Utoto Umezidi humu

Utoto Umezidi humu

Hah hah hah hah hah! Wakukutana watakuwa dar!? Labda uje Arusha!

Afu shem unan'tafuta wewe.
Tatizo watu wa Dar wagoni sana,wanaogopa kufumaniana.
Umeamka swalama lakini?
 
Afu shem unan'tafuta wewe.
Tatizo watu wa Dar wagoni sana,wanaogopa kufumaniana.
Umeamka swalama lakini?

hah hah hah hah haaa! Uliza, tumeamka salama!? Nipo na wifu hapa!. Nilitaka kumjibu babu Asprin nikaji mix. Anyway, watu wa Dar ni wazito sana. Nasubiri nione watakaokuja Tanga. I hope you'll be there. Tumeamka salama sana.
 
Unauliza Paka Jikoni wakati ndo makazi yake.
 
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!

Tuachie wenyewe watoto, wewe nenda kwa wakubwa, wenyewe tunaelewana, tutakusuta sasa hivi, tukuvalishe kibwebwe.
 
Back
Top Bottom