Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Huenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
Mda ni Mwalimu.
Uzuri hata akikaa Kama sabaya bila wadhifa ni kubadilisha MajukumuHuenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
Huenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
Ankuja kuwa katibu mkuu wa BASHITEHuenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
📌kinachotakiwa kuboreka na kubadilika ni hali ya maisha ya Watz,
Huenda hauna uhakika.Huenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador
Mbona yale mabandiko yaliyotangulia uteuzi wa Makonda hayakubadilisha uteuzi wake? Au umesahau kuwa watu waliweka mabandiko ya utabiri hapa jukwaani kabla ya uteuzi wenyewe?Kwa bandiko hili hatabadilishwa hata Kama lengo lilikuwa kumbadilisha.
Nyinyi ndo wale WAHUNI anao wakataa. Mwancheni mzendo apige kazi#KataaWahuniHuenda ndugu Polepole atabadiridhiwa majukumu hivi karibuni na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.
Hii iliwatesa sana wahuni.Hivi ile kampeni yake ya kataa wahuni bado ipo?
Aise mbona sasa anawakataa wahuni.Pole Pole atakuwa amepamisi sana Tz, kuna kale kagheto kake na kale kakitanda kadogo ka kihuni kaliwafanya wahuni kumuona Pole Pole ni mwenzao.
Ww una udini na ukanda, huyo polepole wako Mtasubiri sanaHuenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi.
Mda ni Mwalimu.