Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Before deciding on a treatment, it is important totalk with your health care provider to get more information. Ask your healthcare provider:

  • How many fibroids do I have and will they grow bigger?
  • Where are they located and will they cause problems?
  • Do I need treatment if I am not having any problems?
  • What are my choices for treatment?
  • Can I try other options such as medications or hormone therapy before I try surgery?
  • What are the treatment options other than hysterectomy?
  • What are the risks and benefits of these treatment options?
If you need more information before deciding on atreatment, you can ask your health care provider to refer you to another doctorfor a second opinion to be sure you are making the best decision.
There are many options for treatment of uterinefibroids including:

Medications
For occasional mild to moderate pain or discomfort, anover-the-counter medication such as ibuprofen or acetaminophen can be taken.Over the counter nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAID), such asibuprofen, if used during early pregnancy, may cause miscarriage.
For symptoms of heavy bleeding, which can causeanemia, taking an iron supplement and an iron-rich diet can help to preventanemia or treat anemia. More serious symptoms may require stronger drugsavailable by prescription from your health care provider.
HormoneTherapy
Birth control pills (oral contraceptives) can be usedto treat the bleeding symptoms of fibroids. Low-dose birth control pills orprogesterone-like injections (such as Depo-Provera) do not make fibroids growand can help control heavy bleeding. An intrauterine device (IUD) whichcontains a small amount of progesterone-like medication (such as Mirena IUD)can also control fibroid symptoms and provide birth control.
Gonadotropin-releasinghormone agonists (GnRHa)
Some fibroids are treated with GnRHa, a hormone thatreduces the amount of estrogen to shrink the fibroids and control symptoms.Sometimes GnRHa is used before surgery to make fibroids easier to remove. Mostwomen can take GnRHa without any problems, but using GnRHa causes menopause-likeside effects such as:

  • Hot flashes
  • Depression or mood swings
  • Decreased sexual interest
 

  • Insomnia (not being able to sleep)
  • Headaches
  • Bone thinning
  • Joint pain
The side effects go away when the GnRHa is stopped,and once you stop taking the drugs the fibroids often grow back quickly. Mostwomen don't get a period when taking GnRHa. This can relieve the symptoms ofheavy bleeding and improve the low blood count (anemia) which can happen withheavy bleeding. Since GnRHa can cause bone thinning, it is generally used forsix months or less.
Surgery
There are three surgical treatments for fibroids:

The surgical method used depends on the size,location, and number of fibroids.
Myomectomy
Myomectomy is removing fibroids without taking out theuterus, which makes pregnancy possible for some women. A woman who has had amyomectomy can have problems with the placenta or can make a cesarean deliverymore likely if she becomes pregnant. Fibroids may also develop again, evenafter a myomectomy.
Myomectomy can be done by:

  • Laparoscopy – making one or more small cuts in the abdomen and inserting a lighted viewing instrument to remove the fibroids through the small cuts,
  • Hysteroscopy – using a lighted viewing instrument going through the vagina and into the uterus to remove the fibroids, or
  • Laparotomy – major surgery done by making a larger cut into the abdomen and the uterus.
The type of operation done for the myomectomy dependson the size and location of the fibroids.
EndometrialAblation
Endometrial Ablation is when the lining of the uterusis removed or destroyed by using laser, wire loops, freezing or other methodsto control very heavy bleeding. This procedure is usually considered minorsurgery and can be done on an outpatient basis. A woman having this procedurewill be unable to have children. Complications can occur, but are not common.
Hysterectomy
A hysterectomyan operation to remove the uterus (womb). The only absolute cure for uterinefibroids is a hysterectomy. This procedure results in permanent infertility; awoman will be unable to have children. A hysterectomy is major surgery. All ofthe possible risks of surgery listed above are the same for hysterectomy.
 

Embolization
Uterine Fibroid Embolization (UFE) or Uterine ArteryEmbolization (UAE) - a nonsurgical procedure that blocks blood flow to fibroidsin the uterus. Embolization is done with local anesthesia, and there are noincisions or cuts in the skin. A thin flexible tube is threaded into the bloodvessels that supply blood to the fibroid; a solution is then injected into theblood vessels. This blocks the blood supply to the fibroid, causing it toshrink. Fibroids treated with embolization shrink by half or more. Normaluterine tissue usually remains unharmed, because it is supplied by otherarteries.
Pregnancy is possible after embolization, but therisks to pregnancy after embolization are not fully known. Embolization is aprocedure for women who do not want to have children in the future.
Women who are considered the best candidates forembolization are women who:

  • Have fibroids that are causing heavy bleeding
  • Have fibroids that are causing pain or pressing on the bladder or rectum
  • Don't want to have a hysterectomy
  • Don't want to have children in the future
Complications of embolization are not common, but canoccur. They are:

  • Infection - the most serious, potentially life-threatening complication of embolization. See your doctor immediately if you have a high fever and feel ill or notice pus in your vaginal discharge. In rare cases, emergency hysterectomy is needed to treat an infected uterus.
  • Loss of menstrual periods
  • Premature menopause
  • Scar tissue formation
Are new treatments for uterine fibroidsbeing developed?
There are several new ways of destroying fibroid tissueor removing fibroids. These methods are not yet standard treatments so yourhealth care provider may not offer them and your health insurance may not payfor them.
If your doctor offers one of these procedures, ask:

  • How many of the procedures he or she has done,
  • How successful they have been,
  • What kinds of problems can result, and
  • Whether your insurance covers the procedure.
Myolysis
Myolysis is the destruction of muscle tissue. Myolysisis generally recommended for smaller fibroids. It is not recommended for womenwho hope to have children. These treatments can cause serious pregnancycomplications, such as uterine scarring and infection; these can be dangerousto both mother and fetus.

  • Laser (myolysis) - usually done by laparoscopy. A laser is used to remove the fibroid or clot the blood supply to the fibroid, causing the fibroid to shrink and eventually die.
 

  • Cold (cryomyolysis) – usually done by laparoscopy. Liquid nitrogen is used to freeze the fibroid.
  • Electric current - Myoma coagulation (myolysis) - usually done by laparoscopy. An electrical needle is passed directly into the fibroid delivering high-temperature energy to destroy both the fibroid and the blood vessels feeding it.
  • High-frequency focused ultrasound – Using a high-intensity ultrasound beam,
NewMedications
New anti-hormonal drugs and other medications arebeing studied for treatment of fibroids, but none are yet available or FederalDrug Administration (FDA)-approved for us in the US.
It is important you talk with your health careprovider to fully understand your options for uterine fibroids that are causingyou problems. If your health care provider is recommending a hysterectomy, besure to ask why other options are not right for you. Remember, you can ask fora second opinion to be sure the treatment option is right for you.

 
Kamsongole,

Pole na changamoto.

Katika swali/shida yako kuna mambo mawili kama nimekuelewa: 1. Kutibia fibroid 2. Kusave ndoa kwa kupata mtoto.

1. Kwavile daktari alishakufanyia tathmini na kuona kuwa ni lazima utolewe kizazi, inakuwa vigumu kupitia mtandao kutoa tathmini tofauti. Hii inaashiria kuwa umefanyiwa ultrasound na uvime umeonekana kuwa aidha ni mkubwa sana au upo mahali ambapo hauweyi kutolewa na kuacha kizazi au pengine jinsi unavyoonekana umempa hofu daktari kuwa uvimbe huo una hatari ya kuwa kansa. Kwahiyo ushauri ninaokupa kwenye hili, hakikisha daktari anayekushauri ni gynecologist mzoefu na itakuwa vizuri kama gynecologist huyo anakufanyia ultrosound yeye mwenyewe na sio kusoma repost ya ultrasound iliyofanywa na mtu mwingine.

2. Kusave ndoa. Inagwa hujaandika hapa, lakini napata hisia kuwa kilichosababisha kugunduliwa kwa uvimbe ni wewe kwenda hospitali kwa tatizo la kukosa mtoto kwa miaka minne. Kwa vile imeshauriwa utoe kizazi, uwezekano wa wewe mwenyewe kubeba mimba hautakuwepo ukishatoa kizazi, lakini hii haimaanishi kuwa hauna uwezo wa kupata mtoto. Maendeleo ya sayansi ya kitabibu yamefikia hatua ya kuweza kuchukua yai lako na mbegu ya mmeo na kuziunganisha kutengeneza mtoto atakayekulia kwenye tumbo la mwanamke mwingine. Sijajua upatikanaji wa huduma ya namna hii nchini kwetu ukoje na unafuata sheria zipi, lakini iwapo utaamua kutoa kizazi basi ulizia uwezekano huu. Natambua pia kuwa gharama yake ni kubwa.

Upo pia uwezekano wa kuadopt mtoto. Mkiandaliwa vizuri kisaikolojia mnaweza kuendelea kuishi kwa furaha na mtoto wenu mliyemuadopt.

Kuhusu kutoa mimba kama alivyosema mdau hapo juu, chukulia kama changamsha baraza tu. Naamini hata yeye hakuwa serious, alikuwa anatania...
 
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!


Mwanamalundi wewe hauko siriaz eeh?! Sio kila fibroid chanzo chake ni uchoropoaji wa mimba! Ni pimbi km wewe tu anaeweza kuwa judgemental ktk mambo usiokuwa na utaalam au ufaham nayo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
Bibie.@kamsongole Pole kwa hayo matatizo yaliyo kukuta unasema umejaribu kila dawa imeshindikana? hujajaribu Dawa za MziziMkavu wewe. Mimi ninasema hivi jaribu Dawa zangu akipenda Mungu utapona na kupata mtoto inshallah mimi huwa ninatumia dawa za Tiba Mbadala dawa za Mitishamba ukiweza jaribu kuwasiliana na mimi nitakuambia kitu gani cha kufanya ili uweze kupona hayo maradhi yako nitumie baruwa ya Pepe Email Address yangu hii fewgoodman@hotmail.com
 
Pole sana, lakini kama kutofanyiwa hiyo operesheni kunaweza kuhatarisha maisha yako basi ni bora mkae chini na mwenzio kuongea kuhusu hili. Kwa maoni yangu ni bora kuifanya hiyo operesheni mapema kabla hali haijawa mbaya. Pole sana.

Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
 
Pole sana, lakini kama kutofanyiwa hiyo operesheni kunaweza kuhatarisha maisha yako basi ni bora mkae chini na mwenzio kuongea kuhusu hili. Kwa maoni yangu ni bora kuifanya hiyo operesheni mapema kabla hali haijawa mbaya. Pole sana.
Mkuu BAK Mimi nikampa dawa yangu hawezi tena kufanyiwa Operesheni Uvimbe wote utapotea kwa muda usiopunguwa mwezi mmoja inshallah akitumia dawa yangu ila siwezi kumpa hapa mpaka anitumie email.
 
Last edited by a moderator:
Kama atakuwa yuko tayari kutumia dawa yako hakuna ubaya Mkuu na si ajabu inaweza kumsaidia katika ndoto zake yeye na mumewe za kuwa Wazazi watarajiwa....Kila la heri Mkuu MziziMkavu hauchimbwi dawa.

Mkuu BAK Mimi nikampa dawa yangu hawezi tena kufanyiwa Operesheni Uvimbe wote utapotea kwa muda usiopunguwa mwezi mmoja inshallah akitumia dawa yangu ila siwezi kumpa hapa mpaka anitumie email.
 
Last edited by a moderator:
Kama atakuwa yuko tayari kutumia dawa yako hakuna ubaya Mkuu na si ajabu inaweza kumsaidia katika ndoto zake yeye na mumewe za kuwa Wazazi watarajiwa....Kila la heri Mkuu MziziMkavu hauchimbwi dawa.
Mkuu BAK Wameshindwa Ma-Daktari kumtibu huyu bibie kamsongole Mimi nitampa dawa yangu atatumia na atazaa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu na atakuja hapa kukupeni feedaback.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana ndugu zangu wote kwa ushauri wenu. na wewe uliyesema nimetoa mimba ni kwa kuwa tu huelewi. Kila mtu na jaribu lake ndugu yangu. wewe kama hujapitia shida yoyote shukuru Mungu sana.
 
Mzizimkavu ntakutafuta ili tusaidiane, lakini nahisi kama nishakuona na wewe vile katika pitapita yangu ya kujaribu dawa.
 
Wewe Mwanamalundi mbona una mdomo mchafu hivo. Mdada anatafuta tiba wewe unaporomosha mitusi. Hapana ndugu tuwe wavumilivu.

Umenipata?

Mudushi

Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

 
tooba ni kitu gani hiki unachokiandika,
muogope sana Mungu kwa kuwa haujui
tatizo chanzo chake nini angalia usidhani umesimama unaweza ukaanguka na ukabaki midomo wazi.
Ayubu3410Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu.
Ayubu3411Kwani atamlipa binadamu kwa kazi yake, Naye atamfanya kila mtu kuona sawasawa na njia zake

Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Jamani hebu nenda kanisani ukaombewe maana maandiko yanasema hakuna linashindikana kwa Mungu nenda kwanza kanisani ukaombewe, mie kuna dada namfahamu yupo pale Ubungo KKKT, Nyuma ya Ubungo plaza anaona watu kila jumanne kuanzia saa tatu asubuhi hadi jioni anatakusaidi.
 
Back
Top Bottom