Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
Kwa kitendo alichofanya anatakiwa apate adhabu stahiki katika mazingira yamayofanana Kwa kiwango kile kile na ikiwezekana kizidiswe zaidi
Tulaani kwa nguvu zetu wote, na kamwe tusikubali huu uhuni na ukora.....tusikubali watanzania huu uhuni wa Membe na Sita kutumia vijana kwa kupiga wazee wastaafu...
nini kiliwapeleka ukumbini nyinyi uvccm angalu warioba mlishampinga na mmepiga kura za waz za ndio kwa katiba pendekezwa, sasa unaendaje kusikiliza mawazo ya mtu uliyempinga kwa nini hamkukaa majumbani kwenu.?
Kwani wewe ndiyo msemaji wa Uvccm, acha kudanganya watu, mimi nilikuwepo na hata watu wote waliona,Makonda alirusha chupa ikampiga mzee Warioba, then katika kutolewa mlangoni akampiga makofi mawili shingoni.....plz usidanganye watu tena
Tuandamneee?????? Mxiii! Tuandamane kulaani kitendo cha huyu fa.la.?? Nani anamda huo wa kipuuzi? Mtu wa kugongwa tu hata na gari huyo uchukue traffic case ila umpe ulemavu kama sio kumdedisha ila sio kuandamana aisee.
Dah! mbona itakua ajabu. Ila unatania ee?
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.
Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.
Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.
Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.
Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.
Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.
Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.
Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .
Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.
Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.
Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.
Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.
Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.
By Peter Dafi
Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770
Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772
Acha ujinga wewe Makonda ndiyo katumwa na Membe na Sita kumpiga Warioba na issue ilikuwa kummaliza kabisa, kumbuka katika wale maadui 11 aliyowataja Membe moja wao ni WariobaHii ya kupiga kelele kuhusu Warioba ni uvivu wa kufikiri Warioba hajapigwa na Makonda mnazusha kulikuwa na tafrani kwenye ukumbi Makonda kwa heshima akaamu amsaidie kumnusuru asidhuriwe ila ukawa mmempiga mpanju wakati haoni ni dhambi kubwa na sawa na dereva mnywa viroba akamgonga mtu asiyeona
Taasisi zizizo za kiserikali zinashadadia kuhusu warioba.
Mjue Warioba hauuziki hata mfanye nini wananchi wengi wanasema sasa hao kigoda cha mwalimu wanakitumia vibaya shauri yenu