PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!
Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?
Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?