Utetezi wa dr. Louis

Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
Tena wampe kabisa hiyo nyumba maana walishasema Tooooooooop apewe tu kwa kweli,hawezi kosa Mia tisa
 
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
Mama Yono naye Ali blow kinomanomaaa.... Usikute alianza kujiona Dubai maana 10% yake si mchezo...hahahahah
 
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
.......na kweli,maana hakuna aliposema natoa mill wala bill yeye akitamka mia8 mara mia9 itapendeza mara tena naongeza 50 hakusema anaongeza mill50 yeye alisema anaongeza 50.wale watangazaji wa Yono wanataka kumuwekea maneno mdomoni.
 
Mchimba shimo kazana mnyewe walahiii wasubiri kesi nyumba kanunua na fidia watamlipa
849e46c398548c6d5f90be18c2a9b35c.jpg
yupo na rafiki yake Bill Gates
Mjini akili nguvu kijijini
 
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900

Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900

Nikijumlisha napata shilingi (na mimi niwe makini) 2,400/- angetoa basi asilimia 25 ya hiyo sasa akasema zipo KENYA?
 
aisee...jamaa anamuonekano wa kifalafala hivi lakini ni ana akili sana,na kajua kuchezea akili za hao YoNo.

Duh,nimeanimi huyu jamaa ni Dr.! japo nahisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya mpango huu.

Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
 
Back
Top Bottom