Bashiru mwenye analalamika eti kwanini wanaCCM wengi wanachukua form hapo Zanzibar 🤣🤣🤣Umeanza lini uganga wa jadi huu
Hili la mtu mmoja kuchukua fomu halikushangazi mkuu, ukashangae la zanzibar.....basi wewe ni ajabu kuliko ajabu lenyewe..
Kikokotoo cha CCM ni 5 - 3 - 1Kwani katiba ya CCM inaruhusu mwisho wangapi?
Kwani tatizo ni nini?
Wanatumia haki zao za kikatiba.
Mnataka kuwanyima haki zao za kikatiba?