UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

Usidanganye watu Mimi nilikuwepo makonda alitoka ukumbini kwa kujificha kupitia mgongo wa jaji warioba baada ya kuona usalama wake uko hatarini na eneo hilo ndilo makonda amepigiwa kipigo kibaya Sana na watu waliomtoa Mzee warioba wanajulikana yule mlinzi wa hotel na kijana mmoja ambaye hupenda kwenda kwenye malumbano ya hoja pale Itv kila alhamisi
 
Asante sana mkuu, kamwe tusikubali hawa wahuni kuja na uongo wao kisa tu wantetee huyo mhuni na mjinnga anayepiga wazee
 
Inanishaangaza sielewi ni kitu gani CCM hawataki watanzania tuelewe ndani ya hiyo KATIBA YAO.Zamu yao siimekwisha?Watuachie wananchi tuelimishwe mbivu na mbichi wanaogopa nini?Makonda Paul mbona umeshindwa kulinda heshima ya nchi?Mara zote mnasema CDM ndiyo wagomvi sasa tumewajua ni nyinyi vijana wa CCM ambao mnakula bila kunawa na kuuza mali za Taifa.
 
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi

Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770

Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772
Sasa kama maelezo yako ni sawa je Mabango yalikuwa ni vijana wapi? Utarukaruka sana lakini hiyo fedheha ni kazi sana kujinasua
 
Hayo mabango kwanini msingeyaweka huko barabarani? Mlijua kuwa Warioba tayari ni mwiba kwenu.Kama Katiba inayopendekezwa ni nzuri acheni ijitetee yenyewe.Acheni watu waichambue
 
Ccm itaongoza nchi hii karne zingine 3 zijazo. Inapendwa inakubalika na inamjali mtz
ccm ingekubalika tanzania, isingechakachua maoni ya watanzania kuhusu katiba waitakayo kamwe! Ccm inatumia nguvu za dola kuendelea kutawala hapa tanzania na si vinginevyo!
 
Peter Dafi kumbe niwewe uliekuwa na Makonda mpkipiga mzee wa watu! Laana itawatafuna nyie. Kwani mlitumwa nani mfanye fujo?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
Watanzanaia hawawezi kuacha WARYOBA na WANAHARAKATI wanaligawa taifa vipande vipande eti kwa kuogopa kuambiwa wanakimaliza chama, 2015 tutaona nani anakwisha CCM au UKAWA, manake CHADEMA imeshakufa, bado UKAWA.
hakuna chama kilichoshindwa kuunganisha watanzania kwa sasa katika taifa letu kama ccm, mchakato wa taifa kwa sasa umeligawa taifa vipandevipande badala ya kuliunganisha!
 
Mleta mada ni mpumbavu.

Uliwafahamuje hawa kwamba ni CHADEMA wakati mkutano ulkuwa wa taasisi ya mwalimu nyerere?

Huyo Mamirenda, alikwenda kufanya nini kwa Warioba? Tangu lini yeye akawa mlinzi wa Judge?

Tena asije akamgusisha sumu ya mwakyembe maana ninyi ccm ni magaidi.

Kama ulikuwa ni mdahalo wa majadiliano, mabango ya siri mliingia nayo ya nini?

Kwa nini mkataze watu kujadili katiba kama inapendwa kiasi hicho?

Kitaelewaka tu!.

Mungu hapokei wala kutoa rushwa!
 
tamko nila uvccm na makonda ni mwenyekiti wao, ulitegemea tamko liwe vipi?
 
Akihojiwa na BBC leo asubuhi, Makonda amesema kuwa hizo picha ni za kubuni kwa kompyuta, sasa hivi amegeuka na kusema kuwa alikuwa akimsaidia Warioba!
 
Peter Dafi hujisikii hata aibu? Chadema wangempigaje Warioba wakati ndio wanaomuunga mkono? Au umesahau leo kuwa CCM haimtaki tena Warioba kwa sababu ya kupendekeza serikali 3 katika katiba?
Halafu mbona huzungumzii walioinua mabango? Nao walikuwa Chadema?
 
Last edited by a moderator:
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi

Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770

Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772

Pichani nini kilichokuwa kinaendelea?
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=198537&d=1414949181
 
Acheni kupotosha watu Kwa wenye weledi na tunaojua kuangalia BODY LANGUAGE tunajua kilichojiri shame on him. ImageUploadedByJamiiForums1415025311.308753.jpg
 
Hoja dhaifu mno

Onyesha udhaifu wake. mmeenda na mabango ya kupinga kinachoongelewa kwenye kongamano la ndani ya ukumbi, mlilazimishwa kwenda? hayo mabango si mngeandamana nayo barabarani kama mlimaanisha kuwasilisha hisia zenu kuhusu katiba yenu pendwa? kwa nini mwingie kwenye mkutano/kongamano lililoandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kujifunza wakati ninyi hamna haja hiyo? Hizo vurugu mmeanzisha ninyi na ni plan maalum yenye lengo la kuzuia watu kama Warioba wasiongee ili mbaki wenyewe tu mkiwalazimisha watu wapigie katiba kura ya ndiyo. You are dumb!
 
Back
Top Bottom