HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,421
- 94,706
Dunia ndo ilivyoHii keki ya Taifa ni bora tukawa tuna share wote, lakini kwa namna ilivyo wananufaika wachache .
Dunia ndo ilivyoHii keki ya Taifa ni bora tukawa tuna share wote, lakini kwa namna ilivyo wananufaika wachache .
Yaani ufanye kazi CIA kirahisi rahisi afu ubaki salamaNaomba kujua jambo hili kwanza namkubali mama na sina nongwa na mabeyo ila!? Naomba mwenye kumjua mtu huyu. Elisifa Ngowi alikuwa RSO MOROGORO akaletwa dsm kama drso wa dar baadae akapelekwa ikulu na alipostahafu tiss inasemekana CIA walimpa contract na baadae akaibukia kwenye tanapa na ile operation iliyolalamikiwa sana wakati wa jpm alikuwa master mind beyond the curtain!!!
HALELUJAHGo and do this for me. You know how much I trust you!!!
Hata kupumua hakuna,mungemuwacha acheze na wajukuu kwanza
Cheki wameunganisha sasa 😂 😆😆😂Haumo
Tatizo pekee lililopo ninaloliona mimi hapa ni pale mtakapomwambia kuwa ng'ombe alizonazo huko kwao usukumani ni za kwenu wamasai! Atakachofanya baada ya hapo ni kujiuzulu uenyekiti wa Bodi na kukimbia kabisa Ngorongoro, na hatarudi tena huko. Mkitaka Mabeyo awaelewe vizuri wamasai, wakusanyeni ng'ombe wote mlionao huko umasaini muwapeleke usukumani!Hapo wamasai kazi tunayo.
Lakini kwakua Mabeyo ni mfugaji mwenzetu labda atatuelewa.
Kamanda anakwenda kuimarisha ulinzi kwa Mwarabu wa OBC😊.UTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
View attachment 2277702
Sasa mda mwingine mlalamike muwe na logic bas hv kijana aliemaliza chuo Cha wanyamapori pasiansi au sijui udom nk Leo mnataka ateuliwe kua mwenyekiti wa bodi kweli embu tuwen serious kidogoIn less than 24 tokea amestaafu kashapewa ajira nyingine, kwa style hii vijana watasubiri sana, chifu kaamua kutumia mjeshi kuzima sakata la loliondo
Mjukuu kwa babu hawi mkubwa,ndio kwanza ana 66kama yule kijana wake rubani alikufa hajafika hata 30 ,wajukuu watakuwa wadogoWajukuu wake wakubwa bwashee
Isije ikawa ni kumharibia CV !!!!Kitendo cha mabeyo kuteuliwa na mh rais kuwa Mwenyekiti wa bosi ya uhifadhi wa Ngorongoro je ni mtego kwake au ni njia ya kunyamazisha Makele ya wanaharakati dhidi ya hamisha hamisha ya wenyeji kwenda handeni?
😂😂 Kama namuona vile na Pengo zake,.....Stroke is typing
Njia ya rais kuendelea kutisha watu, kama Magufuli!Kitendo cha mabeyo kuteuliwa na mh rais kuwa Mwenyekiti wa bosi ya uhifadhi wa Ngorongoro je ni mtego kwake au ni njia ya kunyamazisha Makele ya wanaharakati dhidi ya hamisha hamisha ya wenyeji kwenda handeni?
CV yake ata/anaiharibu mwenyewe, haikuwa lazima kuchukua hilo jukumu.
CV yake ata/anaiharibu mwenyewe, haikuwa lazima kuchukua hilo jukumu.
Jeshi liko kazini.period! But this timing is totally wrongKitendo cha mabeyo kuteuliwa na mh rais kuwa Mwenyekiti wa bosi ya uhifadhi wa Ngorongoro je ni mtego kwake au ni njia ya kunyamazisha Makele ya wanaharakati dhidi ya hamisha hamisha ya wenyeji kwenda handeni?