UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

Sasa wewe nawe mbona unatupigia kelele za kumtetea Makonda? Show the difference basi, hata hivyo, kelele za UKAWA wewe zinakuhusu nini? Waache waendelee na kelele zao na wewe endelea na mambo yako. Tangu lini ukawamtetezi na mshauri wa UKAWA? Mnajaza thread tu ambazo hazina vichwa wala miguu halafu wale jamaa zako wanakuja kukusapoti. Poor you
Kati ya wale maadu 11 aliyowataja Membe itv moja wao ni Warioba, so juzi Makonda alitumwa kwa dhumuni la kummaliza kabisa, mleta mada bila shaka atakuwa Nape
 
sinema ya bure hiyooo chezea wachaga weweee. Hiyo ndiyo kazi ya wanasiasa wa Kiafrika. hiyo kitu ilipangwa kuchafuana. toeni video. camera za cctv anayeziendesha hapo kuliko fanyika mdahalo ajiandae kujazwa mapesa adelete seen hiyo. mnatumika tu nyie makanjanja,mnapelekwa na mabasi ya kukodi halafu mnadai mnawakilisha wananchi. mlaaniwe nyie kwanza. kura ya maoni ndio jibu,hujuma hazisaidii . ITV wanafiki toeni video tujue ukweli
 
Back
Top Bottom