UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

hizo pumba ulizoandika mtu mwenye akili timamu atakujibu hivyo hivyo tu. Hoja yako ni dhaifu mno.
Uwezo wake wa kufikiri ndio umeishia hapo mkuu. Akili za kukodi hizi
 
Hizi vurugu nazifananisha na hizi hapa, hawa jamaa wamezoea
sugu2.jpg
 
Makonda Hajampiga Mzee Warioba.

Makonda alikuwa anasaidia mzee asipigwe Na aliomba Msaada huo wakusaidia Pasiwe Na Mapigano mule Ndani.

Vijana wa Chadema wamewapiga sana Vijana wa CCM wamepasuka mpaka sasa Jana Usiku Saa 3 ndio nilitoka kuwatoa Hospitali kutibiwa majerehara.
Vurugu ilianzishwa Na Vijana wa CDM Kwa Kuanza Kumpiga Mama aliekuwa amekaa Mbele Kabisa alipigwa Na Kuangukia ktk Jukwaa Kuu.

Picha inayosambazwa inamuonyesha Makonda Na Warioba Na Watu kusema Kuwa Makonda Alikuwa akimpiga Mzee Sio Kweli Bali Alikuwa Akimsaidia Kutoka Nje ambapo Makonda Na Warioba walikuwa wamejificha Pale Jukwaa Kuu Baada ya Viti Kuamza Kurushwa Ukumbini Pale.

Ndugu Amon Mpanju Alikuwa akipigwa Na Wahuni wa CDM Mimi Na Makonda Tumemtetea Asiumizwe kwani Ni Mlemavu wa Macho kwani Haoni Wapi Akimbie Na Afanye nini Lakini Vijana Hawa Walinishangaza Sana Kwa Kuona Vijana Hawana Nidhamu wala Heshima Wala Huruma yakuwaonea Walemavu Huruma.

Mpanju Katangaziwa Vita pale Ukumbini kuwa watampiga yeye Na Makonda Na Vijana Wengine Na Kweli walipigwa kama Askari wasingefika Pale Kiukweli Sijui Pangekuwa Na Mauwaji gani au Majeruhi Kwa Kiasi Gani.
Picha zinaonyesha Warioba Na Makonda kama wanavutana Move ile Walipokuwa wait oka Nje Na Askari walikuwa wakimchukua Warioba Na Kumficha sehemu ambayo Askari walimlinda, Makonda, Mpanju Na Wale Watoa Mada wote waliwekwa chini ya Ukinzi.

Baada ya Mdaharo Kuhairishwa Jaji warioba aliondoka Kwa kusindikizwa Na Askari akiwa Na Wenzie.

Makonda Aliondoka akiwa Na Askari pia .

Mimi Nilibakia na Amon Mpanju Aliekuwa Mjumbe wa Bunge LA Katiba toka Kundi LA Walemavu Amon Alikuwa akitishiwa Na Alipigwa pia.
Nilibakia Pale nae Na Kuhakikisha Kaondoka Salama Nilimpandisha Gari Na Kumsindikiza Nyumbani Kwake Akiwa Salama.

Nilifatilia Makonda kapelekwa wapi Nimesikitishwa sana Na Kitendo cha Kuona Makonda Kapewa Sifa mbaya yakumpiga Mzee Warioba Na Kusema Makonda Kaleta Vurugu Ukumbini, Na Vijana Walioleta Vurugu Na Kupiga Watu Wote Hawajakamatwa Na Wala Sijawakuta Kituoni.

Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.

Kinachofanyika si Chema Kabisa Kwa Taifa letu kwani tunapanda Mbegu ya Ajabu sana Na Itatusumbua sana kama Taifa.

Yuliona Libya walianza Hivi hivi Kimasihara Kwa kuwarubuni Vijana Kufanya Mambo yakishenzi Na Kihuni Na Kupiga watu wakafanikiwa Kuitoa Serikali iliyokuwa Madarakani Kwa Mapinduzi, Kitendo kile Mpaka Leo Kinaitafuna Libya vibaya Mno.
Nchi haijatulia Na Sidhani kama Itatulia kwani Hawajui Serikali ilifikia Pale Kwa Hekima Na Busara Zipi, Walioko Libya Leo wanajuta.
Nawasowasi Na Hizi Movement zinazoanzishwa Na Viongozi wetu Nchini Tanzania.

By Peter Dafi


Unaweza Kuona Picha hizi Ukitizama Kwa Maini utaona Makonda akimsaidia Amon Mpanju Mlemavu wa Macho.
Unaweza Kuniona Hapo Pia Nimevaa Koti la Dark blue nikisaidia Amon asiumizwe pia
Nawapa Angalizo tu.View attachment 198770


Moving Camera zilizokuwa zinaenda Live hazikuzimwa Ziliendelea Kurecord Matukio Yote Mule Ndani.
Sasa Mjiulize Kwanini ITV hawajaonyesha Makonda Na Vijana wa Chama Wakimpiga Warioba Na Kuleta Vurugu Mule?
Kwanini Watumie Picha tu za Still Na Video wasionyeshe.?View attachment 198772

Mkuu ITV ni janga la taifa
 
Kwa kuishiwa mbinu na mikakati mipya ya kisasa ya kujenga chama chenu, mnaiga mbinu zile zile za baba zenu za kihalifu za kupiga watu hadharani mchana kweupe na kisha mnakuja na mbinu za kitahaira za kujitetea eti hamhusiki, Mwangosi alisambaratishwa na bomu mbele ya kamera, baba zenu wakadai alipigwa na kitu kizito !, Polisi waliuwa watu Arusha katika mkutano, baba zenu wakajilizaliza eti bomu walijirushia wenyewe Chadema, baba zenu walimteka na kumtesa Dr Ulimboka, kisha wakawapakazia akina Rwakatale, kwa tabia mnayokwenda nayo, ni dhahili mmejitoa akili na kuamua kuvuruga nchi yetu. Kumbukeni mtalipa uovu wote huu muda si mrefu ujao
 
kuleta habari ambayo iko against na misimamo ya chadema ni kujitafutia matusi tuu, mijitu inaushabiki wa kichadema humu utadhani ndio mama yao!
 
Peter Dafi
Kuna Vijana Walikamatwa tulifanikiwa Kuwatoa Kituoni Na Kuondoka Nyumbani Na Walioumizwa walipata Matibabu Na Kuondoka Nyumbani pia.
Hawa vijana ni akina nani, na kwa nini mkawatoe polisi.?

Kama vijana wa Chadema ndio waliofanya vurugu iweje nyie mkawatoe polisi na kuwapeleka Nyumbani kwenu.?
 
Last edited by a moderator:
Wewe na wenzako akina Makondakta mnazidi kukitokomeza kaburini chama chenu kwa kubuni mbinu chovu za kuzuia mafuriko ya mabadiliko ambayo kwa hali yoyote hayazuiliki.

Watanzanaia hawawezi kuacha WARYOBA na WANAHARAKATI wanaligawa taifa vipande vipande eti kwa kuogopa kuambiwa wanakimaliza chama, 2015 tutaona nani anakwisha CCM au UKAWA, manake CHADEMA imeshakufa, bado UKAWA.
 
CCM Ni wahuni na Mwakani kazi ni moja tu, Mbona hujazungumzia kuhusu zile sms za wahuni wenu wa pale chuo cha Maji?
 
Yani hawa chadema wameamua nchi hii isitawalike.

Siamini kama hii Nchi inatawalika.Makamu wa Rais Mstaafu(Warioba) kuvamiwa na kupigwa Mchana kweupe!!,Rais Mstaafu(Mwinyi)kuchapwa Kofi Mchana kweupe,bado kuna watu wanaamini Nchi inatawalika!!.
 
Vijana wa kihuni wa chadema wamekosa malezi bora. Wamelaaniwa km wazazi wao

Ukisema hivyo unakua unakosea... KUmbuka wazazi wa vijana wengine wa CDM ni wanachama wa CCM, kwa kusema hivyo ujue unawatukana na wanachama wenzio wa CCM.
 
Back
Top Bottom