‡πŸ‘‡

Barabara mbovu za aina hii zimetapakaa Kila Kona ya Tanzania lakini Serikali inajenga Dar na Dodoma huku ikiendelea kumwaga pesa kwenye vipaombele ambavyo havisaidii uchumi wa watu wengi kama Sgr,matanki ya Mafuta na miradi mingine kama hiyo mfano masoko ya Gorofa ,stendi za bei mbaya etc.

My Take
Viongozi wa Nchi hii Wana matatizo sana ya kupanga kipi kianze Kwa wakati upi na kipi kifuate.
😁😁😁 Kusini Kwa Waziri Mkuu πŸ‘‡πŸ‘‡

Ccm ndivyo mlivyo
 
Back
Top Bottom