Uvaaji Raba na ushabiki wake... sneakers shopping...

Uvaaji Raba na ushabiki wake... sneakers shopping...

Naona sketchers wana tangaza Sana Kwa Millard ayo Raba za wadada... labda utazame utavutiwa...
Mzima?..am great

Mie upepo wa fashion ulinipitq pembeni tangu enzi za mwalimu.

Nikonyule mtu navaa, nakuwa nadhifu ila ni ile vaa kujisitiri au vaa kujikinga baridi na sii kuvaa kumechisha au kuvaa kapendeza.

Ni sawa na kuangalia movie, napenda dsna kuangalia movie, ila usiniulize jina la movie au vitabu huwa sitilii maanani. Lakini ukianza kuidadavua au kusimulia ntakwambia hiyo nimeshaiangalia au nimeshakisoma.

When it comes to shoes, I wear any and no brands at all. Ni hulka tuu niko nayo kikubwa vininiumize visigino au vidole twende safari one two one two hadi mbagala 😉.

Wacha nikutafute mahala niendeleze ile kesi, ama nifufue ile lanchi taimu....😅.

Basi nimeacha najua wakati ukuta, wasalimie Lyamba 😊.
 
Clarks me prefer.

Umenikumbusha Michelle wa Brooklyn demu kwake alikuwa na ukuta mzima umejaa sneakers kutoka juu mpaka chini kazipanga ukija humjui unaweza kufikiri hapo ni dukani anauza sneakers.

I ended up doing the same, mostly for boots and leather shoes. Nimeishia kuziweka basement. Ninazovaa chache. Uzuri kuna dogo kafikisha size yangu 13 (US) yeye sasa ndo kaanza kuzitaifisha moja moja.

Mara naona Brooks niliyoisahau imevaliwa. Mara Chuck Taylor imekumbukwa. Mara Adidas imeona jua. Mara sneakers za LeBron zimechezewa basketball.

Nasema ni bora azivae kwa kuwa vinginevyo zitakuwa zimekaa bure kama kwenye museum.

Yani unanunua viatu 1,000 kama Imelda Marcos, halafu unaishia kuvaa kwa kurudia hata 10 havifiki 😂😂😂

Same thing for colognes.
Last month nilikuwa bongo, wakati naenda nikajisemea siendi na hizi popular brand sijui nike au air jordan maana zimejaa feki nyingi tu.
Wakati nazurura shopping mara duka la Clarks hili hapa, nikatumbukia na kuchukua wallabee moja na raba moja tosha kabisa...

1756308159249.png

1756308202108.png
 
Last month nilikuwa bongo, wakati naenda nikajisemea siendi na hizi popular brand sijui nike au air jordan maana zimejaa feki nyingi tu.
Wakati nazurura shopping mara duka la Clarks hili hapa, nikatumbukia na kuchukua wallabee moja na raba moja tosha kabisa...

View attachment 3455178
View attachment 3455180
Naam.

Clarks me prefer.

Raba za Clarks ziko so different.

Ulichukulia wapi huko huko au Bongo?

Bongo kuna duka la Wahindi la Clarks pale karibu na CBE sijui kama bado lipo lile.
 
Naam.

Clarks me prefer.

Raba za Clarks ziko so different.

Ulichukulia wapi huko huko au Bongo?

Bongo kuna duka la Wahindi la Clarks pale karibu na CBE sijui kama bado lipo lile.
Raba zao very comfortable
Ilikuwa UK, kwa wenyewe wa Clarks
 
Hujajua mfumo wa kibepari unavyokunasa.

Mimi nikienda duka la Clarks sasa hovi nina uhakika wa kununua kiatu kwa 50% off, halafu juu ya hapo kuna rewards discount naweza kupata zaidi ya $20.

Im3fikia muda hata sitaki kutembelea haya maduka kwa sababu yanakunasa kama ulimbo. Next weekend kuna Labor Day sales kibao, lakini unajiukiza sasa nanunua kiatu cha nini wakati nyumbani kuna pair 1,000?

Hizo 50% off or buy one get one free ziko kibao.

So you think, ooh, this is a good deal.

So, before you know it, in 25 -30 years of weekends and weekends of shopping, you have 1,000 shoes in the basement.

Vingine havijavaliwa kabisa zaidi ya kuvijaribu siku ulivyovinunua.
Mi nina pairs kadhaa za retro Jordans, Air Max 90 Red, white, and blue, Fila, na British Knights ambazo sijawahi kabisa kuzivaa.

Hata nyumbani hazipo. Nilizihamishia kwenye storage unit [CubeSmart] 😀.

Kuna kipindi nilikuwa naenda kwenye malls na boutiques mara kadhaa kwa wiki.

Kila nikienda, nilikuwa narudi na kitu au vitu.

Leo hii hata sikukumbuki mara ya mwisho kwenda kwenye mall au boutique ilikuwa lini.

I think it was just a phase and now I’m past it.
 
My favorite is Ones white on white. All time favorite hata Taliban wanazifagilia.
 
Huu ulimwengu Una mambo ...wengine tunanunua Raba tukiona Tu Kwa macho na kuvaa...kumbe Raba zina mashabiki kama mpira na zina wachambuzi pia. .....

Nikipata nafasi ntakuwa naweka hapa story na uchambuzi wa Raba na ushabiki wake...na mambo mbalimbali yanayo husu raba...
Utatisha sana
 
Mi nina pairs kadhaa za retro Jordans, Air Max 90 Red, white, and blue, Fila, na British Knights ambazo sijawahi kabisa kuzivaa.

Hata nyumbani hazipo. Nilizihamishia kwenye storage unit [CubeSmart] 😀.

Kuna kipindi nilikuwa naenda kwenye malls na boutiques mara kadhaa kwa wiki.

Kila nikienda, nilikuwa narudi na kitu au vitu.

Leo hii hata sikukumbuki mara ya mwisho kwenda kwenye mall au boutique ilikuwa lini.

I think it was just a phase and now I’m past it.

Ntakununulia raba za Lacostee hizo utavaa hadiuzeeke mara ya pili...😅.
 
Ukitaka genuine sneakers TZ, nunua mtumbani tu...

Hizi stores wanaouza mpya, nyingi ni second au third copy...
Nenda pale Dar free market floor ya kwanza kuna jamaa anauza genuine kabisa from UK na mpya...
Genuine ukizishika tu unaiona hii genuine
 
Nenda pale Dar free market floor ya kwanza kuna jamaa anauza genuine kabisa from UK na mpya...
Genuine ukizishika tu unaiona hii genuine

Yes nadhani unamtaja MKL, huwa anauza hadi perfume OG sometimes...

Post yangu niliiongezea nyama na nime-mention IG account yake + mwingine yupo Mbezi ya chini...
 
Yes nadhani unamtaja MKL, huwa anauza hadi perfume OG sometimes...

Post yangu niliiongezea nyama na nime-mention IG account yake + mwingine yupo Mbezi ya chini...
Sasa ajabu pale pale Dar free market kuna jamaa wanajiita Magnus wako chini ...wanauza mtumba ghali kuliko wenzao wanaouza mpya....ajabu sana
 
Sasa ajabu pale pale Dar free market kuna jamaa wanajiita Magnus wako chini ...wanauza mtumba ghali kuliko wenzao wanaouza mpya....ajabu sana

Pale pale Dar free market kuna jamaa anaitwa Karim anauza second hand sneakers, bei zake zipo fair yupo 2nd floor
 
Hamna kitu sipendi kama kuvaa trend za viatu ambazo kila mtu anavaa
Wakati hizi vans nyeusi na msitar1 mweupe zilivyotoka 2008 sijui, kila mtu kavaa
Mara zikaja New Balance, nazo kila mtu anavaa, mimi hapana
Sasa naona ziko hizi hapo chini zinaitwa Cloud, kila mtu mjini amevaa
Najua bongo muda si mrefu mchina ataleta hizi

1756646714701.png
 
View attachment 3460327
Vans zina matoleo zaidi ya 1000 ...sema wafanyabiashara bongo wanapenda kujaza madukani zile zinazo trend...kuna vans ambazo hata madukani hakuna limited editions
 
Back
Top Bottom