Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Hata Nami Nimekumiss kaka Nicas Mtei.
Nipo huku Lushoto papito.
Usisahau kupitia yale maeneo ya kujidai pale kwa Papaa
Last edited by a moderator:
Hata Nami Nimekumiss kaka Nicas Mtei.
Nipo huku Lushoto papito.
Usisahau kupitia yale maeneo ya kujidai pale kwa Papaa
hah hah hah hah haaa! Uliza, tumeamka salama!? Nipo na wifu hapa!. Nilitaka kumjibu babu Asprin nikaji mix. Anyway, watu wa Dar ni wazito sana. Nasubiri nione watakaokuja Tanga. I hope you'll be there. Tumeamka salama sana.
Hahahahahaha
Papaa hataki watoto wake tuwe na majonzi na ndo mana huwa tukiwa pale viti virefu ni mwendo wa Kill mpaka twabebwa juu juu.
Halafu Nicas Mtei nasikia mliingia na Dompo kwenye Coaster we na Kelvin.
kuna kitu kinaitwa Usambara wine. Ni ya ukweli.
Daah hivi kumbe hata matajiri yana maneno ya uswahilini hivi? Bishanga kuna jirani ananisumbua nakualika uje unisaidie kumsuta!Haya ndo matatizo ya kuanza kupiga msuba ukubwani,we mwana hizaya wewe alokutuma uje chitchat nani,umelazimishwa,au kura zako za uneki hazikutosha ndo ukaja kumalizia mihasira hapa,tena utukome kama mitt romney alivyowakoma wapiga kura wa marekani.
Nikuletee?
Maana naona unaomba kijanja.
Niletee please. Usisahau
Nilijua tu.
Kingine?
We nambie tu coz we ni mtu muhmu kwetu.
Nilijua tu.
Kingine?
We nambie tu coz we ni mtu muhmu kwetu.
Wine tu. Pia si unakumbuka nlikwambia nataka hausi geli? Ukmpata nambie. Nshachoka kufua, kupika, kuosha vyombo n.k.
Sitaki kesi mie.
Nanilii si yupo?
We unanimiss mara ngapi?
Hata Nami Nimekumiss kaka Nicas Mtei.
Nipo huku Lushoto papito.