Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
rafiki wala sikuona hii tag, nime pita kwenye uzi ndio naona hapa.Mimi na raba damu damu Intelligent businessman View attachment 3452246
Mguu unao, and I like eating fingers 😂🦅
rafiki wala sikuona hii tag, nime pita kwenye uzi ndio naona hapa.Mimi na raba damu damu Intelligent businessman View attachment 3452246
Clarks me prefer.Yo Kiranga drop those ny sneakers, au na huko karume iko?
Sasa mpaka zina fika pair 1000 ulikuwa mna waza nini?, au ndio ile mfuko ume lipuka first time?Clarks me prefer.
Umenikumbusha Michelle wa Brooklyn demu kwake alikuwa na ukuta mzima umejaa sneakers kutoka juu mpaka chini kazipanga ukija humjui unaweza kufikiri hapo ni dukani anauza sneakers.
I ended up doing the same, mostly for boots and leather shoes. Nimeishia kuziweka basement. Ninazovaa chache. Uzuri kuna dogo kafikisha size yangu 13 (US) yeye sasa ndo kaanza kuzitaifisha moja moja.
Mara naona Brooks niliyoisahau imevaliwa. Mara Chuck Taylor imekumbukwa. Mara Adidas imeona jua. Mara sneakers za LeBron zimechezewa basketball.
Nasema ni bora azivae kwa kuwa vinginevyo zitakuwa zimekaa bure kama kwenye museum.
Yani unanunua viatu 1,000 kama Imelda Marcos, halafu unaishia kuvaa kwa kurudia hata 10 havifiki 😂😂😂
Same thing for colognes.
Hujajua mfumo wa kibepari unavyokunasa.Sasa mpaka zina fika pair 1000 ulikuwa mna waza nini?, au ndio ile mfuko ume lipuka first time?
Ko Ume fikisha pair 100?, Kama ndio hizo lazima tu bargain 😂😂
Yeah. Raba ziko juu juu kama hivi ndio nazipendelea. Sio viraba soli ziko chini kama vile vibajaji vya wanawake 😂Nike Zoom x...
Dah hapo lazima ubanwe kweli kweli, maana hiyo buy 1 get 1 free ni ka chambo kenye kisu.Hujajua mfumo wa kibepari unavyokunasa.
Mimi nikienda duka la Clarks sasa hovi nina uhakika wa kununua kiatu kwa 50% off, halafu juu ya hapo kuna rewards discount naweza kupata zaidi ya $20.
Im3fikia muda hata sitaki kutembelea haya maduka kwa sababu yanakunasa kama ulimbo. Next weekend kuna Labor Day sales kibao, lakini unajiukiza sasa nanunua kiatu cha nini wakati nyumbani kuna pair 1,000?
Hizo 50% off or buy one get one free ziko kibao.
So you think, ooh, this is a good deal.
So, before you know it, in 25 -30 years of weekends and weekends of shopping, you have 1,000 shoes in the basement.
Vingine havijavaliwa kabisa zaidi ya kuvijaribu siku ulivyovinunua.
Clarks me prefer.
Umenikumbusha Michelle wa Brooklyn demu kwake alikuwa na ukuta mzima umejaa sneakers kutoka juu mpaka chini kazipanga ukija humjui unaweza kufikiri hapo ni dukani anauza sneakers.
I ended up doing the same, mostly for boots and leather shoes. Nimeishia kuziweka basement. Ninazovaa chache. Uzuri kuna dogo kafikisha size yangu 13 (US) yeye sasa ndo kaanza kuzitaifisha moja moja.
Mara naona Brooks niliyoisahau imevaliwa. Mara Chuck Taylor imekumbukwa. Mara Adidas imeona jua. Mara sneakers za LeBron zimechezewa basketball.
Nasema ni bora azivae kwa kuwa vinginevyo zitakuwa zimekaa bure kama kwenye museum.
Yani unanunua viatu 1,000 kama Imelda Marcos, halafu unaishia kuvaa kwa kurudia hata 10 havifiki 😂😂😂
Same thing for colognes.
Kuna movie moja ya maisha ya Jordan inaitwa "Air" imetoka mwaka 2023 inaonesha jinsi gani mama yake Michael Jordan akivyosimamia contract ya Jordan iwe nzuri apate royalties kila kiatu kikiuzwa, si kulipwa mara moja tu.Chuck Taylor... Converse...
Jack Purcell ... Converse
Nilikuwa nasoma history ya Chuck Taylor..dah hadi unasikia maumivu..
Converse wameuza zaidi ya pairl milioni 600 za Chuck Taylor..na ame design na practically kuwa brain behind yet hakupata mamilioni kama ya Jordan na Nike au LeBron na wengine.......very very interesting
Hata muda wa mazoezi my friend😀?Sijawahi kuzielewa sneakers...mimi mtu wa boots.
For real usipoweka mpango wa kuvaa viatu ni wastageClarks me prefer.
Umenikumbusha Michelle wa Brooklyn demu kwake alikuwa na ukuta mzima umejaa sneakers kutoka juu mpaka chini kazipanga ukija humjui unaweza kufikiri hapo ni dukani anauza sneakers.
I ended up doing the same, mostly for boots and leather shoes. Nimeishia kuziweka basement. Ninazovaa chache. Uzuri kuna dogo kafikisha size yangu 13 (US) yeye sasa ndo kaanza kuzitaifisha moja moja.
Mara naona Brooks niliyoisahau imevaliwa. Mara Chuck Taylor imekumbukwa. Mara Adidas imeona jua. Mara sneakers za LeBron zimechezewa basketball.
Nasema ni bora azivae kwa kuwa vinginevyo zitakuwa zimekaa bure kama kwenye museum.
Yani unanunua viatu 1,000 kama Imelda Marcos, halafu unaishia kuvaa kwa kurudia hata 10 havifiki 😂😂😂
Same thing for colognes.
Yeah. Ila kuna huyu kijana anavivaa afadhali kidogo.For real usipoweka mpango wa kuvaa viatu ni wastage
Kuna muda i stop shopping/give away
I js want enjoy and keep what i routinely wear/buy intentionally,...heri perfumes with longer shelf lives, kiatu kidogo tu ukikipotezea unakifuta kinababuka, mara kina issue gani heh
Sio ulete branch ya footlocker bongo...Yeah. Ila kuna huyu kijana anavivaa afadhali kidogo.
Vingine nitaweka kwenye pipa na kutuma Bongo.
Naona sketchers wana tangaza Sana Kwa Millard ayo Raba za wadada... labda utazame utavutiwa...The Boss ....
Heshima yako Mkuu 🤝🤝🤝.
Nimejikuta najiuliza, hivi hawa wafukua makaburi wa miaka hii mbona hawakufukua nyuzi za The Boss...!!!???
Kitambo sana ndugu yangu.
Nimetoka nje ya mada kidogo happ juu.
Kurejea kwenye mada, binafsi navaa raba mradi iwe nikitembea hainifanyi visigino viume, napenda raba zenye cushion nene ndani aina yeyote ile, sina makuu.
Nimekumbuka ile gari ya orange plate namba nimesahau.... wasalimie wote.
Raba zina mambo mengi kuna hadi release date kama movie...Raba inasubiriwa....kama iphone...Alfu kuna mimi najua Airforce tu
Nice thread
Oyaah hatari sana kuna animation nimeangalia inaitwa sneaks humu ndani kiatu kina thamani sanaRaba zina mambo mengi kuna hadi release date kama movie...Raba inasubiriwa....kama iphone...
Kuna matoleo limited edition...hayauzwi kila nchi etc...kuna wachambuzi na vipindi vya TV kuhusu raba tu...