Utoto Umezidi humu

Utoto Umezidi humu

watu walioumbwa na tifutifu niwapeleke wapi??? namtaka mwanaume aliyefinyangwa na mfinyanzi halisi, mwenye staha na kujiamini, huyo wa kushabikia mambo mitandaoni, hana tofauti na mie ninayesuka twende kilioni! nicas upo?? tena hubby wangu Asprin asikusikie unaongelea habari za mie kutakwa na mtu mwingine!! lol, anaweza ua mtu

achana naye... kama vp mtunze kwenye utumbo mpana hatma yake ataijua mwenyewe!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bishanga, huoni kama unautesa Moyo wangu??

Yaani nakuhonga Like afu wala hunisalimii??

Kweli mapenzi yako ni sawa na Boko Haramu

Haya ndo matatizo ya kuanza kupiga msuba ukubwani,we mwana hizaya wewe alokutuma uje chitchat nani,umelazimishwa,au kura zako za uneki hazikutosha ndo ukaja kumalizia mihasira hapa,tena utukome kama mitt romney alivyowakoma wapiga kura wa marekani.

Anatushauri tuachane na chitchat tuwe tunashinda naye saluni tukipiga umbea,
Ananchekesha ( source: FF).

Mtoa mada in real life kwa taarifa yako ni bi kidude.

Achana nae,uso umemkakamaa utadhani ni juma kaseja baada ya kufungwa bao la pili na mtibwa.

Mpe twisheni huyo,hajui asemalo utadhani yuko leba anakaribia kujifungua.

Na ashindwe na kulegea,chitchat iko juu kama Obama,dadadaddedededki.
 
watu walioumbwa na tifutifu niwapeleke wapi??? namtaka mwanaume aliyefinyangwa na mfinyanzi halisi, mwenye staha na kujiamini, huyo wa kushabikia mambo mitandaoni, hana tofauti na mie ninayesuka twende kilioni! nicas upo?? tena hubby wangu Asprin asikusikie unaongelea habari za mie kutakwa na mtu mwingine!! lol, anaweza ua mtu
Tena naua na nyama zake nalisha mbwa koko wetu
 
fo shoooo babu..... ngoja nifanze ufisadi nije teba town......
Siku hizi kuna ndege ya buku 80 tu. Ntakufanyia mpango wa kurudi. Huu mjadala ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu la chit chat dhidi ya mamluki waliotoroka Mirembe.
 
Siku hizi kuna ndege ya buku 80 tu. Ntakufanyia mpango wa kurudi. Huu mjadala ni muhimu kwa mustakabali wa taifa letu la chit chat dhidi ya mamluki waliotoroka Mirembe.

ndo mana nakupendaga babuuuuuuu!!!!!!
 
MzunguMndali kama kichwa cha habari chahusika, bsi mie tumbo la habari lahusika, umetumwa? haya toweka mkuu, wasalimie huku ambako hakuna utoto, huku tupo watoto tu.... byeeeeeeeee mzungu wapi wewe? Muongo tu kwanza

hezbend wachana naye hyo... plz cam thiz way tukarefushe nywele za mtoto lolest!!!!!
 
Last edited by a moderator:
AHAHAHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHAH unamaanisha atuangalie kama tunanyolea vya karatasi au viwembe vya bati!ahahahhahahhahah lol!mi staki jamani!

sasa mtu from nowhere anaanza kutudogosha khaaa!
unajua kuna watu hudhani wadau wa CC ni kama wagonjwa wa Mirembe kwa vile huwa hawaelewi story za humu...
binafsi ilinichukua muda sana kuweza kuelewa hili jukwaa na kuanza kupost threads au posts za kawaida, kwa kuwa mie nilijiunga JF ili niwe mdau wa jukwaa la Siasa.
 
Najua ukweli unauma!!!

Tokea lini ukweli ukauma ndugu, nijuavyo mimi ukweli humuweka mtu huru...
unachofanya hapa ni kuonesha jinsi gani ulivyo mbumbumbu...
Hapa JF kila jukwaa lina sheria zake na namna yake ya uchangiaji...
Kwa taarifa yako kila unachokiona hapa CC, asilimia kubwa hakina uhalisia zaidi ya kutumika kama IM environment kama zilivyo IM yoyote kwenye standard chat rooms like yahoo IM, AOL n.k.
Usidharau mkunga kabla hujajifungua "sina uhakika kama ujauzito wako ni wa miezi 9", leo unamtukana watu8 hapa CC, kesho utahitaji msaada wake kule jukwaa la Sci & Tech kama sio JF Doctor.
Jifunze kumuheshimu mwanadamu mwenzako sawasawa na heshima unayopewa na wengine, it aint fair kumtusi au kumkejeli mtu,hujafa hujaumbika ndugu.
 
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa Bishanga anaonyesha ukali wake hadharani! Ukiona hivyo ujue kamaliza lile deni lake la FINCA
akope nani finca ambako limit milioni tano? Bishanga mtu fnb na cutibank bana.
 
Hivi Bishanga, huoni kama unautesa Moyo wangu??

Yaani nakuhonga Like afu wala hunisalimii??

Kweli mapenzi yako ni sawa na Boko Haramu
my sweetpie,siku hizi nimebanwa baada ya kupata kazi ya ukorokoroni benki,darling Kongosho nakumisije? Mmmmmwwwwaaaaaaa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom