Utunzaji wa vyakula kwenye friji

Utunzaji wa vyakula kwenye friji

Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda hadi nyama zigande na lile baridi ndipo mnazima au mnafanyaje?
Friji halitakiwi kuzinwa mkuu labda umeme ukatike tofauti na hapo friji linatakiwa muda wote liwe on labda liwe bovu au ule mfumo wake wa kujizima na kujiwasha umeharibika hapo unaweza kuwa unalizima
 
Nyama iliyotoka kwa mnyama aliyechinjwa kisawasawa na katika mazingira safi, haitakiwi kuoshwa.
Okay inawekwa tu na damu yake?? Kama alivyo nduli Idi Amin
 
Attachments

  • images-11.jpeg
    images-11.jpeg
    21.3 KB · Views: 19
Okay inawekwa tu na damu yake?? Kama alivyo nduli Idi Amin
Nyama kutoka kwa mnyama aliyechinjwa na kuacha damu itoke, haiwezi kuwa na damu. Nyama za vibudu na wanyama walionyongwa ndio huwa na damu. Au kama mnyama amechinjiwa sehemu palipo na damu basi nyama yake inaweza kuwa na damu.
 
Mbongo mbele ya pesa atakulisha hata vibudu. Hao kuku wa kwenye mabucha tunakula tu ila tungejua wanavyowaandaa tusingegusa. Bongo hatuna uaminifu kabisa kwenye biashara. Hata hao samaki wanaweka midawa ya ajabu ili kuwatunza wasiharibike mapema.
Uko sahihi kabisa. Unajua hili suala la uongozi mbovu linakuwa na multiplier effects nyingi sana ambazo zinagusa society nzima, kiasi ambacho watu wanashindwa kuunganisha uhusiano wa moja kwa moja. Maisha magumu yamefanya watanzania wengi kuwa kama wanyama na kukosa uaminifu. Hapa kwenye vyakula tunavyokula, ni hatari sana. Ukifuatilia kwa mfano kuku, kuanzia malisho wakati wa ufugaji, utayarishaji na upikaji utakuta kuna makandokando mengi sana.
 
Mimi nikitaka kula nyama ya kuku naenda sokoni namchukua akiwa hai nikachinje mwenyewe. Kwa bongo mazingira yanaruhusu kuchinja mwenyewe badala ya kununua aliyechinjwa.
 
Itategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.

Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
Dada samahanin; Unachemsha kawaida? Hamna haja ya kuweka chumvi au preservatives zingine kama vinegar?
 
Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda hadi nyama zigande na lile baridi ndipo mnazima au mnafanyaje?
Fridge ni plants au kiwanda cha kuzalisha magonjwa.
 
.......sijui nilikuwa wapi ndo naona saiz, ashukuriwe mtoa mada, lakini zaidi ya yote ashukuriwe huyu Evelyn Salt pia hata Aaliyah, mmetusaidia pakubwa sisi mabachela hasa tusiopenda kula vibandani, nawatunuku tuzo ya ukungwi wa mapishi na lishe hapa jf, kongole sana......
........nje ya mada, mimi bana kila nikipika dagaa au samaki wale wakavu mchuzi unakuwa mchungu sana sifahamu kwa nini, hata nikiosha vizuri kwa maji ya moto lakini mamichuzi bado makali tuuu! lkn nikimpa mdada anisaidie kupika zinakuwa tamu.......
Huwa unatumia limao au ndimu?
 
KUHIIFADHI KAROTI
Osha vizuri
Zimenye maganda yote ziwe safi
Weka kwenye bakuli safi
Tia maji kwenye bakuli karot ziwe chini maji yawe yamezid
Funga mfuniko wa bakuli lako hifadhi kwenye jokofu
 
Back
Top Bottom