hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Bado unaongea kiushabiki Russia hawezi kupigwa kwa sababu na yeye ana Washirika wake pia ambao Ni China , Iran , Korea kaskazini , Mbaya zaidi hayo mataifa yote Yana tumia nyukilia , Unadhani Russia atapigwa siitakuwa unaota mkuu,, na hiyo haitokuwa Vita ya Russia na USA pa1 na Washirika wake Bali hiyo itakuwa ni WW3 Kwa sababu ya nguvu ya kijeshi na ya ushawishi ambayo mataifa hayo mawili wanayo " so usitegemee kuwa Kuna Vita hapo ambayo itatokea Hakuna ambaye atakaye kuwa tayari kuona Mataifa Yao yanageuka majivu na kuanza Maisha yao upya ktik dimbwi la Umasikinisina maana iyo mkuu siwez idharau urusi hata kdogo wkt ni ya pili dunian kwa nguvu za kjeshi kama n ya pili maana yake yupo wa kwanza
nlichosema ni kwmb iktokea vita kamili kati ya urusi na washrika wake na marekan na washrika wake ukwel n kwamba urusi hiyo vita hawez shnda hapa tutabshana kshabk tu ingawa baada ya vita kuna mataifa yatakuwa yamepotea kbs
Na wewe unanishangaza kuwabeza nato na marekani na isingekuwa nato na marekan kusogea pale ukraine kwa jeuri ya putin angeshaingia ukraine muda mrefu sana lakn unadhan yeye haijui nguvu ya nato na marekani
mtu wake wa hv karibun turkey ameshamsaliti yuko upande wa ukraine
Vita ni uchumi na tech urusi hana uchumi wa kupgana na hao mabeberu hata kwa miez 4 tu kwa mujbu wa data za kiuchumi dunian kuna majmbo tu ya marekan yanaizd urusi uchumi.
Kuhusu tech hasa za kvta huwa nafatilia pia kati ya marekan na urusi iko waz mrusi ameonekana kufanya vzuri sn kwny vifaru na air defence haya ma s yake
Lakn linapokuja swala ndege marekan yuko mbali sn urusi hamgusi kiujumla vita ya anga marekan ni hatari ndo maana putin anapambana kuboresha air defence
kuhusu hayo mabalistics hayo hata marekan anayo ya kutosha ila ni swala la timing tu.
Tukileta ushabiki humu ndo yale eti north korea anaweza mpga marekan au iran anaweza mpga marekani huu ndo ushabk tu ila ukweli mtu wa kumtetemesha marekan ni urusi tu uyo mchina ni mrembo sn ndo maana katshwa kdogo tu khs hongkong kanywea taiwan ndo hawez jaribu kbs.