Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

Nani kamzuia North Korea asiwe na mikataba yake?
Mbona Russia yuko Syria, Turkey yuko Azerbaijan, Iran yuko Iraq na Syria, etc
Korea north wala hajazuiwa sababu wakumzuia inaonekana mpaka sasa hajatokea
ila anaona yeye mwenyewe anaweza kudeal nahayo mambo ndio maana yuko mwenyewe
 
Back
Top Bottom