Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Je unaweza mruhusu mwenziwako akae na simu yako siku nzima?
yes sir:dance:!!!
Je unaweza mruhusu mwenziwako akae na simu yako siku nzima?
Pengine labda kuna document za muhimu ambazo labda ni confidential!!! si unajua kazi nyingine bwana una ambiwa even ur wife can betray u?
Je unaweza mruhusu mwenziwako akae na simu yako siku nzima?
Jamani mie nina ugomvi na mtu wangu yaani password simu zote ya kazini na yakwake yaani ananikera sana najua naibiwa tu ila sina jinsi
Unataka kugusa simu ya mwenzio ili iweje? Unataka kuachana nae? Kama huna nia ya kuachana nae, we tulia tu na jiamini. Kaa na simu yako na yy na ya kwake, afterall ni za MKONONI sio mezani. Kama ameweka passwd ambazo ww huzijui, maana yake hataki uumie-he cares about you (the glass is half full, rather than half empty)!
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Watu bwana kwa vimisemo vya kujustify vitendo viovu!!!!! msemo mzuri thouUnataka kugusa simu ya mwenzio ili iweje? Unataka kuachana nae? Kama huna nia ya kuachana nae, we tulia tu na jiamini. Kaa na simu yako na yy na ya kwake, afterall ni za MKONONI sio mezani. Kama ameweka passwd ambazo ww huzijui, maana yake hataki uumie-he cares about you (the glass is half full, rather than half empty )!
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Watu bwana kwa vimisemo vya kujustify vitendo viovu!!!!! msemo mzuri thou
Anasema sababu za kiofisi mimi yangu iko wazi masaa yote na akitaka kutumia anatumia tu

Password ni kama zipu kila mtu anafunga yake na kuifungua kw awakati wake

iweboju

kwa hiyo zipu ya mume wangu binafsi nisiiguse?mi nilishakuta password wala sikumuuliza.nikaweka password kila mahali.alitoa siku ya pili.hata kama u ar fooling around u should do ur homework bana.mnajifanya hamuangaliagi simu zetu,tofauti ni kuwa nyie mnaangalia kwa siri sisi tunakagua mbele yenu,period.kama hakuna wivu hakuna mapenzi hapo!

Wifi embu wape somo hawa majamaa....wanaficha ya kwenye simu wakati vyenye thamani vipo kwenye suruali na hawafichi!!