Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

umetumwa uwape ujiko nini?? watakuja DYNAPHARM nao na porojo zao..........................twafwa!!!!!!!!!!!!!!!

Je mtu kufanya jambo ama ku-share taarika kama hii lazima uwe umetumwa? fikiria ni wangapi wenye matatizo kama hayo wanaweza kusaidika, ikiwa weye uko fiti mshukuru Mungu ndugu yangu si wote wako fiti, watu wanamaangaiko na hawajui wapi waponee.
 
umetumwa uwape ujiko nini?? watakuja DYNAPHARM nao na porojo zao..........................twafwa!!!!!!!!!!!!!!!

Thanx, thats Industrial and not Information Age thinking, in this era uhitaji kutumwa ili kufanya jambo fulani.
 
Hewala bwana - lakini hayo madubwana gharama yake ni kubwa sana ukilinganisha na matokeo yake - ukiacha ghiliba ya kutoa sumu mwilini sijui kwa utaalamu wa wapi na kuyaona maji yanabadilika rangi. hospitali nitapata matibabu tosha na hata ma nutritionist ntawapata watanishauri kuhusu utapia mlo wangu.
 
Hewala bwana - lakini hayo madubwana gharama yake ni kubwa sana ukilinganisha na matokeo yake - ukiacha ghiliba ya kutoa sumu mwilini sijui kwa utaalamu wa wapi na kuyaona maji yanabadilika rangi. hospitali nitapata matibabu tosha na hata ma nutritionist ntawapata watanishauri kuhusu utapia mlo wangu.

Ndugu yangu ni kipi kisicho na gharama dunia yetu ya leo? Je ushajua gharama ya uhai wa mtu? Gharama ya kupasuliwa na bado usipone na gharama ya kutumia supplements ambazo zimemponya kabisa, weye wachagua kipi? inapokuja suala la uhai wa mtu gharama uja baadaye.

Kama waona afya njema ni gharama sana jaribu ugonjwa.
 
Picture1.jpg


FIBROID NI NINI?

Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke.

Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa.

Zinatengenezwa na kambakamba zilizofungamana (muscle
fibre)

Fibroids huanza kwa ukubwa kama wa njegere, lakini huweza
kukua kwa ukubwa wa tikiti maji.

Inakadiriwa kwamba asilimia kati ya 20-50% ya wanawake wana hili tatizo au watakuwa na hili tatizo katika kipindi Fulani cha maisha yao.

Fibroids hupatikana zaidi kwa wanawake wenye umri kati ya
miaka 30-40 na hupungua ukubwa mara baada ya umri wa utu uzima.

Uchunguzi uliofanyika huko marekani unaonyesha kwamba
Fibroids huwapata wanawake wa kiafrika mara tisa zaidi ya wanawake wa kizungu.

Nini kinachosababisha Fibroids?

Ingawa sababu/chanzo hasa cha Fibroids hakijulikani, utafiti unaonyesha kwamba fibroids huchochewa na oestrogen mwilini.

Mara nyingi fibroids hukua kwa mwanamke pale ambapo
kiwango cha oestrogen kimeongezeka mwilini, na pia fibroids hupungua pale ambapo kiwango cha oestrogen nacho kikipungua.

Oestrojen ni nini?

Ni mkusanyiko wa homoni ambazo ndizo zinazoukuza mwili wa mwanamke kijinsia, mfano ukuaji wa viungo kama matiti na kupata hedhi.

Pia, wanawake ambao wana uzito zaidi ya kg.70 wana hatari
kubwazaidi ya kupata fibroids, pia hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha oestrogen katika umri huu.

Wakati wa zamani, Fibroids ingeweza kusababishwa na
matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango. Hii ni kwasababu vidonge hivi vilikua na kiwango kikubwa cha oestrogen. Lakini kwa hivi sasa,vidonge hivi vya uzazi wa mpango havina kiwango kikubwa cha oestrogen kama ilivyokuwa hapo awali.

Aina za Fibroids

Fibroids zinatofautishwa kutokana na sehemu ambapo imetokea.

Yapo makundi mawili
yanayoweza kugawanya aina za fibroids.

1) Fibroids zinazotokea ndani ya mji wa mimba,

2) Fibroids zinazotokea kwenye
kuta za nje ya mji wa mimba.

Dalili za Fibroids

Inakadiriwa kwamba, asilimia 75% ya wanawake wenye fibroids hawana dalili zozote na wala hawajui kama wana fibroids.

Kuweza kujua dalili za fibroids, inategemea na ukubwa wa
fibroid na wapi zilipo kwenye kizazi. Hii pia inachangia aina ya dalili atakazopata mtu.

Mfano: Fibroid ndogo ambayo ipo kwenye kuta za kizazi,haitakuwa na dalili sawa na Fibroid kubwa inayoota kuelekea nje
ya kizazi. Dalili kubwa inayofahamika ni ile ya kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi.

Dalili nyingine ni kama:

  1. Maumivu ya tumbo,
  2. Inaathiri mfumo wa haja (kubwa na ndogo)
  3. Kuhisi mkojo mara kwa mara
  4. Mkojo kutoka kidogokidogo/kuvuja
  5. Mkojo kushindwa kutoka kirahisi.
  6. Kukosa choo (constipation)
  7. Kuwa tasa kutoshika ujauzito)
  8. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Fibroids na Ujauzito

Fibroids zinaweza kusababisha matatizo yafuatayo kwenye ujauzito:

1. Kuharibika kwa mimba/ujauzito

2. Inachangia kwa mwanamke kutoshika mimba kutokana na
kubanwa kwa mirija ya uzazi.

3. Pia kutokana na msukumo unaosababishwa na fibroids, mirija ya
uzazi hubanwa na hivyo kushindwa kupitisha mayai kuelekea kwenye kizazi (uterus)

4. Mwanamke anapokuwa mjamzito na pia akawa na fibroids kwa
wakati huo, mwili unaweza ukasitisha kupeleka damu kwenye fibroids na kuifanya fibroid kusinyaa. Kama hili likitokea, husababisha maumivu makali ya tumbo, na pia kufanya kizazi kutanuka na kusinyaa, baadae mimba huweza kutoka kabla ya wakati wake.

5. Wakati wa kujifungua, kama fibroid itakuwa kwenye njia ya
kutolea mtoto inaweza kusababisha damu nyingi kutoka, au ikishindikana mama hufanyiwa upasuaji ili kumtoa mtoto.

Utaweza vipi kugundua kama una Fibroids?

Kama hakuna dalili inawezakana tu kwa kufanya vipimo.Dalili zikiwepo na kuhisi unalo tatizo la fibroids, mwone daktari kwa ajili ya kupata vipimo ili kujua kama una fibroids au la.

Vipimo vya Fibroids

Daktari huweza kufanya uchunguzi kwa vipimo kati ya hivi vifuatavyo;
  • Ultrasound scan (Mionzi)
  • Hysteroscopy (kifaa kidogo ambacho huingizwa kwenye kizazi kupitia sehemu ya uke (vagina)
  • Laparoscopy (upasuaji wa sehumu ndogo ya tumbo pamoja na kuwekewa kifaa kidogo sehemu ya uke (vagina)

Kuishi na Fibroids (wanavyoshauri hospitali)

Njia iliyozoeleka ya kuishi na fibroids zinazotoa damu nyingi ni kuzilinda na si kuzitibu (monitor rather than treat them). Utashauriwa kupata uangalizi/uchunguzi wa mara kwa mara lakini bado utahisi unahitaji msaada zaidi kwa jinsi unavyojisikia

Matibabu ya Fibroids (Hospitali)

Zipo njia kuu mbili za kihospitali za kutibu fibroids.
1. Kutumia dawa (drug treatment)
2. Kufanyiwa upasuaji (surgical procedures

1. Kutumia Dawa

Mkusanyiko wa dawa zijulikanazo kama GnRH analogues hupunguza kiwango cha oestrogen mwilini na hivyo kusababisha firoid kusinyaa.

Uchunguzi unaonyesha kwamba, dawa hizi zikitumika kwa
miezi sita hupunguza ukubwa wa fibroid kwa asilimia 50%

Pia dawa hizi husitisha mzunguko wa mwezi (hedhi).

Inashauriwa kwamba matumizi ya dawa hizi (GnRH
analogues) yasitumike zaidi ya miezi sita kwani dawa hizi huweza kuleta madhara makubwa.

Pia, mara baada ya kuacha kutumia dawa hizi, wiki chache
baadae fibroids huanza kukua tena, na mwanamke huanza kupata hedhi tena kama awali, ikiambatana na maumivu makali.

Kwa baadhi ya wanawake huwa hawapati tena hedhi hadi
kifo.

2. Kufanyiwa upasuaji

Upasuaji unahusisha mambo yafuatayo.

Kuiondoa fibroid yenyewe na kuacha kizazi
(Myomectomy)

Kukiondoa kizazi kabisa (Hysterectomy)

Kuzuia damu kwenda kwenye fibroids (Uterine artery
embolisation)

Ipo njia ambayo haijazoeleka sana, ambayo mtu huchomwa
sindano nne tumboni zikielekea ilipo fibroids kwa ajili ya kuiua kwa kemikali maalum.
 
jamani ilo li fibroid si mimba kabisa lol! yaan unaweza kusema unamtoto miez 12 kumbe ni liuvimbe tena likacheza kabisa kama featus vile.
 
Asante kwa uchambuzi wako yakinifu, hata kama mie sio mama nimesoma kwa ajili ya mama bwana, merci beaucoup!
 
FIBROIDS NI NINI?

Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke. Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa. Zinatengenezwa na kambakamba zilizofungamana (muscle fibre) Fibroids huanza kwa ukubwa kama wa njegere, lakini huweza kukua kwa ukubwa wa tikiti maji. Inakadiriwa kwamba asilimia kati ya 20-50% ya wanawake wana hili tatizo au watakuwa na hili tatizo katika kipindi Fulani cha maisha yao. Fibroids hupatikana zaidi kwa wanawake wenye umri kati ya miaka 30-40 na hupungua ukubwa mara baada ya umri wa utu uzima. Uchunguzi uliofanyika huko Marekani unaonesha kwamba Fibroids huwapata wanawake wa Kiafrika mara tisa zaidi ya wanawake wa kizungu.

Nini kinachosababisha Fibroids?

Ingawa sababu/chanzo hasa cha Fibroids hakijulikani, utafiti unaonesha kwamba fibroids huchochewa na oestrogen mwilini. Mara nyingi fibroids hukua kwa mwanamke pale ambapo kiwango cha oestrogen kimeongezeka mwilini, na pia fibroids hupungua pale ambapo kiwango cha oestrogen nacho kikipungua.

Oestrojen ni nini?

Ni mkusanyiko wa homoni ambazo ndizo zinazoukuza mwili wa mwanamke kijinsia, mfano ukuaji wa viungo kama matiti na kupata hedhi.

Pia wanawake ambao wana uzito zaidi ya kg.70 wana hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids, pia hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha oestrogen katika umri huu. Wakati wa zamani fibroids ingeweza kusababishwa na matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango. Hii ni kwa sababu vidonge hivi vilikua na kiwango kikubwa cha oestrogen. Lakini kwa hivi sasa vidonge hivi vya uzazi wa mpango havina kiwango kikubwa cha oestrogen kama ilivyokuwa hapo awali.

Aina za Fibroids

Fibroids zinatofautishwa kutokana na sehemu ambapo imetokea. Yapo makundi mawili yanayoweza kugawanya aina za fibroids.

1) Fibroids zinazotokea ndani ya mji wa mimba,
2) Fibroids zinazotokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba.

Dalili za Fibroids

Inakadiriwa kwamba, asilimia 75% ya wanawake wenye fibroids hawana dalili zozote na wala hawajui kama wana fibroids. Kuweza kujua dalili za fibroids, inategemea na ukubwa wa fibroid na wapi zilipo kwenye kizazi. Hii pia inachangia aina ya dalili atakazopata mtu. Mfano: Fibroid ndogo ambayo ipo kwenye kuta za kizazi haitakuwa na dalili sawa na Fibroid kubwa inayoota kuelekea nje ya kizazi. Dalili kubwa inayofahamika ni ile ya kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi. Dalili nyingine ni kama maumivu ya tumbo, inaathiri mfumo wa haja (kubwa na ndogo), kuhisi mkojo mara kwa mara, mkojo kutoka kidogokidogo/kuvuja, mkojo kushindwa kutoka kirahisi, kukosa choo (constipation), kuwa tasa (kutoshika ujauzito), maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Fibroids na Ujauzito

Fibroids zinaweza kusababisha matatizo yafuatayo kwenye ujauzito:
1. Kuharibika kwa mimba/ujauzito
2. Inachangia kwa mwanamke kutoshika mimba kutokana na kubanwa kwa mirija ya uzazi.
3. Pia kutokana na msukumo unaosababishwa na fibroids, mirija ya uzazi hubanwa na hivyo kushindwa kupitisha mayai kuelekea kwenye kizazi (uterus)
4. Mwanamke anapokuwa mjamzito na pia akawa na fibroids kwa wakati huo, mwili unaweza ukasitisha kupeleka damu kwenye fibroids na kuifanya fibroid kusinyaa. Kama hili likitokea husababisha maumivu makali ya tumbo, na pia kufanya kizazi kutanuka na kusinyaa, baadae mimba huweza kutoka kabla ya wakati wake.
5. Wakati wa kujifungua, kama fibroid itakuwa kwenye njia ya kutolea mtoto inaweza kusababisha damu nyingi kutoka, au ikishindikana mama hufanyiwa upasuaji ili kumtoa mtoto.

Utaweza vipi kugundua kama una Fibroids?

Kama hakuna dalili inawezakana tu kwa kufanya vipimo. Dalili zikiwepo na kuhisi unalo tatizo la fibroids, mwone daktari kwa ajili ya kupata vipimo ili kujua kama una fibroids au la.

Vipimo vya Fibroids

Daktari huweza kufanya uchunguzi kwa vipimo kati ya hivi vifuatavyo:-
- Ultrasound scan (Mionzi)
- Hysteroscopy (kifaa kidogo ambacho huingizwa kwenye kizazi kupitia sehemu ya uke (vagina)
- Laparoscopy (upasuaji wa sehemu ndogo ya tumbo pamoja na kuwekewa kifaa kidogo sehemu ya uke (vagina)

Kuishi na Fibroids (wanavyoshauri hospitali)

Njia iliyozoeleka ya kuishi na fibroids zinazotoa damu nyingi ni kuzilinda na si kuzitibu. Utashauriwa kupata uangalizi/uchunguzi wa mara kwa mara lakini bado utahisi unahitaji msaada zaidi kwa jinsi unavyojisikia

Matibabu ya Fibroids (Hospitali)

Zipo njia kuu mbili za kihospitali za kutibu fibroids:-

1. Kutumia dawa (drug treatment)
2. Kufanyiwa upasuaji (surgical procedures)

1. Kutumia Dawa

Mkusanyiko wa dawa zijulikanazo kama GnRH analogues hupunguza kiwango cha oestrogen mwilini na hivyo kusababisha fibroid kusinyaa. Uchunguzi unaonesha kwamba dawa hizi zikitumika kwa miezi sita hupunguza ukubwa wa fibroid kwa asilimia 50%. Pia dawa hizi husitisha mzunguko wa mwezi (hedhi). Inashauriwa kwamba matumizi ya dawa hizi (GnRH analogues) yasitumike zaidi ya miezi sita kwani dawa hizi huweza kuleta madhara makubwa. Pia mara baada ya kuacha kutumia dawa hizi, wiki chache baadae fibroids huanza kukua tena, na mwanamke huanza kupata hedhi tena kama awali, ikiambatana na maumivu makali. Kwa baadhi ya wanawake huwa hawapati tena hedhi hadi kifo.

2. Kufanyiwa upasuaji

Upasuaji unahusisha mambo yafuatayo:-
- Kuiondoa fibroid yenyewe na kuacha kizazi(Myomectomy)
- Kukiondoa kizazi kabisa (Hysterectomy)
- Kuzuia damu kwenda kwenye fibroids (Uterine artery embolisation)

Ipo njia ambayo haijazoeleka sana, ambayo mtu huchomwa sindano nne tumboni zikielekea ilipo fibroids kwa ajili ya kuiua kwa kemikali maalum.

Hii ni elimu nzuri kwa ajili ya afya yako pia usiwe mchoyo uipatapo mshirikishe na mwingine aweze kupata uelewa. Kwa msaada pia kuepuka hali hiyo kukupata kuna food supplements ambazo zipo.
 

Attachments

  • 26.jpg
    26.jpg
    30.2 KB · Views: 139
Asante Mkuu kwa somo zuri haswa kwa kipindi hiki ambacho wanawake wengi wanasumbuliwa na fibroids
 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
 
Pole mpenzi.............Mwombe MUNGU hashindwi na lolote hata liwe gumu kiasi gani kwako.
 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

 
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!


Sio lazima na wewe umshauri yy ameomba ushauri kwa wataalam mambo ya kutoa mimba yanatoka wapi sasa?hizo mimba ulimtoa ww?pole ndugu yangu humu utaambiwa mengi.
 
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

Mwanamwalundi si kuwa kila fybroids inasababishwa na kuchoropoa mimba au kutumia vizuia uzazi. Kuna watu ambao hawajawahi kutoa mimba na wana fibroids. Kuna akina mama wako katika ndoa hawajawahi kutoa mimba wala kutumia vizuia uzazi na wana fibroids. Sasa basi usitupe shutuma!! Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Wapo dada zako, ndugu, shangazi hata mke kama mwanaume au hata wanao!! Omba Mungu yasikukute!! Goggle causes of women fibroids!! You will get so many causes!! Pole to those who were offended in any how!
 
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

[h=1]What Causes Fibroids in Young Women?[/h]
favorite_button.png



This Article has been added to your favorites. View your profile







Print

Oct 1, 2010 | By Jennifer Hartford
c9a1dfdf-52fb-4733-87e8-dd2810f77b0e.Small.jpg
Jennifer Hartford began writing for the public in 2006. She has been published in "The Hospital News" and "The Midland Mirror." She holds a Bachelor of Nursing degree from Athabasca University.



fotolia_1571737_XS.jpg
Photo Credit power woman image by JulianMay.co.uk from Fotolia.com Fibroids are benign growths that begin as a single muscle cell within a woman's uterus. They sometimes grow on the outer surface of the uterus as well. Though the exact cause of fibroids is unknown, there appear to be several factors that precipitate these overgrowths of cells. Many women can have uterine fibroids without even knowing. Rapidly growing fibroids may become cancerous, and the risk of this happening increases if the fibroids are diagnosed after menopause.
[h=2]Hormones[/h]Estrogen is produced by a woman's ovaries, and the amount of estrogen in circulation increases dramatically during puberty. This influx of estrogen -- as well as exposure to the hormone over time -- seems to be a factor in when fibroids form. How the hormones help fibroids grow is a phenomenon that is not well understood, notes eHealthMD.
advertisement

Sponsored Links
Kili's Bonge la Shabiki Shiriki katika shindao. Njoo kurasa la Kili FB kucheza mshinda atatuzwa facebook.com/KilimanjaroPremiumLager





[h=2]Genetic Factors[/h]Women who have close female relatives with fibroids are more likely to have them themselves. This link suggests a genetic component to fibroid development. Fibroids are also much more common among women of African decent, and it is estimated that up to 50 percent of African-American women have fibroids, states WomensHealthMatters.ca.
[h=2]Symptoms[/h]Fibroids cause a variety of symptoms depending on their size and location. One of the most common symptoms is heavy menstrual bleeding that lasts for more than 5 days. There may also be changes in frequency of periods. The size of the growth causes pressure within the abdomen. This causes frequent urination, abdominal pain, cramping and bloating. Backache, constipation and painful intercourse may also occur.




Read more: What Causes Fibroids In Young Women? | LIVESTRONG.COM
 
[h=2]What causes fibroids?[/h]Fibroids begin when cells overgrow in the wall of the uterus. However, the cause of uterine fibroids is not known. Researchers have many ideas of what may cause fibroids, but none of these are seen as definite causes of fibroid tumors. Some of these ideas include:

  • Fibroids may be genetic (runs in families).
  • Female hormones, estrogen and progesterone, cause fibroids to grow.
Fibroids grow rapidly during pregnancy, when hormone levels are high and shrink when anti-hormone medicine is used. Fibroids also stop growing or shrink once a woman reaches menopause.
[h=2]Can fibroids turn into cancer?[/h]
Fibroids are usually benign (not cancerous). Having fibroids does not increase a woman's risk of developing cancer. In less than 1 in 1,000 cases a cancerous fibroid will occur. A cancerous fibroid is called
 
What causes fibroids?
Fibroids begin when cells overgrow in the wall of theuterus. However, the cause of uterine fibroids is not known. Researchers havemany ideas of what may cause fibroids, but none of these are seen as definitecauses of fibroid tumors. Some of these ideas include:

  • Fibroids may be genetic (runs in families).
  • Female hormones, estrogen and progesterone, cause fibroids to grow.
Fibroids grow rapidly during pregnancy, when hormonelevels are high and shrink when anti-hormone medicine is used. Fibroids alsostop growing or shrink once a woman reaches menopause.
Can fibroids turn into cancer?
Fibroids are usually benign (not cancerous). Havingfibroids does not increase a woman's risk of developing cancer. In less than 1in 1,000 cases a cancerous fibroid will occur. A cancerous fibroid is called<leiomyosarcoma< p="".<=""></leiomyosarcoma<>
Who usually develops fibroids?
Age, race, lifestyle and genetics may play a part inthe development of fibroids. Here are the few known risk factors:

  • Having a family member with fibroids increases the risk. If a woman's mother had fibroids, her risk of having fibroids is about 3 times higher than average.
  • African-Americans are 2-3 times more likely to present with symptomatic (problems such as pain or bleeding) uterine fibroids and will often develop fibroids at a younger age than the rest of the population of women with uterine fibroids.
  • Asian women have a lower incidence of symptomatic uterine fibroids.
  • Obesity is associated with uterine fibroids. The risk of obese women developing fibroids is 2-3 times greater than women of average weight.
  • Eating beef, red meat (other than beef), and ham has been linked with having uterine fibroids, while eating green vegetables seems to protect women from developing fibroids.
What are the symptoms of fibroids?
For most women fibroids do not cause symptoms. Atleast 25% of women who have uterine fibroids do have symptoms which mayinclude:

  • Heavy bleeding or painful periods
  • Bleeding between periods
  • Cramping
  • Bloating of the lower belly (abdomen or pelvic area)
  • Feeling of fullness in the pelvic area
  • Pain during sex
  • Low back pain
  • Frequent urination
 
Fibroids can also cause infertility (being unable toget pregnant), miscarriages, or premature labor (labor before 37 weeks ofpregnancy).

How do you know you have a fibroid?

You may not know if you have fibroids if they are notcausing any problems. A health care provider may find a fibroid on a routineexam, or you may see your health care provider if you are having symptoms. Thehealth care provider may:

  • Do a physical exam of your uterus (pelvic exam) to check the size of your uterus (womb), and may feel the fibroid as a lump on your uterus during the pelvic exam.
  • Send you for a procedure to get a "picture" of your uterus.
  • Do blood tests to check your blood count for anemia (low iron in your blood due to heavy periods or bleeding between periods) or for other problems.
The pelvic exam and the tests help your health careprovider find out if you have fibroids, where they are and how large they are.


What kind of procedures may be done tofind out if you have fibroids?
Your health care provider can do an imagingexamination to produce a picture to confirm that you have fibroids.

You might also need additional procedures to know forsure if you have fibroids.

Will I have trouble getting pregnant ifI have fibroids?

In some cases, fibroids are severe enough to prevent awoman from becoming pregnant (infertility). If a woman is pregnant, fibroidscan cause problems (complications) during pregnancy, labor and delivery. Sincefibroids are controlled by hormone levels they grow rapidly during pregnancy.Hormone levels are high during pregnancy.

What kinds of problems will fibroidscause in pregnancy?
The most common complications caused by fibroidsduring pregnancy are:

  • Labor does not progress &#8211; this can happen if the uterus (womb) does not contract as it should and the baby does not move out through the birth canal to be born.
  • Baby is breech &#8211; the baby is coming out bottom first. The usual position of a baby is for the head to come out first, but breech babies are in the bottom or feet-first position.
  • Placenta abruption &#8211; the placenta pulls away from the uterus (womb) before delivery.
  • Preterm delivery &#8211; the baby is born before 37 weeks of pregnancy.
  • Cesarean section (C-section) &#8211; a cut (incision) is made in the mother's abdomen (belly) and uterus (womb) and the baby is lifted out.
What are the treatments for fibroids?

If a woman is having heavy bleeding which could causea low blood count, or is experiencing severe cramping, painful periods,infertility or bladder or bowel problems, she will need treatment.
 
Back
Top Bottom