Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,688
Je juisi ya miwa itapendeza?(in Dr. Louis voice)Bahati mbaya nilishaaacha zamani sana kutumia hivyo vitu
Je juisi ya miwa itapendeza?(in Dr. Louis voice)Bahati mbaya nilishaaacha zamani sana kutumia hivyo vitu
Mi bado nacheka!Nimechekaaaaaa sana uzuri nipo peke yangu ofisi dah!
Okey. Angalia pmHapana Maji ya home yatapendeza zaidi
Yule jamaa hata kama hajasoma, mi nampa nyota zote! Yule ni zaidi ya Dr.haaaaaaaaa jana nimecheka sana wakati naangalia news ITV... alisema 900 itapendeza sana.
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!Yaani leo muda mwingi nilikua nasmile huyu kajua kutuondelea stress siku ya jana
Walimbeba Msobe msobe hadi sero na kumkashfu kuwa ni msaniisasa si angelipa tu hiyo 25% ya 900?
Kila nikimuwaza huyu Mzee, nacheka balaaaNilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
Wanamuonea tu....Walimbeba Msibe msobe hadi sero na kumkashfu kuwa ni msanii
Hapana nimemshindwa halafu alivyofika tu anaulizia malipo yanakuaje yanalipwaje kumbe hana thumniYaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
Yani jamaa kazima kicki za JPm huko Uganda, dogo janja na hamisa mobeto with a single blow...Tusubiri mkuu hii nchi kwa vituko huwa haviishi
Mchimba shimo kazana mnyewe walahiii wasubiri kesi nyumba kanunua na fidia watamlipaWanamuonea tu....
Na mizinga nimempigiaaa... HahahahaaYule jamaa hata kama hajasoma, mi nampa nyota zote! Yule ni zaidi ya Dr.
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
yule jamaa mkali aiseee! ni zaidi ya genius!Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...