Utunzaji wa vyakula kwenye friji

Utunzaji wa vyakula kwenye friji

Mbongo mbele ya pesa atakulisha hata vibudu. Hao kuku wa kwenye mabucha tunakula tu ila tungejua wanavyowaandaa tusingegusa. Bongo hatuna uaminifu kabisa kwenye biashara. Hata hao samaki wanaweka midawa ya ajabu ili kuwatunza wasiharibike mapema.
unalosema ni kweli uaminifu bongo ni F..niliwahi kula kuku eneo moja sasa mpishi anajidai mjanja kumkatakata vipande kuja mezani nikamwambia huyu kuku hajakamilika akabisha

nikamwambia namuunga vipande vyote hapa mezani na hata kamilika usifikiri unahudumia kilaza alisefahamu anatomy and pysiology ya huyo ndege na asipokamilika sikupi hata kumi na utamla wewe

aliomba anitengenezee mwingine mbona
 
Bora hiyo ya kupunjwa kuliko kuuziwq kibudu hata hujui kilipatwa na nini. Hasa haya makuku ya kisasa.
 
Bora hiyo ya kupunjwa kuliko kuuziwq kibudu hata hujui kilipatwa na nini. Hasa haya makuku ya kisasa.
ajabu mzungu humwambii kitu kuhusu kula kuku wa kienyeji au yai la kienyeji yani mtagombana

wanamini hawa kuku wa kisasa lazima wapitie dawa na chanjo hadi kuweza kufikia kuchinjwa so hatari ya magonjwa ya mnyama kwenda kwa binadamu ni ngumu hivyo kwao ni bora
 
Mkuu hapo umesema wazungu, yani bongo hawafuati utaratibu, kuku anapewa dawa leo kesho anachinjwa. Yani dawa yote inahamia kwa binadamu. Ukitaka kujua behind the scenes kuhusu wafugaji wa kibongo basi tafuta mfugaji ambaye anaweza kuwa muwazi kwako akusimulie jinsi wafugaji wengine wanavyofanya kinyume na utaratibu wa ufugaji.
 
Hapo kwenye
Itategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.

Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
Hapo kwenye kichemsha naomba elimu km hautojali. Unachemsha baada ya kutoa maganda na kukata kata au ikiwa mzima
 
Inategemea kama unatukia hizi friji zakisasa ambazo ukiweka mboga yako kwenye chombo ni mboga ndio inaganda wala sio object na mabarafu hayashiki kabisa kwa friji ila yale mafriji yakizamani ambayo ukiwasha baridi ikiwa kali yanajaa barafu nakugandisha hadi object hapo hata mboga uwezekano wakuharibika unakua mkubwa ule muda ambao either friji imeIma nakuyeyusha mabarafu
 
Hapo kwenye

Hapo kwenye kichemsha naomba elimu km hautojali. Unachemsha baada ya kutoa maganda na kukata kata au ikiwa mzima
Osha nyanya, kisha kwangua kwenye kile cha kukwangulia,(ukikwangua ganda linabaki unatupa) au weka kwenye blenda ublend (ukiblend na maganda yanasagika)

Weka kwenye sufuria, ichemshe....itachemka muda mrefu sanaaaa inaiva maji yote yanakauka, ikipoa weka kwenye kontena iweke kwenye friza igande
 
Mi nyanya,karoti,hoho,bamia mbogamboga naokota Huko bustanini vitunguu vinakaaga miezi mpaka vinaanza kuota viazi navyo hivyo hivyo
Nyama inanunuliwa na kuliwa siku iyo iyo kwenye friji huko nawashaga siku Moja Moja nikiweka bia zangu au nikichinja nguruwe au mbuzi
 
.......sijui nilikuwa wapi ndo naona saiz, ashukuriwe mtoa mada, lakini zaidi ya yote ashukuriwe huyu Evelyn Salt pia hata Aaliyah, mmetusaidia pakubwa sisi mabachela hasa tusiopenda kula vibandani, nawatunuku tuzo ya ukungwi wa mapishi na lishe hapa jf, kongole sana......
........nje ya mada, mimi bana kila nikipika dagaa au samaki wale wakavu mchuzi unakuwa mchungu sana sifahamu kwa nini, hata nikiosha vizuri kwa maji ya moto lakini mamichuzi bado makali tuuu! lkn nikimpa mdada anisaidie kupika zinakuwa tamu.......
 
To be honest mi naona kama napoteza umeme tu. Nina firdge kubwa. Nawasha usiku na naweza Power saver.
Nikiamka asubuh vitu vyote vimeganda na vinabaki vimeganda mchana wote hadi jioni tena. Uzuri ni kuwa upande wa freezer kunafunguliwa wakati wa kupika tu
 
Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda hadi nyama zigande na lile baridi ndipo mnazima au mnafanyaje?
Kama una bajeti ya luku bora usingenunua
 
.......sijui nilikuwa wapi ndo naona saiz, ashukuriwe mtoa mada, lakini zaidi ya yote ashukuriwe huyu Evelyn Salt pia hata Aaliyah, mmetusaidia pakubwa sisi mabachela hasa tusiopenda kula vibandani, nawatunuku tuzo ya ukungwi wa mapishi na lishe hapa jf, kongole sana......
........nje ya mada, mimi bana kila nikipika dagaa au samaki wale wakavu mchuzi unakuwa mchungu sana sifahamu kwa nini, hata nikiosha vizuri kwa maji ya moto lakini mamichuzi bado makali tuuu! lkn nikimpa mdada anisaidie kupika zinakuwa tamu.......
Braza oa upikiwe madikodiko 😁
 
Back
Top Bottom