Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Kuna wanasayansi wengi wanakiri kwamba kuna existance ipo ambayo uwezo wake ni mkubwa sana.

Hata theories mbalimbali zinazoongelea namna Universe come to existence zinaonesha kuwa kunajambo lipo kubwa sana lililo juu ya uwezo wetu.

Big bang Theory

The Short Answer: The big bang is how astronomers explain the way the universe began. It is the idea that the universe began as just a single point, then expanded and stretched to grow as large as it is right now—and it is still stretching!
7-whatisthebig.jpg

What an Idea!
The universe is a very big place, and it’s been around for a very long time. Thinking about how it all started is hard to imagine.
Umetuelezea vizuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
The equation m * c^2 = h * f is an expression of the mass-energy equivalence, where m is the mass of a particle, c is the speed of light, h is Planck's constant, and f is the frequency of the particle. This equation shows that the mass of a particle can be converted into energy, and vice versa.

For an up quark, we can use this equation to find its frequency as follows:

m * c^2 = h * f

f = (m * c^2) / h

The mass of an up quark is approximately 2.2 MeV/c^2, which is equivalent to approximately 3.96 x 10^-28 kg. The speed of light is approximately 2.998 x 10^8 meters per second, and Planck's constant is approximately 6.626 x 10^-34 joule-seconds.

Substituting these values into the equation, we get:

f = (3.96 x 10^-28 kg) * (2.998 x 10^8 m/s)^2 / (6.626 x 10^-34 J·s)

f ≈ 1.86 x 10^32 Hz

Therefore, the frequency of an up quark is approximately 1.86 x 10^32 Hz.

In summary, the frequency of an up quark is much higher than the highest frequencies of electromagnetic waves.

Hapa nataka kusema kwamba from physics point of view vibration of photons is the one which produces everything including matter.

Mfano mdogo kwenye nuclear fission.
To prove existence of photons in matter.
The formula of E = m*c^2 show that during nuclear fission matter is converted to Energy in form of
Heat, Electromagnetic and other.
But where electromagnetic energy come from in matter? And the end result of mass of nuclear reduced because converted to Energy.

Conclusion is that. In the nucleus of Atom the formation of particles made from vibration of photons. If you change the vibration of them they will change the behavior of existence.

NAOMBA WATAALAMU WA SCIENCE TOJADILI HAPA
Aisee
Ngoja nijipange, naona wamekukimbia kwa sababu unaongea lugha ya namba mwanzo mwisho...
Kumbe uko fiti sana shabiki wa Putin.....Safi sana, nimependa hii siredi....
 
Duuuh naona hapo hatuelewani kabisa bado ume-stick pale pale kwenye vitu na kuicha energy yenyewe kama yenyewe licha ya mfano niliokupa.

Sasa ngoja nitoke eneo hilo nijibu swali lako

Energy imetokana na nini?

Jibu ni kwamba anayejua, tunachojua kwa saaa ni kuwa energy was always there.

Na kwasababu umeonesha kuijua Quantum physics basi utakuwa unajua kuwa kwenye quantum realm kitu kinaweza kikatokea out of nothing
Mfano?
 
Soma mzee nilichokiandika. Usinilishe kitu ambacho sijasema. Ubaya husomi. Na vitu vyote nimevieleza hapo mwanzo.
Also nikaeleza kuwa kwa mujibu wa Imani Mungu yupo mahali popote. Nikaeleza vivyo hivyo energy ipo kwenye all objects.
Sasa mpaka hapo hujang'amua tu kitu ninachokiongelea?
God cannot be created or destroyed. Also Law of conservation of energy inasema vivyo hivyo.

Sasa hapa bado sijaeleweka?
Inshort Energy na God ni same thing
 
Upambanuzi ni mzuri hakika,tatizo ni kutumia werevu kunimiliki kifikira.Uwepo wa nadharia ya Mungu ni ishara ya mwanadamu kufika ukomo wa kufikiri.Kwa kuwa elimu ya quantum,atomic,nuclear physics ilikuja baada ya ugunduzi kumbe hata suala la source of energy litakuja kadiri gunduzi zinavyoendelea.Kuifungia akili katika kizimba cha kila ukomo wa fikira Mungu anaishi ni hatari kwa ustawi wa dunia hii.Enlightenment ilianzia karne ya 6-3K.K huko Ugiriki kisha kiza kikatanda na mpaka leo tuna state god(mungu wa serikali) ambapo mfumo huu ni athari za utawala wa Warumi kwani ulidumaza ustawi wa dunia.Skepticism na enlightenment kuanzia 1500B.K ndiyo chimbuko la hata wewe mleta mada kujua quantum physics.Kataa uwepo wa Mungu ili akili ivuke mipaka(transcend) tayari kwa uvumbuzi zaidi.
 
Upambanuzi ni mzuri hakika,tatizo ni kutumia werevu kunimiliki kifikira.Uwepo wa nadharia ya Mungu ni ishara ya mwanadamu kufika ukomo wa kufikiri.Kwa kuwa elimu ya quantum,atomic,nuclear physics ilikuja baada ya ugunduzi kumbe hata suala la source of energy litakuja kadiri gunduzi zinavyoendelea.Kuifungia akili katika kizimba cha kila ukomo wa fikira Mungu anaishi ni hatari kwa ustawi wa dunia hii.Enlightenment ilianzia karne ya 6-3K.K huko Ugiriki kisha kiza kikatanda na mpaka leo tuna state god(mungu wa serikali) ambapo mfumo huu ni athari za utawala wa Warumi kwani ulidumaza ustawi wa dunia.Skepticism na enlightenment kuanzia 1500B.K ndiyo chimbuko la hata wewe mleta mada kujua quantum physics.Kataa uwepo wa Mungu ili akili ivuke mipaka(transcend) tayari kwa uvumbuzi zaidi.
Kukataa uwepo wa Mungu haimfanyi mtu kuwa mvumbuzi,. wapo watu wengi waliokataa na wanaokataa uwepo wa Mungu lakini hawajavumbua kitu chochote,.

Kwa mfano wewe umevumbua kitu gani kinachojulikana Duniani,. ambacho directly unaamini uvumbuzi huo unatokana na wewe kukataa uwepo wa Mungu.
 
Nawasalimia wana JF wote.

Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo.

Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea kwamba kuna nguvu ipo ambayo hatuwezi kuielezea kwa namna ya mambo yanayoonekana.

Bila kupoteza muda naanza kama ifuatavyo.

LAW OF CONSERVATION OF ENERGY

states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another.

Kabla ya kuendelea kuongelea Law kwanza tunatakiwa tujiulize energy ni nini?
Energy is the ability to do work - Nishati ni uwezo wa kufanya kazi.

Kaitka vitu vyote vilivyopo ndani yake kunakuwa na Energy. Hata kama kiwe kimetulia.

Mpaka sasa wanasayansi wanajua namna ya kuitumia energy. Lakini kupata kujua energy ni kitu gani bado utafiti unaendelea.

Mwiliunahitaji chakula na ndani ya chakula kuna chemical energy ambayo hutumiwa ndani ya mwili na cells ilikuufanya mwili uweze kufanya kazi. Kazi zote zinazofanyika kwenye mwili energy ndiyo inayafanya zifanyike.

Pasipo energy hata existence ya kitu chochote kisingekuwepo.

Source of Energy

Wale waliosoma Quantum Physics au waliosoma Particle Physics
Hapa utasoma Fundamental particles and force inayohusu matter and radiation.

utakuja kuona ndani ya Atom kuna particle zipo ambazo ndani yake kuna energy.

Lakini utakapoenda ndani zaidi utakutana na vibration (Frequencies) ya very small particles.
Sasa ukienda zaidi kufanya utafiti hizo simall particles zimeundwa na nini. Jibu utapata void

WHAT IS VOID


: opening, gap. : empty space : emptiness, vacuum. : the quality or state of being without something .

Hiyo ndiyo tafsiri ya neno Void.

Je Void inaweza ikatengeneza haya maajabu yote tunayoyaona?

Nuclear Energy, Fossil Energy, Solar Energy, Electric Energy etc? Au kuna The very Powerful Existence iliyo juu ya uwezo wetu?

Basi kwa tafsiri hii naweza nikasema The Powerful Existence Beyond of our thinking which is the source of Energy is so called God or Allah in our understanding.

Hiyo ni Introduction ya thread yangu hii. Nitaendelea kuenda ndani zaidi kwa evidences za kisayansi.....
Lakini kuwepo kwa unexplained force or energy hukudhibitishi kuwepo kwa Mungu wa kwenye Bible au Quran. Na kama hiyo energy ndio Mungu basi hiyo energy haiwezi kutataka watu waiabudu. Ingekuwa hivyo hata Ford ,Toyota, Elon na wavumbuzi wa machine zilizo badilisha maisha ya watu nao wangetaka waabudiwe badala ya kuuza uvumbuzi wao.
 
Back
Top Bottom