UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna sababu ya kurudia Uchaguzi kwa sababu uchaguzi ulifanyika kwa mujibu wa Katiba na ulihusisha wadau wote muhimu wa Uchaguzi.

Wameto kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati wakitoa maoni yao kauli za CHADEMA ziliztolewa hivi karibuni ambapo wameeleza hata madai anayoyatoa kuhusu kuwepo kwa Serikali ya mpito ambayo itaongozwa na watu wengine ambao si Watanzania, kufanya hivyo ni sawa na kukubali Tanzania irudi kwenye kutawaliwa sawa na kipindi cha ukoloni.

Soma pia PostGE2025 - CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

 
Back
Top Bottom