UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
394
Reaction score
272
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi

Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu. 1415012948733.jpg

Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.? 1415012992567.jpg
 
Wewe na wenzako akina Makondakta mnazidi kukitokomeza kaburini chama chenu kwa kubuni mbinu chovu za kuzuia mafuriko ya mabadiliko ambayo kwa hali yoyote hayazuiliki.
 
nini kiliwapeleka ukumbini nyinyi uvccm angalu warioba mlishampinga na mmepiga kura za waz za ndio kwa katiba pendekezwa, sasa unaendaje kusikiliza mawazo ya mtu uliyempinga kwa nini hamkukaa majumbani kwenu.?
 
Laana ya mzee Warioba itawatafuna nyie vijana wa CCM. MMedhihirisha matusi yenu bungeni kwa Mzee Warioba. Ok, turudi kwa makonda, hivi kwa akili zako unadhani Makonda anaweza kweli kumtetea Mzee Warioba? Kumbuka Makonda ni wa kambi ya Sitta na Sitta amesema hayo alijitakia mwenyewe Warioba. Makonda kuwa karibu na Mzee Warioba haiondoi ushiriki wake ktk kuratibu uharamia huu uliotendeka jana, pale alienda kujiegesha tu ili asipatiwe kipondo na tayari ile ni plan iliyopangwa mapema. Kati ya watu ambao wanamuombea kifo Mzee warioba ni pamoja na Makonda, halafu eti leo utudanganye kwamba alikuwa anamuokoa? Ktk hili laana mnayo
 
Basi tuoneshe picha au clip inayomuonesha Makonda akimpiga Waryoba.
 
Peter Dafi

1.Makonda alifanya kazi ngapi?
2.kwani kazi ya ulinzi ilkuwa ya Makonda?
3. huo mkutano ulikuwa ni wachadema na CCM?
4. Kwanini CCM kiliingilia mkutano wa wenyewe kwa mabango?
5. Huyo Amon Mpanju (aliyekuwa mbunge wa BMK) alienda kufuata nini wakati alijua kuwa chama chake kilipanga kwenda kuleta vurugu?
6. Katiba hii pendekezwa kwa sasa ikijadiliwa ni kosa?
7. Aliyeanzisha vurugu ninani hasa?
Sasa nimeamini ule usemi wa chadema wanaosema kuwa nchi hii ni salama lakini wanaoleta vurugu ni CCM na serikali yake. Sasa mleta mada hapa anamsafisha makonda. Tunataka makonda atuambie alianza lini kazi ya ulinzi ya kumlinda Warioba? TBC wanakazi ya kukatakata picha na kuziungaunga ili mpango mzima wa propaganda utimie.

Last edited by a moderator:
Laana ya mzee Warioba itawatafuna nyie vijana wa CCM. MMedhihirisha matusi yenu bungeni kwa Mzee Warioba. Ok, turudi kwa makonda, hivi kwa akili zako unadhani Makonda anaweza kweli kumtetea Mzee Warioba? Kumbuka Makonda ni wa kambi ya Sitta na Sitta amesema hayo alijitakia mwenyewe Warioba. Makonda kuwa karibu na Mzee Warioba haiondoi ushiriki wake ktk kuratibu uharamia huu uliotendeka jana, pale alienda kujiegesha tu ili asipatiwe kipondo na tayari ile ni plan iliyopangwa mapema. Kati ya watu ambao wanamuombea kifo Mzee warioba ni pamoja na Makonda, halafu eti leo utudanganye kwamba alikuwa anamuokoa? Ktk hili laana mnayo
Weka video, vinginevyo wewe ni mnyoo
 
1.Makonda alifanya kazi ngapi?
2.kwani kazi ya ulinzi ilkuwa ya Makonda?
3. huo mkutano ulikuwa ni wachadema na CCM?
4. Kwanini CCM kiliingilia mkutano wa wenyewe kwa mabango?
5. Huyo Amon Mpanju (aliyekuwa mbunge wa BMK) alienda kufuata nini wakati alijua kuwa chama chake kilipanga kwenda kuleta vurugu?
6. Katiba hii pendekezwa kwa sasa ikijadiliwa ni kosa?
7. Aliyeanzisha vurugu ninani hasa?
Sasa nimeamini ule usemi wa chadema wanaosema kuwa nchi hii ni salama lakini wanaoleta vurugu ni CCM na serikali yake. Sasa mleta mada hapa anamsafisha makonda. Tunataka makonda atuambie alianza lini kazi ya ulinzi ya kumlinda Warioba? TBC wanakazi ya kukatakata picha na kuziungaunga ili mpango mzima wa propaganda utimie.

kwani kuna sehemu MABANGO yaliwataja CHADEMA? na kwa nini useme CHADEMA na siyo UKAWA? hapa lazima kuna jambo unalijua unajaribu kukwepa, weka wazi wale walikuwa ni M4C waliojifanya CCM nini?
 
1.Makonda alifanya kazi ngapi?
2.kwani kazi ya ulinzi ilkuwa ya Makonda?
3. huo mkutano ulikuwa ni wachadema na CCM?
4. Kwanini CCM kiliingilia mkutano wa wenyewe kwa mabango?
5. Huyo Amon Mpanju (aliyekuwa mbunge wa BMK) alienda kufuata nini wakati alijua kuwa chama chake kilipanga kwenda kuleta vurugu?
6. Katiba hii pendekezwa kwa sasa ikijadiliwa ni kosa?
7. Aliyeanzisha vurugu ninani hasa?
Sasa nimeamini ule usemi wa chadema wanaosema kuwa nchi hii ni salama lakini wanaoleta vurugu ni CCM na serikali yake. Sasa mleta mada hapa anamsafisha makonda. Tunataka makonda atuambie alianza lini kazi ya ulinzi ya kumlinda Warioba? TBC wanakazi ya kukatakata picha na kuziungaunga ili mpango mzima wa propaganda utimie.

Vijana wa kihuni wa chadema wamekosa malezi bora. Wamelaaniwa km wazazi wao
 
Back
Top Bottom