Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,700
Kila la kheri sana MziziMkavu.
Mkuu BAK Wameshindwa Ma-Daktari kumtibu huyu bibie kamsongole Mimi nitampa dawa yangu atatumia na atazaa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu na atakuja hapa kukupeni feedaback.
Last edited by a moderator: