UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

Jifunze kuandika. kila neno unaanza na herufi kubwa maana yake nini.Nyie vibaraka wenzake, mchangieni fedha apate ada akasome QT itamsaidia hata akipata Division Five poa tu.
 
Alafu ndio kichwa radio uhuru wanachokikubali.
 
nini kiliwapeleka ukumbini nyinyi uvccm angalu warioba mlishampinga na mmepiga kura za waz za ndio kwa katiba pendekezwa, sasa unaendaje kusikiliza mawazo ya mtu uliyempinga kwa nini hamkukaa majumbani kwenu.?
Eeehe! Walienda ukumbini kufanya nini? Warioba wameshamtukana sana hadi katika bunge lao hilo. Katiba wanasema wanaiunga mkono, walienda kufanya nini? Acheni mbinu za kizamani za ushushushu. Mzee Warioba hakutukana mtu, alitoa hoja tena zingine anaifagilia CCM, huo ni uhalifu kama mwingine. Makonda alitumwa na Sitta. Ndiye anadaiwa kumrushia chupa Mzee Warioba, siasa gani hizi ujinga mtupu.
 
na hata video na picha za mnato zote hakuna sehemu zinaonesha Makonda akimpiga Waryoba, sijui uzushi huu unalenga kumfanya nini Makonda.

Kweli wewe ni kipofu basi hata maskio huna? unaambiwa ule mpango umesukwa na Makonda wakirubuniwa ni akina jopo la Samwel Sitta ambao wakimuona Warioba ukumbini anaipasua katiba ya vijisenti roho zinawauma. Inteligensia ya ccm imeishiwa hizi ni mbinu chovu sana.
 
Nahiyo laana imkute makonda,mungu lingazie Taifa hili La Tanzania na utuondolee vijana WA huni waaina ya makonda na washurika wao.mungu lisaidie taifa hili
 
ata mjitete vpy hiyo picha inaonesha.makonda anazuiwa.asimguse mzee warioba makonda kashalaaniwa kampiga babu yetu na ww umejitaja mwenyew
 
nini kiliwapeleka ukumbini nyinyi uvccm angalu warioba mlishampinga na mmepiga kura za waz za ndio kwa katiba pendekezwa, sasa unaendaje kusikiliza mawazo ya mtu uliyempinga kwa nini hamkukaa majumbani kwenu.?
hawakutakiwa?
 
Wewe mbuzi na ccm yako mtahaibika vibaya. Kijana wenu aliyefanya uhuni wa kuandaa kundi la fujo kwa kulipwa na makonda haonekani chuoni mpaka sasa. Ninasoma nae darasa moja namba zake zimetajwa humu jf. Ujumbe aliokuwa akiusambaza mpaka sasa ninao. Soon naweka picha yake humu na atafukuzwa chuo baada ya kukamatwa na police atakapoonekana mazingira ya chuo. Na bado nyinyi sisiem mnakuwa wabishi kwa mambo mliyo yaandaa na kuyatekeleza wenyewe... Kijana wenu mpaka sasa hana chuo na kundi lake lote linasakwa.

Mkuu utakuwa umefanya jambo la mbolea sana kama utaiweka picha ya huyo traitor humu.. Wakati umefika sana wa kupambana na hawa mahayawani kuanzia huku mitaani.. Hapa tulipofikia sasa sio tena kukaa nyuma ya laptop na kuandika.. Inabidi tupambane nao hawa watovu wa nidhamu kutokea mitaani..
 
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi

Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770

Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772

Kwani wewe ndiyo msemaji wa Uvccm, acha kudanganya watu, mimi nilikuwepo na hata watu wote waliona,Makonda alirusha chupa ikampiga mzee Warioba, then katika kutolewa mlangoni akampiga makofi mawili shingoni.....plz usidanganye watu tena
 
Wewe mbuzi na ccm yako mtahaibika vibaya. Kijana wenu aliyefanya uhuni wa kuandaa kundi la fujo kwa kulipwa na makonda haonekani chuoni mpaka sasa. Ninasoma nae darasa moja namba zake zimetajwa humu jf. Ujumbe aliokuwa akiusambaza mpaka sasa ninao. Soon naweka picha yake humu na atafukuzwa chuo baada ya kukamatwa na police atakapoonekana mazingira ya chuo. Na bado nyinyi sisiem mnakuwa wabishi kwa mambo mliyo yaandaa na kuyatekeleza wenyewe... Kijana wenu mpaka sasa hana chuo na kundi lake lote linasakwa.

Mkuu Aaron tafadhali sana sana na tunakuomba sana utuwekee picha ya huyo mjinga humu ndani, ili kwa muda wetu tukimpata sehemu tuweze kumshugulikia kidogo....Makonda kafanya ujinga na u.p..bavu wa mwaka....Vijana lazima tukemee kwa nguvu zote
 
Kunaa watu hawaoni lakini ni wanafiki na wachonganishi je wangekuwa wanaona ingekuaje?
 
Ungekaa ukanywa kwanza novida ya baridi kabla ya kuanza kutoa mipovu yako hapa,hamna adabu kabisa nyie wahuni na hii laana itamtafuna Makonda mpaka kaburini.
 
Sasa ilikuaje vijana wa Chadema waanzishe vurugu halafu polisi wasweke vijana wa CCM.?
Na mlijuaje kua hao ni vijana wa CCM hadi mkaenda kuwatoa polisi Usiku Usiku.!

Hii ishu ya fujo ilikuwa planned kabisa.kwa hali ya kawaida utajuaje kuwa waliokamatwa au waluopigwa ni CCM?
 
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi

Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770

Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772

Ningekushauri ufanye ziara mikoani kuwaelewesha watanzania kuhusu hili tena uanzie mkoa wa MARA!
 
chadema ni shiddah...uzushi ndo sera yao..
 
Basi tuoneshe picha au clip inayomuonesha Makonda akimpiga Waryoba.

Acha upuuzi we kenge!. Usiwe na akili kama vile umezaliwa kwa kupitia ile njia nyingine. Kila kitu unataka picha, ipo siku Mama ako akikwambia wewe ni mwanae utamwambia aweke picha inayoonesha akikuzaa.
 
Ningekuwapo ningemchafua Makonda kwakuichafua CCM.
 
Back
Top Bottom