Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,801
- 59,274
Hata mwili ni wake....na pesa ni zake...marafiki ni wake...ndugu ni zake ila mnashea!!Tatizo ndo lije kua simu?!...simu ya kwake. hata alifungia kufuli
ni sawa tu, si ya kwake? ...Invasion of privacy yana kikomo chake bana.
Hata mimi sipendi na wala sitaki kuulizwa yaliyomo kwenye simu yangu.