Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Hili ni soko au msikitiWadau.
Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14.
TunatekelezaView attachment 1355317View attachment 1355318View attachment 1355319View attachment 1355320
ThubutuuNice, sasa likikamilika waweke bei rafiki kwa watu wanaolipa kodi ya elfu 20 kwa Mwaka.
Kituko,Ndo hii takataka imepewa jina la Supika.!?
Lipo kama bonge la Msikiti...huyo designer wa jengo uwezo wake wa kufikiri ndiyo umeishia hapo?Wadau.
Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14.
TunatekelezaView attachment 1355317View attachment 1355318View attachment 1355319View attachment 1355320
14Bil like serious?!Wadau.
Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14.
TunatekelezaView attachment 1355317View attachment 1355318View attachment 1355319View attachment 1355320
14 Billion serious imetumika kwenye hilo soko
kuna watu wamekula pesa hapo,sioni soko la hela hyo
machoni tu hata halivutiii,simple tu eti 14B weeeeeeeee
Hata Me nimeshangaa14 Billion serious imetumika kwenye hilo soko
kuna watu wamekula pesa hapo,sioni soko la hela hyo
machoni tu hata halivutiii,simple tu eti 14B weeeeeeeee
watu wanachukulia Billion 1 ni pesa ndogo sanaHata Me nimeshangaa
Hapo Billion 14 Inaingia na kubaki chenji nyingi Sana
Tunapigwa Sana jamani daa!
Hehehehhe Sakafu ya Vioowatu wanachukulia Billion 1 ni pesa ndogo sana
sasa hapo zibo B.14,labda tusubiri liishe yawezekana
wakalieka mageti ya vioo,sakafu za vioo,nk nk (soko hilo)
Acheni tu tunyooshwe,Acheni kwakweli hamna namna.