Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

Ni kawaida ya watu wasiotimiza majukumu yao ya msingi kazini kujitengenezea vikazi visivyo ma kichwa wala mguu ilimradi tu na wao waonekane wanafanya kazi.
 
Ndugu yangu wee. Hapo kama kuna mmoja anayo sijui wengine wataponaje. Kwanza hata huu mtindo wa kumega ugali na kuchovya kwa kuchangia wengi hawautumii siku hizi. Mbona sahani zipo nyingi na bei ni rahisi kabisa?
Ila binadamu bana...mtu unaweza kupendekeza kila mtu atumie sahani yake ila ukaishia kuonekana unajifanya mzungu...
 
Kwanza angebeba mtondoo na kudeki kisha Angekata gogo mubashara kwenye ile ndoo mwisho angeng'oa kisiki angalau cha mti mmojawapo kati ya Iron tree au Eucalyptus kama siyo millitia exelsa au kupasua kuni toyo bajaji moja au kuvunja mawe at least debe 15.
Sasa anakula ugali ambao kuna watu wanafanya uhalifu ili wapelekwe jela wakale bure.
 
Back
Top Bottom