I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,694
- 2,985
Fridge haizimwagi
Ukinunua nyanya zitenge nzima na zilizopasuka alafu chukua nzima weka kwenye sehemu zijiachie tafuta malimalio yachanganye na izo nyanya na unga wa sembe mwagia juu nyanya haziharibiki😂😂😂 kutokukata daily ndio uvivu?
Mahitaji nafanya kununua mengi sokoni, nikinunua nyanya nikiweka kwenye friji baada ya siku mbili zinaanza kuoza zinatoa ule utandu mweupe zinaambukizana nazitupa. Na ndio chanzo cha kubuni hii njia ya kuhifadhi
Sasa, niwe nanunua natumia chache nyingi natupa?? Au kila siku gengeni nyanya za jero jero?? 🙄
......natumia ndimu ya unga.....Huwa unatumia limao au ndimu?
Itakuwa unazidisha kipimo jaribu kupika bila ndimu......natumia ndimu ya unga.....
ntalifabyia kazi hili jambo asante.Itategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.
Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
....ok thanks mamii, ntajaribu kurekebisha hasa kwenye dagaa......Itakuwa unazidisha kipimo jaribu kupika bila ndimu
Ahsante, nimeisave hii.....nitafanya hii nayo nione.Ukinunua nyanya zitenge nzima na zilizopasuka alafu chukua nzima weka kwenye sehemu zijiachie tafuta malimalio yachanganye na izo nyanya na unga wa sembe mwagia juu nyanya haziharibiki
Siweki chochoteDada samahanin; Unachemsha kawaida? Hamna haja ya kuweka chumvi au preservatives zingine kama vinegar?
Unagandisha (freeze) au unaweka katika friji tu?Itategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.
Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
Labda kama umechinja ka umbwa kako mwenyewe, lakini hawa wa kuchinjiwa na Wahehe lazima uoshe aisee!Nyama iliyotoka kwa mnyama aliyechinjwa kisawasawa na katika mazingira safi, haitakiwi kuoshwa.
Wanachoosha kule Abattoir ni kwa ndani kwenye cavity ya mbavu na matumbo siyo nyama yote yaani kwa nje!nyama huanza kuoshwa kuanzia kwenye abattoir kama hufahamu
Evelyn Salt uneolewa au bado unadanga? Hakika unajua hisabati !Niweke basi nkuhifadhie nyanya 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndiyo njia sahihi ya kuandaa nyanya vinginevyo unabaki na makapi tu viini lishe vyote utakuwa umevitupa na maganda. Vitamin C kwenye nyanya iko imejishikisha kwenye ganda kwa ndani.weka kwenye blenda ublend (ukiblend na maganda yanasagika)
Wanaosha lakiniWanachoosha kule Abattoir ni kwa ndani kwenye cavity ya mbavu na matumbo siyo nyama yote yaani kwa nje!
Sijaolewa wala sina danga kaka angu, nipo tu geto napiga punyeto na uzee huuEvelyn Salt uneolewa au bado unadanga? Hakika unajua hisabati !
Friji zinaharibika, inatakiwa zigande.Unagandisha (freeze) au unaweka katika friji tu?
Uwe unanunua nyama kutoka bucha za serikali na hata ranchi binafsi. Acha kununua kwa wagogo na akina Mangi.Labda kama umechinja ka umbwa kako mwenyewe, lakini hawa wa kuchinjiwa na Wahehe lazima uoshe aisee!
Uwe unanunua nyama kutoka bucha za serikali na hata ranchi binafsi. Acha kununua kwa wagogo na akina Mangi.Labda kama umechinja ka umbwa kako mwenyewe, lakini hawa wa kuchinjiwa na Wahehe lazima uoshe aisee!
Mimi mwenyewe mtaalam wa mambo ya nyama najua. Nawatahadharisha tu hao wanaosema wachukue nyama na kuweka tu kwenye friji!Uwe unanunua nyama kutoka bucha za serikali na hata ranchi binafsi. Acha kununua kwa wagogo na akina Mangi.
Sasa kuoshwa kwa ndani mkuu ndiyo utaacha kuosha ukiwa unaiandaa? Hebu fikria wachunaji wa machionjini walivyolivyo!Wanaosha lakini
Au unataka ubishi