Uu Mrembo Sana...Simama Tukupige Picha!

Uu Mrembo Sana...Simama Tukupige Picha!

Namuona muthungu kwa mbali akiwa anapiga hodi kwenye boma

....anaenda zitengenezea picha kabisa hollywood!!au maonyesho ya picha ulaya
huo ndo utamaduni wetu na fahari yetu,how i wish bongo tungekuwa huru ivo kama zama zile
 
....anaenda zitengenezea picha kabisa hollywood!!au maonyesho ya picha ulaya
huo ndo utamaduni wetu na fahari yetu,how i wish bongo tungekuwa huru ivo kama zama zile

Ukiwatazama, wala sio kwamba wamejiandaa ili wapigwe picha, ni maisha yao ya kawaida tu, na ndo maana kuna kimdada kimoja hapo kinauza sijui maembe au machungwa-pori, nadhani wako mnadani au gulioni-Katerero, na hawana shida na mtu!..wanamshangaa huyo mzungu anapowashangaa!
 
Hizi picha za huyu Binti na wengine wengi wa kusini mwa Ethipia na Northern Sudani zipo nyingi tu mpaka Youtube na motion picture. Haya ni maisha yao na yatabadirika kidogo kidogo kadri siku zinavyokwenda na sisi tunvyozidi kuwatembelea na kupelekea vijizawadi vya vijimitumba.
 
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!

Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?

Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?

Nadhani tulipotoka tulikuwa "watupu" dhambi ndo sha tuharibia mambo mzee. Lakni kwetu, yaonekana ustaarabu wa magharibi wa kuvaa nguo umekutufanya tuwe na aibu zaidi ya wamagharibi wenyewe manake kukuta muthungu yupo "wazi" si hoja sana kuliko mweusi.

Kadiri ya mila na desturi ya kiafrika ngoma ni chombo muhimu hasa wakati wa sherehe na ibada. Picha inamwonyesha msichana wa kabila la Daasanach akipiga ngoma wakati wa ibada huko Illeret kaskazini mwa Kenya. Siku hizi parokia ya Illeret inaongozwa na Wabenediktini wa Tigoni Priory. Upriori huu ulianzishwa na Abasia ya Peramiho, lakini unajitegemea tangu mwaka 1988.http://www.peramiho.org/sw/past/kenya_ibada.html
 
Guys for your information, that is where we are heading.

Look at the way girls/ladies are wearing these days? Watu wanatembea uchi mchana..eti kwasababu hajaonyesha 'chuchu' zake, lakini the whole chest (breasts) is hanging out. Kuna nini kipya hapo? au kwasababu maziwa yote yako nje?
Ebu jaribu kwenda club usiku siku hizi, utaona majabu walahi. Tena ukienda ulaya, ndo usipime mwanangu. Na wazazi wanaona watoto wao wanatoka nyumbani na vi-top na vi-mini au suruali za kubana...eti wanaenda na wakati... Shauri zenu!

The Human race has reached its peak,....now we are moving backwards!! watu watatembea uchi siku za usoni...just keep your eyes open!
 
Ooow thanks God that I was born a Muzlim...

I am with Gaijin this is totally inappropriate...
 
Ooow thanks God that I was born a Muzlim...

I am with Gaijin this is totally inappropriate...
Sasa hapo ungeeleza kwamba kwenye uislamu kunazuia vp utamaduni kama huu!..
After all huko mpakani mwa Ethiopia na Sudan nina shaka ni Waislamu hao!

What thing is inappropriate?...Ongea ueleweke broda/sisto!:angry:
 
Uislam unazuia watu kukaa uchi period....I dont give a damn about Sudan or Ethiopia but if they are following Islamic law thats outta question....

Now why are u angry? I said inappropriate because of the nudity pictures Got it Bro?
 
hapo umelonga mkuu naona mwana jf huyo bado anahitaji msaada wa kimawazo its true that she is uchi but sms inaeleweka vilivo wakuu
Conquest- kwetu barafu ni sawa na ice cream.
 
Hakuna picha ya uchi hapa. Kwa hao ni kawaida kama kushindia BAIBUI au Suti. Tatizo letu hapa ni kuwaangalia kutokea kwenye kona yetu sisi, jaribu kuhama na uende kwenye kona yao utaona kawaida kabisa.

Mawazo kama haya ndiyo yanatufanya tuwe wapuuzi na kufanaya ujinga kila tunapamwona mtu mweupe, kwa kuamini kuwa yeye amestaarabika zaidi. Huu ni utamaduni wao na wengine wote tunatakiwa kuuheshimu.

Nguo zilizoletwa na wazungu kwetu ndizo hizo hizo zinatufanya tukiona matiti tunabaka. zamani kiliuwa kitu cha kawaida na hakuna aliyebakwa.

More Pics Pls.
 
Uislam unazuia watu kukaa uchi period....I dont give a damn about Sudan or Ethiopia but if they are following Islamic law thats outta question....

Now why are u angry? I said inappropriate because of the nudity pictures Got it Bro?

ulizaliwa ukaukuta uislamu ila kizazi chako uko nyuma kabla uisalmu haujaingia walikua ivo so hakuna cha ajabu wala kuhukumu mtu,,,
na hata ivo sio waislamu wote tunavaa ushungi/kanzu ni sehemu maalumu tu ndugu!!tuko huru tu wengine
 
Natafuta nauli niende mpakani mwa Sudan na Ethiopian nikatembeee kidogo !!!
 
Huu ni utamaduni wao na wengine wote tunatakiwa kuuheshimu.

hapa umenena Hekima,

zamani tamaduni nyingi tuu zilikuwa hivi na watu waliishi kwa adabu na kuheshimiana mpaka pale walipokuja wazungu na kusema mila zetuni za kishezi, uvaaji wetu ni wa kishezi na dini za asili ni za kishenzi, wakaleta uvaaji wao na dini zao na waislamu nao wakaleta uvaaji wao na dini zao etc. leo hii sisi wenye kuabudu na kuvaa kigeni tuna chukulia wale wanaondelea na hizi mila kama vile wako nyuma kimaendeleo wakiendelea au wakiwa civilized wataacha! inabidi tuwe na definition yetu ya maendeleo na vipimo vyetu vya maendeleo na kujiletea maendeleo kwa njia zetu wenyewe na tuache ku define na kupima maendeleo yetu kwa kutumia western yard sticks.
 
Natafuta nauli niende mpakani mwa Sudan na Ethiopian nikatembeee kidogo !!!

Uhh..!
Mkuu, NENDA KWA USALAMA..!:hand:
Lakn angalia usije ukapata mhemko na kunanihii, kule unapigwa na mawe hadi ufe!
Usione vyaelea broda!
 
ulizaliwa ukaukuta uislamu ila kizazi chako uko nyuma kabla uisalmu haujaingia walikua ivo so hakuna cha ajabu wala kuhukumu mtu,,,
na hata ivo sio waislamu wote tunavaa ushungi/kanzu ni sehemu maalumu tu ndugu!!tuko huru tu wengine[/QUOTE
Now what is ur problem? I was thanking my GOD? Really it got nothing to do with u or anyone else...Jeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez.... I wasnt judging anyone here... I said I thank God I was born a muzlim because if It wasnt the Quran I could have been one of those girls.... u know it is shock and is too sad to see ppl still lives in ignorance despite of all the changes.... those ppl lack education and may be they need help...

I dont know what u r trying to say here because I bet u r a muzlim but u dont walk naked r u now? ...can u sense the difference? unamaanisha nini uko huru? kwani mie ninae vaa hijab nimefungwa? anyhowwwwwww..
 
Noname umeamua kubadilisha avatar jus becoz of being at loggerheads with somebody in here?...r u that serious pal?
Halafu khijab uliyovaa haifuniki vizuri uso wako...utawatamanisha watu saaana hapo!...huh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom