Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa?

Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa kupewa tendo la ndoa tu.

Kama hawana cha kunipa zaidi ya tendo la ndoa, nawapiga wote chini.

Hapo si nitakuwa nimewatendea haki?

Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena.​
HUWEZI, SEMA HUENDA UMESHIKWA BEGA
 
Ukishakuwa mwanaume imara huwezi kukwepa kuhonga wanawake ili upate kustarehesha uanaume wako..
 
Mnunulie kagari mpe kadi baki nayo wewe siku ukichoka kuichakata mbususu kachukue gari yako 😂
 
Back
Top Bottom