Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,499
Mwezi haina shida, si unaifanyia marination au?Nyama unakuta imekaa mwezi kwa friji [emoji1787]
Mwezi haina shida, si unaifanyia marination au?Nyama unakuta imekaa mwezi kwa friji [emoji1787]
Niweke basi nkuhifadhie nyanya 🤣🤣🤣🤣🤣Nyie ndio wanawake wa kuweka ndani, mwanamke unajua hesabu na bajeti hadi raha.
Oowkey umetisha sana...ila huo ni uvivu..Nlisaga kiroba kile cha kg 25, ulikuaga msimu wa nyanya.....roba zima elf 8 tu.
Siku nyingine huwa nasaga sado 1 au 2 zinakaa mwezi +
Uvivu? How....Oowkey umetisha sana...ila huo ni uvivu..
Si ukate daily fresh tomatoes..Uvivu? How....
😂😂😂 kutokukata daily ndio uvivu?Si ukate daily fresh tomatoes..
Na ww nakutania unadhani mm sifanyi?? Hyo njia ni nzuri sanaa mm nachanganya na kitunguu swaumu na tangawizi nablend sichemshi naweka kama jiuice kwa friji nachukua kido kido...ukiweka kitunguu swaumu it lasts longer...😂😂😂 kutokukata daily ndio uvivu?
Mahitaji nafanya kununua mengi sokoni, nikinunua nyanya nikiweka kwenye friji baada ya siku mbili zinaanza kuoza zinatoa ule utandu mweupe zinaambukizana nazitupa. Na ndio chanzo cha kubuni hii njia ya kuhifadhi
Sasa, niwe nanunua natumia chache nyingi natupa?? Au kila siku gengeni nyanya za jero jero?? 🙄
Ooh hiyo pia njia nyingine kuihifadhi kama juice 👍Na ww nakutania unadhani mm sifanyi?? Hyo njia ni nzuri sanaa mm nachanganya na kitunguu swaumu na tangawizi nablend sichemshi naweka kama jiuice kwa friji nachukua kido kido...ukiweka kitunguu swaumu it lasts longer...
Ukichanganya nini kinatokea mkuu.epuka kuchanganya nyama nyekundu na nyeupe pamoja
kiafya si vizuri pia ni rahisi kuaribika pindi umeme utakatika mf umeweka nyama ya ng'ombe na samaki wabichi kwenye mfuko moja unategemea nini samaki akianza kuyeyuka na kushusha maji ya shombo kwenye nyama ya ng'ombeUkichanganya nini kinatokea mkuu.
Ok kumbe unamaanisha kuweka kwenye mfuko mmoja. Asantekiafya si vizuri pia ni rahisi kuaribika pindi umeme utakatika mf umeweka nyama ya ng'ombe na samaki wabichi kwenye mfuko moja unategemea nini samaki akianza kuyeyuka na kushusha maji ya shombo kwenye nyama ya ng'ombe
unaweka kwenye frij au frizerItategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.
Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
hata kwa wafanya bishara wa kuku wabichi hua wanachemsha sana kuhifadhi kuku na samaki wabichi kwenye jokofu mojaOk kumbe unamaanisha kuweka kwenye mfuko mmoja. Asante
Friza igande, kwenye friji inaharibikau
unaweka kwenye frij au frizer
Solution ni kununua kuku uchinje mwenyewehata kwa wafanya bishara wa kuku wabichi hua wanachemsha sana kuhifadhi kuku na samaki wabichi kwenye jokofu moja
elimu ndio shida pia wengine huweka kuku bila mifuko huku wakiwa na damu ubaridi ukipungua tuh ni shida ukifungua hilo jokofu ni arufu ya ushuzi mtupu
uko sahihi kuwapa elimu itacheleweshaSolution ni kununua kuku uchinje mwenyewe
Wewe ni mpare? Wapare wabahili mpaka utakuta wanalazimisha watoto wanyoe nywele ziwe fupi kabisa, eti nywele ndefu zinamaliza sabuni ya kuoga.Mie mbahili ndio natengeneza naweka, we ambae sio bahili nenda sokoni kila siku....🤝
Mkuu binafsi mimi friji ni 24hrs labda umeme ukatike au siku ya kufanya usafi ndiyo linazimwa.Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda hadi nyama zigande na lile baridi ndipo mnazima au mnafanyaje?
Mbongo mbele ya pesa atakulisha hata vibudu. Hao kuku wa kwenye mabucha tunakula tu ila tungejua wanavyowaandaa tusingegusa. Bongo hatuna uaminifu kabisa kwenye biashara. Hata hao samaki wanaweka midawa ya ajabu ili kuwatunza wasiharibike mapema.uko sahihi kuwapa elimu itachelewesha
Ndio, natonga na bajeti.....Wewe ni mpare? Wapare wabahili mpaka utakuta wanalazimisha watoto wanyoe nywele ziwe fupi kabisa, eti nywele ndefu zinamaliza sabuni ya kuoga.